Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

Haruna Moshi 'Boban' akifanya remix

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104
[h=6][/h]

Kiungo mshambualiji wa timu ya Simba Haruna Moshi Boban akifanya remix ya maji+kiloba+valuu+glucose awali alianza na kitu cha Malawi aka sigara kubwa kisha huyooo uwanjani.
 
Inabidi mswada wa kuruhusu hii kitu uende bungeni.Mbunge wa Tabora atapambana sheria itaruhusu tu .
 
Vp tena mtani? Hao ndo wachezaji wenu mnao wasajili kwa bei mbaaaaaaaaaaaya fikeni dau tuwaachia Mbuyu
Angalia anafanya nini uwanjani au nitajie kiungo wa kumfunika Boban ndipo tutatongea biashara ya Mbuyu...
 
[h=6][/h]

Kiungo mshambualiji wa timu ya Simba Haruna Moshi Boban akifanya remix ya maji+kiloba+valuu+glucose awali alianza na kitu cha Malawi aka sigara kubwa kisha huyooo uwanjani.

Halafu hicho ni kiroba jogoo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
du ina maana hata kiroba cha kawaida hawezi nunua....simba bwana
 
Angalia anafanya nini uwanjani au nitajie kiungo wa kumfunika Boban ndipo tutatongea biashara ya Mbuyu...

Hicho anacho kifanyia remix ndicho kinacho mfanya aonekane bora kwenu msimbazi lakini akija Jangwani huyu hapati namba
 
Halafu hicho ni kiroba jogoo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

hiki ni kiloba cha jelo jelo kinaitwa kiloba original cha Konyagi cha 1200/= hana ubavu wa kununua
 
Kwa style hii ndio maana alikimbia ulaya......Kiungo mshambualiji wa timu ya Simba Haruna Moshi Boban akifanya remix ya maji+kiloba+valuu+glucose awali alianza na kitu cha Malawi aka sigara kubwa kisha huyooo uwanjani.[/QUOTE]
 
Kiungo mshambualiji wa timu ya Simba Haruna Moshi Boban akifanya remix ya maji+kiloba+valuu+glucose awali alianza na kitu cha Malawi aka sigara kubwa kisha huyooo uwanjani.
ha ha ha ha ha I like this Guy bwana.......ndo wachezaji wetu.
 
Ulaya angepata wapi kiloba?
 
Hicho anacho kifanyia remix ndicho kinacho mfanya aonekane bora kwenu msimbazi lakini akija Jangwani huyu hapati namba
Vipi Athuman Idd Chuji...mbona ni zaidi ya Boban mbona mnamchezesha...................
 
Kiungo mshambualiji wa timu ya Simba Haruna Moshi Boban akifanya remix ya maji+kiloba+valuu+glucose awali alianza na kitu cha Malawi aka sigara kubwa kisha huyooo uwanjani.

Guys don't you know that? "That is the spirit of the Nation".
 
Jibu swali acha porojo, pesa uliyo toa ni ishara kwamba unapesa sana....!?
sasa kama unashindwa kuchangia JF hata shilingi elfu kumi...na unashinda humo mi nina la kubishana na wewe? utashi wako kwenye hilo ndio unanifanya nikuone kama si maskini wa akili basi ni wa roho na mali
 
Back
Top Bottom