Rapa kutoka nchini Marekani Lil Uzi ameonyesha kwamba pesa kwake 'sio kitu' kwa kubandika kipande cha madini ya Almasi(Pink Diamond) usoni cha thamani ya Dola za Kimarekani milioni 24 ($24Million)...
Hapo Ulipo Wewe Usihisi Kama Mungu Kakusahau Kuna Watu Wanaishi Maisha Ya Shida Na Dhiki Sana...Shukuru Kwa Yote Hasa Kwa Zawadi Kubwa Ya Uhai.[emoji120]