thebosskissima
Member
- May 22, 2017
- 65
- 298
Hapo Ulipo Wewe Usihisi Kama Mungu Kakusahau Kuna Watu Wanaishi Maisha Ya Shida Na Dhiki Sana...Shukuru Kwa Yote Hasa Kwa Zawadi Kubwa Ya Uhai.
Kamera kubwaa hio je alimwachaje baada ya kumuomba apige pozi!?Hapo Ulipo Wewe Usihisi Kama Mungu Kakusahau Kuna Watu Wanaishi Maisha Ya Shida Na Dhiki Sana...Shukuru Kwa Yote Hasa Kwa Zawadi Kubwa Ya Uhai. View attachment 1712196