Hellooo Tanzania!

Hellooo Tanzania!

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Posts
39,924
Reaction score
95,754
Sikio la kufa!
Eu5.jpg
 
Hv chanjo na kutoa takwimu ni lazima.?

Majirani zako tunapulizia sumu kuua wadudu shambani. Wewe hutaki na kwakuwa eti shamba ni lako hutaki kuambiwa chochote, tukuache shamba lako liwe kiwanda cha kuwafyatulia warudi tena kwetu?
 
Majirani zako tunapulizia sumu kuua wadudu shambani. Wewe hutaki na kwakuwa eti shamba ni lako hutaki kuambiwa chochote, tukuache shamba lako liwe kiwanda cha kuwafyatulia warudi tena kwetu?
Ahh sa hapo kumbe shida n hao wa nje na sio sisi wa huku ndani, bc Wakija huko nje muwape dawa
 
Ambao wametoa takwimu mbona bado wanakufa kuliko sisi ambao hatujaweka takwimu hadharani.?
soma tena ulichouliza ndio uje tena.. naona unataka shupaza mshipa wa shingo kwa ubishi usio na lazima.. point ni moja tu hapo, wanataka kujilizisha iwapo tunamambukiza ai laa ili wajishughurishe na nchi zenye mambokizo
 
Back
Top Bottom