Abandika kipande cha Almasi chenye thamani ya Bilioni 50 usoni

Abandika kipande cha Almasi chenye thamani ya Bilioni 50 usoni

Farolito

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
15,126
Reaction score
35,513
Rapa kutoka nchini Marekani Lil Uzi ameonyesha kwamba pesa kwake 'sio kitu' kwa kubandika kipande cha madini ya Almasi(Pink Diamond) usoni cha thamani ya Dola za Kimarekani milioni 24 ($24Million) kama urembo.

Hatua hiyo imewashangaza wengi kwani kipande hicho cha Almasi kimewekwa kwa ustadi mkubwa bila kuwa na vishikizo vyoyote vinavyoonekana.

NB;Inabidi ajitunze sana maana 'wakulungwa'wakimwotea wataondoka na sura yote.
LiluziForehead.jpg
a5f620b6b42179b5a59ad83431d7ec0b.jpg
 
Attachments

  • a5f620b6b42179b5a59ad83431d7ec0b.jpg
    a5f620b6b42179b5a59ad83431d7ec0b.jpg
    114.1 KB · Views: 22
Sasa huoni pose la chini hilo la kupigia picha. Je, linakupa tafsiri gani wewe kama mwanaume?
Pozi linahusiana vipi na yeye kumiliki pesa?,au wewe hilo pozi unalitafsiri vipi?
 
24-1=23 Aisee,bado sana jamaa anatisha Mara 23 zaidi yake

Hivi hawa wasanii ni Pesa za mziki tu au kuna magumashi mengine wanafanya?maana huku kwetu sio maarufu sana
Mi nilimsikia akisema katumia miaka kadhaa kuitafuta hiyo pesa so hapo inaonesha alikua ana dunduliza

Kwa fact hiyo naweza nikasema sawa kulingana na fame yake kwenye mziki
 
Pumbavu kabisa watu tunadaiwa kodi 400k tu!!! Tunakimbizana na mwenye nyumba halafu huyu fala!!!!

Bilion 50 anaweka uson!![emoji23]Tutaja kata sura ya mtu!!!
 
Pumbavu kabisa watu tunadaiwa kodi 400k tu!!! Tunakimbizana na mwenye nyumba halafu huyu fala!!!!

Bilion 50 anaweka uson!![emoji23]Tutaja kata sura ya mtu!!!
[emoji23][emoji23],maisha sio fair kabisa aisee
 
Mi nilimsikia akisema katumia miaka kadhaa kuitafuta hiyo pesa so hapo inaonesha alikua ana dunduliza

Kwa fact hiyo naweza nikasema sawa kulingana na fame yake kwenye mziki
Ok,jamaa kaamua kuinvest mwilini
 
Back
Top Bottom