Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,923
- 95,765
😄😄😄Tanzania ni barazani pa wenye mizaha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo jamaa mwenye koti la draft ametoa ulimi nje kama analamba asali[emoji23][emoji23]
Hivi zile dawa walibugia wenyewe? Mbona hakuna majibu yaliyotolewa kama zilifanya kazi au la😂😂😂Weka na ile ya Kabudi akibugia Dawa ya Madagascar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi zile dawa walibugia wenyewe? Mbona hakuna majibu yaliyotolewa kama zilifanya kazi au la[emoji23][emoji23][emoji23]