Mnaonaje!!

Mnaonaje!!

Corluka Neven

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
325
Reaction score
372
Sijaona utofauti wa Tadeo Lwanga na Fabinho wa Liverpool katika uchezaji


IMG_20210223_224736_535.jpeg
 
Badala mumuombe mo na nyie mashabiki muwe mnapata mgawo mnaishia kukagua wachezaji.
 
huyu lwanga aliye bebwa na muamuzi kwa kucheza faulo za kipumbavu zaidi ya 4 ndo umfananishe na fundi wa liva

ifike sehemu tutofautishe soka na kabumbu huyu lwanga anacheza kabumbu (nguvu nyingi akili ndogo ) ila fabinho anacheza soka (akili nyingi nguvu ndogo)
 
Back
Top Bottom