Gazeti la chama tawala cha china, Peoples Daily ambalo limezoea kuwa kitovu cha kusambasa habari, sasa limejikuta likiwa habari baada ya watu wenye fikra za kitukutu kuona jengo jipya la gazeti...
Bongo tambalare kweli, hata kuwe mafuriko maraha ni kwenda kwa mberembere, rararara raha we! Kesho hospitalini kwa vichocho na magonjwa yatokanayo na uchafu wa mafuriko.
Huyu ndio Waziri wa kwanza mweusi kwenye historia ya Italia, aliolewa na Muitaliano miaka mingi iliyopita na kuhamia pamoja na kuchukua uraia wa Italia mwaka 1983.
kwa wale waliobahatika kufika katika eneo la kuwapumzisha ndugu na jamaa zetu makaburi ya KORA mjini Morogoro (barabara ya DSM ya zamani) kwa kipindi cha hivi karibuni yaani kama miezi miwili ivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.