englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- 6
- 7
- 8
- 9
- 10
- 11
- 12
- 13
- 14
- 15
- 16
Mpwa Elli toka huko kwenye stress za siasa njoo kwenye milo saa inaruhusu.
Hii kiboko! Mpaka ubongo wa nanii! Ila sijaona nyama ya noah hapo..
mate yananidondoka
nimefika fasta sana sana Mpwa....nilialkiwa kwenye Party fulani hapa Mjini nilikula nyama fulani but i am sure ile haikua nyama niliyoizoea...wachina bhana
Pale kwenye nge ama kwenye mabuu (silk worms)?
hata chuma ikipata mtaalam wake wa upishi,inalika.Kweli nimeamini hakuna kisicholiwa duniani ni woga wako tu !
Kweli nimeamini hakuna kisicholiwa duniani ni woga wako tu !
kwenye goat lugs with pilipili duh
Sorry to say this!
Siku nikifika China jamani nitakula michicha tu tangu nafika mpaka naondoka, kha!
Hawa jamaa walimaliza mbwa kul Temeke wakati wanajenga uwanja wa taifa. Yaani kwao vyote vinaliwa tu.