Kula ni kula Mbaya Kukomba Mboga....

Kula ni kula Mbaya Kukomba Mboga....

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,352
Reaction score
111,626
32170_394479920648754_1038338354_n.jpg
 
sijaelewa hilo sufuria wameliwekewa ceiling kama bajeti ya Taifa?
 
Huyu inaelekea hakupata kitu wakati chakula kikiliwa.
 
Hapana mkuu, kuna kila namna mtoto aliliteka hilo sufuria kabla hata msosi haujapakuliwa

Huyu inaelekea hakupata kitu wakati chakula kikiliwa.
 
Dogo ananifanya nitafakari nafasi yetu watanzania tuliowengi kuhusiana na pato la taifa!!! Aonekanavyo dogo ndivyo TUNAVYOFANYWA na viongozi wetu..WAnakula hadi maziwa ya ndama, tunaishia KULAMBALAMBA visufuria namna hii!!!!!

Huku wala siyo KUKOMBA; ni kulambalamba tuuu maana hata cha kukomba kimekwisha!!!
 
Back
Top Bottom