Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,276
kwa technology tulonayo haiwezekani kufika huko tafakari
kwa technology tulonayo haiwezekani kufika huko tafakari
Tunasuasua kwa kuwa hatuwekezi sana katika teknologia.
Hata sindano ya kushona nguo tunaagiza.
Kibaya zaidi wakukamate unatengeneza Gobole tu utakiona,badala ya kuenzi kipaji chako utafungwa mpaka ushangae na kipigo juu..
Hivi kwanini tunawapa adhabu kali namna ile? hao ni wabunifu bwana!