Wanaume punguzeni wivu wenu jamani

Wanaume punguzeni wivu wenu jamani

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
Jamani wanaume tuache ukatili kama huu,LIKE kama hujapendezwa na kitendo hiki(wanaume)COMMENT kama umeguswa na tukio hili

561906_366673510080034_1762547023_n.jpg
 
Kwani lazima mwanaume ndo awe amefanya huo ukatili inawezekana amepata ajali
 
Jamani wanaume tuache ukatili kama huu,LIKE kama hujapendezwa na kitendo hiki(wanaume)COMMENT kama umeguswa na tukio hili

561906_366673510080034_1762547023_n.jpg
Kwanza pole sana Si vizuri kufikia hadi hii !! Samahani Bado tuna matibabu ya kizamani kweli ONA walivyo mshona mrembo siwameongeza kumharibu uso wake jamenii !! Ma Dr. Beautycare mnaweza kurekebisha baada ya hao.
pole tena utarudi mzuri tena.
 
Duh!ameshonwa kama nguo!
 
Back
Top Bottom