Like! Like! Like !Like! Like! Like! Like!

Like! Like! Like !Like! Like! Like! Like!

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
18,828
Reaction score
12,321
Yani utatamani uendelee kuumwa tu.

Lema.JPG

This is what every man wants in a woman. Wifoo materioooo!! ( Naigerian voice)
 
Ushaambiwa movie.
Kiuhalisia, thubutu.
Mia kwa mmoja.
 
Hivi haka kamchina kangu kananionesha sahihi au? namuona kama Rais wa Chugga vile
 
hapa atakuwa anawaza namna gani ya kupata hela ikiwa jamaa ataendelea kuwa hospital!!
 
Hivi haka kamchina kangu kananionesha sahihi au? namuona kama Rais wa Chugga vile
ha ha ha hahapana mkuu yeye nimemsikia analipuka radio maria muda mfupi uliopita!
 
hahahahahahaha!...yanatokea haya...! nakumbuka siku moja nilikuwa nimekazwa na malaria akaja dem u wangu ambaye kwasasa siko naye tena alikuja akanikuta kitandani niko hoi kataka kujifanya ananidekeza nikaamsha mzuka we malaria sijui ilipita wapi nilikuja kuipata kesho yake..!
Ushaambiwa movie.
Kiuhalisia, thubutu.
Mia kwa mmoja.
 
hahahahahahaha!...yanatokea haya...! nakumbuka siku moja nilikuwa nimekazwa na malaria akaja dem u wangu ambaye kwasasa siko naye tena alikuja akanikuta kitandani niko hoi kataka kujifanya ananidekeza nikaamsha mzuka we malaria sijui ilipita wapi nilikuja kuipata kesho yake..!


mjasilia
Ila kiukweli kuna raha yake kubembelezwa na mpenzi.
Hata kama umezidiwa,lazima utaamsha popo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom