Jamani jumatatu imefika tena.

Jamani jumatatu imefika tena.

We acha tu, mie ndo niko njiani kwenda job ni balaa tupu, KINANA nilizokunywa jana bado zinazunguka kwa kichwa sijui itakavyokuwa huko, kama sijaungana na Mulugo kuwafundisha watoto kuwa Tanzania inahusisha na visiwa vya Zimbabwe mtanambia...
 
Back
Top Bottom