Watunzi wa biblia na vitabu vingine vya imani walijisahau na hawakujua kama Ubongo wa binadamu utakuja kuongezeka na kuanza kuhoji mambo kwa kina.
Watunzi hawa wa Biblia hawakujua kabisa kama...
Cc Kiranga
“Is God willing to prevent evil, but not able? Then he is not omnipotent.
Is he able, but not willing? Then he is malevolent.
Is he both able and willing? Then whence cometh evil...
Nje nakuamini nguvu fulani ya utendaji ktk nyanja ya utawaliwa, maisha ni halisi tena ni halisi ya uhalisia.
Naandika kitu hichi lakini najua tuna makundi tofautitofauti kiufahamu, naamini sio...
Uislamu uko zaidi mashariki ya kati, uarabuni, mataifa yanayopakana na uarabuni, Afrika Kaskazini na Nusu ya Africa magharibi.
Ukristo uko zaid Ulaya, Marekani ya Kusini na Kaskazini, Australia...
Tangu nilipoingia kwenye siasa, kimsingi nimeaminishwa maoni ya wanaume kwa faragha. Baadhi ya wanaume wakubwa nchini Marekani, katika uwanja wa biashara na utengenezaji, wanaogopa kitu. Wanajua...
Leviticus 19:4"Do not turn to idols or make metal gods for yourselves.Iam the Lord your God". Judges 10:14,"Go and cry out to the gods you have chosen,let them save you when you are in trouble"...
Kuna theories nyingi....moja ikiwa hii
Mr Clean alipigana kwenye kamati mwenda zake kuingia ndani kutokana na historia yake na wale jamaa wa mipango.
Mdau ananiuliza hapa...je kufuatana...
Mwaka 1859 mwanabaiolojia Charles Darwin alichapisha kitabu chake kuhusu chanzo cha viumbe wote duniani chenye jina “On the origin of species” Kilichoelezea theory yake ya evolution. Darwin...
Aisee wamarekani C watu wa mchezo mchezo, nimeingia katika WEB library ya Central intelligence Agency Nimekuta data ambazo hata Serikali ya TZ hawana, nimeona data mbalimbali kila aina...
1.Kwa nini wanaume wengi ndio huwa atheists kuliko wanawake? Atheists wanawake ni wachache sana na hakuna walio maarafu duniani. Ni nadra sana kukuta atheists wanawake kwenye jamii hasa ya Africa...
Basi kwa neema na baraka zake Mungu baba alie juu mbinguni mahali patakatifu ahimidiwe kwa busara na hekima zake kwa uhai aliotujalia na afya na anijalie niandike vyema ili kusudi langu lieleweke...
Kuna movie inayoitwa 'hornet' nimetoka kuicheki hapa karibuni, na pia niliona imerushwa kwenye channel ya maisha magic bongo ya dstv hapa juzi usiku ikiwa imewekewa script za kiswahili. Hii movie...
Habari zenu wakuu
Kwa wale wadau wa mambo ya sayansi ya Anga za mbali,
Kuna SHORT video YouTube unaweza search inaitwa,
A 3D Atlas of the Universe - Carter Emmart
Link:
Hivi
Uhalisia wa hii...
Nin wasiwasi sana na silaha za masafa marefu tulizo nazo ndani ya majeshi yetu ya ulinzi. Miaka ya 2000 kuna zile zilizokuwa zinalipuka zenyewe kule Mbagala. Na ninavyokumbuka Tanzania tuliwahi...
Habari wakuu. Nafikiria kuanzisha dini. Sababu kubwa ni iwe kama kitega uchumi. Naombeni maoni yenu iwe ya namna gani iendane na nyakati za sasa.
Najua matakwa mawili matatu. Kitabu pathetic...
Ndio, wapo watu wengi wanaamini Mungu yupo kwa kuamini vitabu vyao tu na sio ukweli uliopo na unaojionyesha
Kundi lingine la kina Kiranga wanasema Mungu hayupo, wanaamini dunia na viumbe vyake...
Habari wakuu,
Je, ni kwanini biblia imeandikwa kwa lugha ngumu hadi inapelekea watu wasiielewe na kufanya kila mmoja anakua na tafsiri yake?
Na kwanini wachungaji waliosoma theologia huwa...
The Centers for Disease Control and Prevention (CDC) and the Texas Department of State Health Services says it has confirmed the first case of Monkey Pox in the US on July 15. This was detected in...