badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,449
- 2,820
Leo sita andika mada ndefu bali nitatoa ufafanuzi mfupi kuhusiana na hii namba ya mnyama 666. Nitatumia mstari ulioipa umaarufu mkubwa hii namba kutoka katika kitabu cha biblia.
Namba ya mnyama inayotajwa katika Ufunuo 13:18 humrejea Mpinga-Kristo. Ambapo pia kuna upotoshaji mkubwa sana kuhusiana na mpinga kristo kuonekana ni mtu muovu au kiumbe muovu na kumfananisha mpinga kristo na shetani. Hii sio kweli watu wengi wamefungwa macho na kujenga taswira mbaya kuhusu mpinga kristo lakini leo nitaweka machache kuhusu mpinga kristo ili watu wajue ukweli.
Katika nakala nyingi za mstari huo, namba hiyo ni 666 ambamo Maneno yenyewe ya kitabu hicho cha biblia ni ni haya: "Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita."
Sasa basi ngoja nikufungue akili kidogo ili ufahamu ni wapi ulipodanganywa toka upo madrasa na sunday school. Mwili wa mwanadamu ni Carbon Body umekamilishwa na vitu vitatu ambavyo ni 6 Protons, 6 electrones pamoja na 6 Neutrons hii kila mtu anajua kwaiyo mwili wa mwanadamu ndio mwili wa beast au Mnyama. Nakupa hekima leo ujue kuwa hapa ndipo penye hekima hesabu ya mnyama huyo ni 666 ikimaanisha 6 neutrons na 6 electrons pamoja na 6 neutrons.
Lugha yetu ya kiswahili sio lugha ya knowledge au maarifa lugha zenye nguvu za kiroho hapa duniani ni chache sana kama kigiriki, kiyahudi, kiaramaiki na kiingereza kwa mbali hivyo nitatumia lugha ya kiingereza kwa uchache ili mtu aweze kuelewa.
Toka ukiwa mtoto umeshawahi kufundishwa kuwa utaenda motoni ukifanya dhambi mf kuiba au kuzini hizo ndio zambi zao kuu. Lakini hapa nakufundisha motoni ni wapi. Helios ni neno la kigiriki lenye maana ya jua au Sun kwa akili ya haraka haraka Sunday manake ni siku ya jua ambapo mungu jua Helios huabudiwabhivyo tuko motoni hapa duniani na moto huo ni jua au mungu jua ndio mtawala wa hii dunia.
Helios huabudiwa hapa dunian ndio maana kuna Sun of God au imefichwa na kuwekwa son of god alafu ukiangalia picha ya yesu kwa nyuma kuna picha ya jua. Ukitazama picha ya yesu nyuma yake kuna jua au kichwani kwake kazungukwa na mwanga flani ki occult huo mwanga unaitwa Halo.Halo maana yake ni jua kwaiyo wewe ukienda kusali jumapili unaenda kusali kwa mungu jua.
Kitabu cha waislamu qurani kina jumla ya sura 114 na jumla ya aya 6666. Kumbuka 1+1+4=6. Hawa watu wamewateka wanadamu na kuwaaminisha wamuabudu mungu wa uongo. Sikulazimishi ubadilishe imani yako bali mwenye macho haambiwi tazama.
Turudi kwenye mada na tusitoke nje ya mada. Dakika moja ina sekunde 60, lisaa limoja lina dakika 60 na pia siku moja ina masaa 24 (2+4=6) hivyo kila jua linapochomoza na kuzama dunia inazungukia kwenye namba 666 hiyo ni namba ya mnyama bunadamu.
Mfano mwingine ukisoma saa kwa kiswahili mfano saa 12 kamili itasomeka 12:00 lakini ukisoma saa hiyo hiyo kwa kizungu itasomeka 6:00. Chukua 12 toa 6 itabaki 6. Mfano mwingine saa 3:00 kwa kiswahili ila kwa kizungu inasomeka 9:00 chukua 9 toa 3 itabaki 6. Dunia hii inaongozwa na namba 666.
Kila siku ya mungu wanadamu tuahangaika kutafuta pesa chini ya alama ya mnyama 666 kwa kingereza asili ya neno Money ni Moon. Hivo basi hapa duniani tupo hell au motoni na tunaongozwa na vitu viwili mwezi au moon na jua au sun dini zote kubwa mbili zinaabudu kimoja wapo. Wakristo wanaabudu Jua na waislamu wanaabudu Mwezi. Rejea miungu ya kiarabu ya Allat, Manat na Al Uza ndio utajua ukweli wa Al Kaba.
Hii syatem ya kidunia inaitwa matrix ambayo kila kitu kina kuwa controlled na jua pamoja na mwezi. Kila unachogusa lazima kiwe na uhusiano na jua iwe wanyama, mimea, mvua yani kila kitu ni Jua na Mwezi.
Tuguse kido kwa upande wa anti christ . watu wenye imani za kidini wamejengewa hofu ya kumuogopa anti christ na kumfananisha na shetani kitu ambacho sio kweli. Mfano wayahudi Walimkataa yesu na kumuita nabii wa uongo na mpaka sasa hivi wayahudi wanamsubiri nabii wa ukweli ambaye bado hajazaliwa.
Hivyo hivyo anti christ au moinga kristo ni mwanadamu tu wa kawaida ambaye atatokea kuwafungua watu akili na kuwaonyeaha ukweli wa kidunia na the most high god lakini atashambuliwa sana na watu wa dini na ata uawa bila kusahau anti christ atajengewa picha mbaya na vyombonvya habari kiwa ni shetani kumbe yeye ndio mkombozi wa yote.
Baada ya mpinga kristo kufungua watu akili kuhusiana na imani za dini na asilimia kunwa ya watu wa duniani watamkataa na kumuua ndipo atatokea nabii mwingine wa uongo na atajiita yeye ni yesu na amekuja kuwamwokozi.
Watu watamfata huyo yesu wakidhani ni mtu mzuri kumne ndio atawapoteza kwenye pandemonia World na kiwa watumwa wa nafsi maisha yao yote na hawatapata nafasi ya kuwa re-incarnated kurudia maisha yaonili kirekebisha makosa yao.
Angalizo ni kwamba anti krist ndio nabii wa ukweli na watu watamkataa na kumuua baada ya kuuliwa kwake atatokea nabii mwingine atajiita yesu au jesua au issa bin mariam ataziunganisha dini za kiislamu na kikristo kuwa kitu kimoja na atatawala dunia nzima kwa mkono wa chuma kwa yeyeto atakaye mpinga.
Huu ninufunuo chukua ulichokiona kina kufaaa mengine achana nayo. Huu ni ukumbusho kwa wenye akili.