Mjue Mhandisi Nils Bohlin, mvumbuzi wa mkanda wa abiria

Polycarp Mdemu

Senior Member
Jun 2, 2019
146
250
Muhandisi Nils Bohlin Mswideshi aliyekuwa akifanya kazi na Kampuni ya Volvo ndiye aliyegundua Mkanda wa Abiria wenye vituo (Vizuizi) vitatu (three-point safety belt).

Huyu Jamaa Alisoma Diploma ya Mechanical Engineering katika chuo cha Härnösand Läroverk na akaanza kufanya ubunifu wa ndege vita Punde, Katika Kazi hiyo aliendeleza ubunifu wa Kiti cha Rubani wa Ndege vita kiwe na uwezo wa Kuchomoka wakati ndege ikipata hitilafu (Forcible Ejection Seats).

Katika Ugunduzi wa Mkanda huu, Bohlin anadai kufanya utafiti mwaka mzima ili kuzuia ajali za marubani na Madereva, Siku aliyogundua mkanda wa Point tatu ndipo aliuwasilisha katika kampuni ya Volvo mwaka 1959 na akapewa Hati miliki (Patent Number 3,043,625) na miaka kumi baadae akaongoza Idara kuu ya Utafiti na Maendeleo ambayo ilikuwa chini ya Volvo.

Mwaka 1974 alipewa tuzo ya The Ralph Isbrandt Automotive Safety Engineering Award. Na mwaka 1989 akawa mmoja ya Mapendekezo ya Hall of Fame for Safety and Health Na akapewa medali ya dhahabu na Royal Swedish Academy of Engineering Sciences.

Polycarp Mdemu

800px-Seatbelt.jpg
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
61,183
2,000
Muhandisi Nils Bohlin Mswideshi aliyekuwa akifanya kazi na Kampuni ya Volvo ndiye aliyegundua Mkanda wa Abiria wenye vituo (Vizuizi) vitatu (three-point safety belt).

Huyu Jamaa Alisoma Diploma ya Mechanical Engineering katika chuo cha Härnösand Läroverk na akaanza kufanya ubunifu wa ndege vita Punde, Katika Kazi hiyo aliendeleza ubunifu wa Kiti cha Rubani wa Ndege vita kiwe na uwezo wa Kuchomoka wakati ndege ikipata hitilafu (Forcible Ejection Seats)

Katika Ugunduzi wa Mkanda huu, Bohlin anadai kufanya utafiti mwaka mzima ili kuzuia ajali za marubani na Madereva, Siku aliyogundua mkanda wa Point tatu ndipo aliuwasilisha katika kampuni ya Volvo mwaka 1959 na akapewa Hati miliki (Patent Number 3,043,625) na miaka kumi baadae akaongoza Idara kuu ya Utafiti na Maendeleo ambayo ilikuwa chini ya Volvo.

Mwaka 1974 alipewa tuzo ya The Ralph Isbrandt Automotive Safety Engineering Award.
Na mwaka 1989 akawa mmoja ya Mapendekezo ya Hall of Fame for Safety and Health Na akapewa medali ya dhahabu na Royal Swedish Academy of Engineering Sciences.

Polycarp Mdemu View attachment 1807370 View attachment 1807371
Lincoln katika ubora wake, leather seat
 
The Genius

JF-Expert Member
May 29, 2018
671
1,000
Muhandisi Nils Bohlin Mswideshi aliyekuwa akifanya kazi na Kampuni ya Volvo ndiye aliyegundua Mkanda wa Abiria wenye vituo (Vizuizi) vitatu (three-point safety belt).

Huyu Jamaa Alisoma Diploma ya Mechanical Engineering katika chuo cha Härnösand Läroverk na akaanza kufanya ubunifu wa ndege vita Punde, Katika Kazi hiyo aliendeleza ubunifu wa Kiti cha Rubani wa Ndege vita kiwe na uwezo wa Kuchomoka wakati ndege ikipata hitilafu (Forcible Ejection Seats)

Katika Ugunduzi wa Mkanda huu, Bohlin anadai kufanya utafiti mwaka mzima ili kuzuia ajali za marubani na Madereva, Siku aliyogundua mkanda wa Point tatu ndipo aliuwasilisha katika kampuni ya Volvo mwaka 1959 na akapewa Hati miliki (Patent Number 3,043,625) na miaka kumi baadae akaongoza Idara kuu ya Utafiti na Maendeleo ambayo ilikuwa chini ya Volvo.

Mwaka 1974 alipewa tuzo ya The Ralph Isbrandt Automotive Safety Engineering Award.
Na mwaka 1989 akawa mmoja ya Mapendekezo ya Hall of Fame for Safety and Health Na akapewa medali ya dhahabu na Royal Swedish Academy of Engineering Sciences.
FB_IMG_1622757129925.jpg
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
16,582
2,000
Acheni kuwakebehi wa Africa.

Walikuwa na muda, freedom na resources za kufanya resources.

Sisi muda, freedom na resources walikuwa wanaziendesha wao. Tulikuwa tunatumikia mashamba yao na mpaka leo we have never truly recovered from the repercussions of colonialism.

Waliturudisha nyuma sana but still we have achievements in our own ways some of which will never be accredited to us.

Halafu tuangalie modern day na future sio kuangalia nyuma. Mbona tuna unsung heroes wa kwetu? Acha waliotupigania uhuru hapana. Modern day heroes ambao hutawasikia.

Mfano, nani aligundua money transfer ya mtandao? Ambayo leo hii inatuwezesha kuweka tabasamu kwenye uso wa wazee wetu kwa kumrushia ka muamala fasta tu?

Je hizi chanjo zetu za siku za hapa karibuni mfano chanjo tatu ndani ya Moja dhidi ya magonjwa ya Kuku? Do you think huko kwenye taasisi wamejaa tu wanaimba ngonjera? No way. Utaona tu mabadiliko mfano mazao yanazidi kustawi, sasa hivi hata Dar kunalimwa sababu kuna mbegu za sehemu za joto.

Come on! Let us celebrate our own heroes and appreciate the far we have come.
 
Polycarp Mdemu

Senior Member
Jun 2, 2019
146
250
Muhandisi Nils Bohlin Mswideshi aliyekuwa akifanya kazi na Kampuni ya Volvo ndiye aliyegundua Mkanda wa Abiria wenye vituo (Vizuizi) vitatu (three-point safety belt).

Huyu Jamaa Alisoma Diploma ya Mechanical Engineering katika chuo cha Härnösand Läroverk na akaanza kufanya ubunifu wa ndege vita Punde, Katika Kazi hiyo aliendeleza ubunifu wa Kiti cha Rubani wa Ndege vita kiwe na uwezo wa Kuchomoka wakati ndege ikipata hitilafu (Forcible Ejection Seats)

Katika Ugunduzi wa Mkanda huu, Bohlin anadai kufanya utafiti mwaka mzima ili kuzuia ajali za marubani na Madereva, Siku aliyogundua mkanda wa Point tatu ndipo aliuwasilisha katika kampuni ya Volvo mwaka 1959 na akapewa Hati miliki (Patent Number 3,043,625) na miaka kumi baadae akaongoza Idara kuu ya Utafiti na Maendeleo ambayo ilikuwa chini ya Volvo.

Mwaka 1974 alipewa tuzo ya The Ralph Isbrandt Automotive Safety Engineering Award.
Na mwaka 1989 akawa mmoja ya Mapendekezo ya Hall of Fame for Safety and Health Na akapewa medali ya dhahabu na Royal Swedish Academy of Engineering Sciences. View attachment 1807511
Vipi tena
 
gigabyte

JF-Expert Member
May 27, 2015
2,219
2,000
Acheni kuwakebehi wa Africa.

Walikuwa na muda, freedom na resources za kufanya resources.

Sisi muda, freedom na resources walikuwa wanaziendesha wao. Tulikuwa tunatumikia mashamba yao na mpaka leo we have never truly recovered from the repercussions of colonialism.

Waliturudisha nyuma sana but still we have achievements in our own ways some of which will never be accredited to us.

Halafu tuangalie modern day na future sio kuangalia nyuma. Mbona tuna unsung heroes wa kwetu? Acha waliotupigania uhuru hapana. Modern day heroes ambao hutawasikia.

Mfano, nani aligundua money transfer ya mtandao? Ambayo leo hii inatuwezesha kuweka tabasamu kwenye uso wa wazee wetu kwa kumrushia ka muamala fasta tu?

Je hizi chanjo zetu za siku za hapa karibuni mfano chanjo tatu ndani ya Moja dhidi ya magonjwa ya Kuku? Do you think huko kwenye taasisi wamejaa tu wanaimba ngonjera? No way. Utaona tu mabadiliko mfano mazao yanazidi kustawi, sasa hivi hata Dar kunalimwa sababu kuna mbegu za sehemu za joto.

Come on! Let us celebrate our own heroes and appreciate the far we have come.
Umetumia vingereza vingi kujifariji tu.hakuna anayekebehi mwafrika ila watu wanaongea ukweli na uhalisia ili tuzipe nuru bongo zetu kua sisi wafrika tunakwama wapi.Wenzetu wamefika hapo walipofika kwasababu walifanya mapinduzi ya akili zao ndo maana ata swala la wao kututumikisha kwenye mashamba yao iliwezekana kwasababu babu zetu walikua duni na goigoi kifikra dhidi yao.Sasa tuko huru je ni kipi kinatushinda kufanya hizo vumbuzi zitakazoleta mapinduzi ya maisha ya binadamu.Kwahakika itatuchukua muda kwasababu bado hatuko tayari kufikiri zaidi ya haya tunayoona na kusikia.
 
Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
59,363
2,000
Inapendeza...

Na aliyegundua kiegemeo shingo kwenye seat ya gari alipewa nini nae?
 
Lumoge

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
610
1,000
Kwa hiyo siku zote unaona Diploma ni Elimu ndogo?
Sina maana hiyo isipokuwa nimejaribu kuwafuatilia wagunduzi wengi hasa katika field yangu wengi walikuwa wana bachelor hadi kuleta kuleta kitu au tu ku innovate. Hivyo sikuichukulia ni elimu ndogo ila nilipendezwa kama tu mtu ana Dip anaweza leta kitu kama hicho.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom