Kwa muda sasa nimekuwa nikitafakari sana kwamba huenda kama binadam asingekuwa na shughuli nyingi sana zinazohitaji ubongo wake kufikiri kwa kina sana ili kupata majibu au matokeo ya kile...
UFALME WA UINGEREZA.
Na. Comred Mbwana Allyamtu CMCA
Monday-12/09/2022
Tabora- Tanzania
Kwanza kabisa Familia ya kifalme nchini Uingereza hairuhusiwi kikatiba kujihusisha na masuala ya kisiasa...
I'm really tempted to go all the way; but I won't do this time. Not worthy it. Kama wabunge waliochaguliwa na wananchi wanaogopa na hawako tayari kwanini wengine tujihangaishe? The connections...
Its taking Christians 2,000 years to agree on HOW Jesus is part of Trinity. We find Genesus 1:1 saying, "In the beginning, God created the heavens and the earth..."
When I ask Christian's where...
Habari wana JF na maisha yetu.
kuna makala mengi yapo humu JF na sehemu nyingi zinaonesha wenzetu walivojikita kwenye ujasusi wakutumia wanyama ili kupata taarifa za kijasusi.
ila hapa Tz...
Salaam!
Kabla sijaeleza dhana nzima ya andiko langu naomba kutoa mfano huu,
Tunatambua kwamba kuna sayari 9 ulimwenguni dunia ikiwa mojawapo (ingawa haijulikani kama ndizo sayari pekee zilizopo)...
Habari zenu mifugo ya Mungu na Shetani? Naona mnazidi kusukuma siku mkingoja kuliwa tu.
Nimegundua kitu kuwa kila kinachofugwa huwa akiruhususiwi kujua dhima na dhamira ya yule aliyekifuga...
Habari wakuu!
Leo nataka niwashirikishe mojawapo ya njia ya kuweza kupata au kufanikisha kitu chochote ambacho unahisi ni kigumu katika maisha yako. Moja wapo ya njia hii ni kutoa chochote kwa...
Kutokana na Biblia, "Mwz: 1:27 ....... Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba". Kwa maana aliwafinyanga.
Vilevile "Mwz: 2:21, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito nae akalala...
Miaka kadhaa iliyopita nilitangaza hapa JF adhima yangu kufanya utafiti kuhusu uchawi na imani za siri.
Safari yangu katika tafiti kuhusu uchawi ilinifikisha kwa Mungu wa Kabili, mganga wa Jadi...
Kwa maana hiyo wanasayansi wote wanafanya shughuli za ushirikina aidha kwa kujua au kwa kutokujua.
Natafuta ufafanuzi zaidi au hakiki (evidences) juu ya hii taarifa. Kwanini sayansi na...
USALAMA WA MBINGUNI BADO NI MDOGO
Na, Robert Heriel
Wakati Mungu anaumba Mradi wake wa Dunia aliumba kila kitu kikiwa chema kabisa. Hakuna ambacho kilikuwa na kasoro, kila kitu kilikuwa...
Namba 666 ya kitabu cha ufunuo katika kitabu cha biblia, yaani namba yenye mahesabu ya kibinadamu au CHAPA YA MNYAMA au ALAMA YA MPINGA KRISTO ni nini hasa? Au nia na madhumuni yake ni nini?
Je...
6 places on Earth where the sun never sets!
Our routine revolves around 24 hours a day, with around 12 hours of sunlight, and the remaining hours are night time. But, did you know that there are...
Ufahamu tokea mwanzo ulijengwa katika misingi ya udadisi na kutenda, baadae likaja suala la kuamini na ikatokea au isitokee lakini kukawako na tumaini wenda itakuwa.
Kitu cha kwanza kuanza nacho...
Vimondo ni magimba yanayomeguka kutoka kwenye Sayari na yakishameguka huingia kwenye anga la Dunia yetu na hatimae hudondokea kwenye uso wa Dunia yetu!
Swali ni je hiki kipate kinawezaje kueskepu...
Wanasayansi wanafichua historia iliyofichwa iliyokuwa chini ya gereza la Alcatraz.
Lilikua gereza la Marekani lenye sifa mbaya zaidi.
Lili jengwa kwenye eneo lenye mawe katikati ya Ghuba ya San...
Leo nimetafakari sana neno hili mara baada ya kwenda kanisani. Nafikiri ilikuwa ni mpango tu wa Mungu ili nije kuujulisha umma wa JF mambo kadha wa kadha ambayo wengine hawaelewi na...
Habari ya jumapili.
Dini inasema shetani aliasi huko juu mbunguni mahala palipotukuka na palipoinuka juu anapoishi mungu. Baada ya shetani kuasi mungu akamtimua na kumshusha huku Duniani.
Dini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.