Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

Mimi leo nataka niwafundishe kitu cha msingi sana wakuu. Ipo hivi, kinachompa nguvu Mungu ni vitu alivyotoa kuwapa viumbe hapa duniani. Dunia ina mfumo wake ule ule kwamba "Kadri unavyotoa vitu...
12 Reactions
16 Replies
2K Views
Despacito ni wimbo wa msani raia wa Puerto Rico wa kuitwa Luis Fonsi akishirikiana na rapa wa nchi hiyo pia,wimbo huu una mahadhi ya kispain. Kwa mujibu wa mtandao wa iTunes,Amazon...
27 Reactions
129 Replies
23K Views
Kwa muda sasa nimekuwa nikitafakari sana kwamba huenda kama binadam asingekuwa na shughuli nyingi sana zinazohitaji ubongo wake kufikiri kwa kina sana ili kupata majibu au matokeo ya kile...
19 Reactions
46 Replies
4K Views
UFALME WA UINGEREZA. Na. Comred Mbwana Allyamtu CMCA Monday-12/09/2022 Tabora- Tanzania Kwanza kabisa Familia ya kifalme nchini Uingereza hairuhusiwi kikatiba kujihusisha na masuala ya kisiasa...
7 Reactions
13 Replies
5K Views
I'm really tempted to go all the way; but I won't do this time. Not worthy it. Kama wabunge waliochaguliwa na wananchi wanaogopa na hawako tayari kwanini wengine tujihangaishe? The connections...
4 Reactions
133 Replies
33K Views
Its taking Christians 2,000 years to agree on HOW Jesus is part of Trinity. We find Genesus 1:1 saying, "In the beginning, God created the heavens and the earth..." When I ask Christian's where...
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari wana JF na maisha yetu. kuna makala mengi yapo humu JF na sehemu nyingi zinaonesha wenzetu walivojikita kwenye ujasusi wakutumia wanyama ili kupata taarifa za kijasusi. ila hapa Tz...
0 Reactions
2 Replies
730 Views
Salaam! Kabla sijaeleza dhana nzima ya andiko langu naomba kutoa mfano huu, Tunatambua kwamba kuna sayari 9 ulimwenguni dunia ikiwa mojawapo (ingawa haijulikani kama ndizo sayari pekee zilizopo)...
12 Reactions
67 Replies
9K Views
Habari zenu mifugo ya Mungu na Shetani? Naona mnazidi kusukuma siku mkingoja kuliwa tu. Nimegundua kitu kuwa kila kinachofugwa huwa akiruhususiwi kujua dhima na dhamira ya yule aliyekifuga...
29 Reactions
69 Replies
5K Views
Habari wakuu! Leo nataka niwashirikishe mojawapo ya njia ya kuweza kupata au kufanikisha kitu chochote ambacho unahisi ni kigumu katika maisha yako. Moja wapo ya njia hii ni kutoa chochote kwa...
20 Reactions
41 Replies
6K Views
Kutokana na Biblia, "Mwz: 1:27 ....... Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba". Kwa maana aliwafinyanga. Vilevile "Mwz: 2:21, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito nae akalala...
6 Reactions
41 Replies
8K Views
Miaka kadhaa iliyopita nilitangaza hapa JF adhima yangu kufanya utafiti kuhusu uchawi na imani za siri. Safari yangu katika tafiti kuhusu uchawi ilinifikisha kwa Mungu wa Kabili, mganga wa Jadi...
41 Reactions
534 Replies
80K Views
Kwa maana hiyo wanasayansi wote wanafanya shughuli za ushirikina aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Natafuta ufafanuzi zaidi au hakiki (evidences) juu ya hii taarifa. Kwanini sayansi na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
USALAMA WA MBINGUNI BADO NI MDOGO Na, Robert Heriel Wakati Mungu anaumba Mradi wake wa Dunia aliumba kila kitu kikiwa chema kabisa. Hakuna ambacho kilikuwa na kasoro, kila kitu kilikuwa...
27 Reactions
86 Replies
58K Views
Namba 666 ya kitabu cha ufunuo katika kitabu cha biblia, yaani namba yenye mahesabu ya kibinadamu au CHAPA YA MNYAMA au ALAMA YA MPINGA KRISTO ni nini hasa? Au nia na madhumuni yake ni nini? Je...
8 Reactions
93 Replies
26K Views
6 places on Earth where the sun never sets! Our routine revolves around 24 hours a day, with around 12 hours of sunlight, and the remaining hours are night time. But, did you know that there are...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Ufahamu tokea mwanzo ulijengwa katika misingi ya udadisi na kutenda, baadae likaja suala la kuamini na ikatokea au isitokee lakini kukawako na tumaini wenda itakuwa. Kitu cha kwanza kuanza nacho...
9 Reactions
30 Replies
8K Views
Vimondo ni magimba yanayomeguka kutoka kwenye Sayari na yakishameguka huingia kwenye anga la Dunia yetu na hatimae hudondokea kwenye uso wa Dunia yetu! Swali ni je hiki kipate kinawezaje kueskepu...
6 Reactions
123 Replies
7K Views
Wanasayansi wanafichua historia iliyofichwa iliyokuwa chini ya gereza la Alcatraz. Lilikua gereza la Marekani lenye sifa mbaya zaidi. Lili jengwa kwenye eneo lenye mawe katikati ya Ghuba ya San...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…