Undava King
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,205
- 5,333
Namba 666 ya kitabu cha ufunuo katika kitabu cha biblia, yaani namba yenye mahesabu ya kibinadamu au CHAPA YA MNYAMA au ALAMA YA MPINGA KRISTO ni nini hasa? Au nia na madhumuni yake ni nini?
Je, tunaweza vipi kutambua CHAPA hii ya MNYAMA juu ya MAPAJI YA NYUSO zetu ikiwa tumeshaipokea au bado?
Katika maswali haya mawili hapo juu naweza kukuambia kuwa la kwanza sina hakika nalo hila hili la pili nitaligusia japo kidogo naomba ongozana nami katika uchambuzi huu;
Dunia inatawaliwa na kitu kimoja tu chenye nguvu sana yaani:- PROPAGANDA inayogawanyika katika vipengele vikuu viwili navyo ni 1. DINI 2. SIASA
I) DINI inatawala IMANI au HISIA KUU na TUMAINI LA KIPEKEE LA BINADAMU, hiki ndicho chombo chenye nguvu kuu kuliko siasa na upanga na sababu kuu ni kuwa ugusa IMANI. Hivyo basi dini ndiyo NAMBA 6 YA KWANZA.
Vipi ni viashiria vya matumizi ya alama hii katika baadhi ya IMANI zetu:
(a) Ukristo
- Alama ya msalaba (ishara ya upanga au mauaji) na kuhusudu nudity ya idol kama ishara ya ukombozi (kitabu cha ufunuo kinatahadharisha juu ya mwanamke mmoja kahaba anayekunywa damu ya watakatifu katika kikombe cha machukizo yake. Swali ni Je, amshirikiani nae mnapokula mwili na damu yake?)
-kupakwa majivu meusi kama ishara ya msalaba katika PAJI LA USO
(b) Uislamu
- Ishara ya box jeusi la mraba na jiwe la kahaba linalozungukwa (ibada ya kumsujudia BAALI)n.k
(c) Ubuddha
(d) uhindu
-Kupaka bindi au doti nyekundu katika paji la uso (kuipokea chapa ya mnyama 666 na ishara ya jicho moja a.k.a jicho la tatu)
Nakadhalika nakadhalika orodha ni ndefu na mambo mengi yanajirudia katika dini zote siwezi zimaliza maana kuna Judaism ambao utumia Nyota yenye pembe 6 (ishara ya umoja wafuasi wa 666 na ibada ya BABELI) kuna TAO na ishara za dolphin wawili wenye doti jeusi na jeupe ndani ya duara sawa na kile kisu cha maninja cha kuchinja kwa kuzunguruka au msalaba wa wakristo au alama ya Nazism n.k vyote hivi uashiria 666)
Hivyo itoshe kusema madhehebu yote katika ulimwengu huu bila kujalisha yanaamini katika nini, nambari yao ya usajili au mwamvuli wao ni Chapa 666 na ufanya kazi kinyume au badala ya owner halali wa namba hiyo 666 ambaye ni wewe BINADAMU (kujua hili tumia kitabu cha biblia (kilichoigusia namba hii)
fungua kitabu chochote katika page yeyote soma sura ya 6 mstari wa 6 pekee wa kila kitabu kisha summarize kwa mtizamo mmoja wa dhamira ya mstari uliousoma lengo lake ni kukujulisha nini, mwisho naamini utakubaliana nami kuwa hii ni namba ya UUMBAJI na THAWABU siku ulipoumbwa na sasa umebatilishwa kuichukia au kuiogopa(wanakufanya uisujudie au kuiepuka popote uionapo au ikushawishi kuwa ina nguvu na kukutawala) hili waliokuibia ukuu wako wautumie kukuendesha wanavyotaka daima uwe ndani ya circle hii pasipo kuchomoka.
Hivyo ikiwa namba 666 umaanisha au kumwakilisha MWANADAMU basi tiyari unajibu la mind game kuwa masihi Dajjal au Mpinga Kristo ni nani, ambaye ana macho lakini haoni na ana masikio lakini asikii bali analo jicho moja tu lingine limezibwa hili asione.
Hivyo hapo tunakuwa tumejua tofauti kati ya Mpinga Kristo, Chapa ya Mnyama 666 na Shetani(joka mwekundu wa kale au ibilisi)
Kwahiyo tumejua sasa kuwa Shetani utumia Chapa ya namba 666 kama chambo ya kumtawala na kumtumikisha Binadamu kama mtumwa wake ambaye ni daraja la hatia(mpinga kristo au mweneza uongo) na hivyo endapo atafanikiwa atakuwa na utetezi kuwa yeye si mwongo wala mkosefu bali mwenye haki isipokuwa binadamu ndiye mkosefu,
mathalani anajua hatima yake na pengine ndiyo maana anajipambanua kama baba wa ulimwengu huu na anatafuta wa kuangamia nae. Hivyo ukiuliza kwanini atumie kitabu hicho hicho kuelezea habari njema( za mungu) na mbaya (za shetani) kama kitu kimoja na sehemu nyingine kama kinapingana au kutoeleweka kirahisi. Jibu ni moja tu mbona mlikwisha kufunuliwa kuwa jema ni lipi na baya ni lipi tokea siku ile ulipoacha kuisikiliza sauti ya mungu wako nakuifuata ya shetani.
Je ukutambua juu ya fumbo la kula tunda la mti wa mauti na anguko lako?(symbolism ya bustani ya edeni) kuwa ni kukubali ushawishi huu(kupokea DINI) yaani kujua MEMA na MABAYA(kuabudu na kutenda visivyo na vilivyo yaani KWELI na UONGO kwa pamoja ndani ya chanzo hicho hicho kimoja (kiini/shina) cha maarifa)
II. SIASA na lengo la siasa ni kusimika UONGOZI waKIBINADAMU kutawala BINADAMU (Chapa 666) kwa nia ya kuwajengea binadamu kasumba ya uchu na uroho wa kupokonyana nguvu za utawala na mamlaka kama ishara ya UASI na ANGUKO LAO juu ya tamaa ya umiliki mali, mamlaka na amri juu ya wengine.
Hata siku moja SIASA haijawahi kuwa asilimia walahu 50 juu ya maslahi ya wale wanaodanganywa kuwa siasa ni kwa ajili yao bali imeonekana kuwapa favour watawala zaidi ya wanaoongozwa na hilo ndilo lengo haswaa la siasa yaani kuleta hali vuguvugu la imani, utulivu na machafuko ya uasi(toka tabaka kandamizwa) juu ya uso wa nchi nakutimiza adhima ya malengo ya MUASI
mwenyewe.
Unapokuwa kwenye kampeni unalazimika kutumia ishara ya dole gumba moja(6) kuashiria chama tawala na ishara ya vidole viwili (66) kuashiria cha upinzani hii umaanisha kuwa Siasa hili ilete tija au kuwa siasa inayoitajika katika ulimwengu huu lazima itimize masharti hayo ambayo tumezoea kuyaita kitaalamu DOMOKURASIA yaani (chama tawala +Uasi/Wapingaji(zani))huwa sawasawa na 666. Ndiyo maana huyu ampingi dini wala dini ampingi siasa kwani lao moja wote ni watawala na lengo ni moja.
Sasa ukiwa ndani ya utawala wa vitu hivyo hapo vikuu viwili ambapo kimojawapo kati ya hivyo lazima kikukabili tu iwe isiwe yaani kama siyo SIASA I.e kutawaliwa basi DINI, Vyombo hivi jukumu lake nikuakikisha ubongo wako unadhibitiwa kisawasawa na kamwe usiujue ukweli hadi unaondoka hapa duniani.
Hivyo wanashikilia nyanja zote za ufahamu wako kuanzia elimu wanayokupa, afya yako ya mwili na akili, huduma muhimu, mode ya kusurvive, kuchochea mood ya vishawishi kama kukujengea mazingira ya ngono, muziki, michezo, ukatili wa kijinsia na mmonyoko wa maadili n.k
Na hutumia nguvu ya upanga(dola I.e jeshi na vita) na umma wa wanadamu wenzako hao hao kukudhibiti na kuweka principals ambazo wanajua kama binadamu lazima utasurrender tu kwao utake usitake Chapa 666 lazima itawork against you
Kwa kila utakapoenda, utakachofanya, bidhaa utakazonunua au kutumia, vitu au watu unaowa-admire au maendeleo yako na maisha yako na kila unachokiona mbele yako kitakuwa tiyati kiko affected kwa namna fulani na ishara, chapa, matendo, uamasishi na pengine ni kiashiria chenye udhahiri usio jificha wa namba hiyo 666
Hii nikumaanisha huwezi kuwa nje ya duara hill maadamu unaishi tegemea kusikia,kushuhudia au kuhusika na habari za mauaji, ushoga, ushetani, wizi, vita, teknolojia, uzinzi, ulawiti, upotoshaji, majanga,sherehe, maangaiko, starehe na vilio.
Ilimradi huko tiyari chini ya utawala huu na sasa watambua kuwa una cha kufanya kuubadili ukweli tafadhali hamka toka usingizini na ufumbue kope zako uione nuru na uishi huru ukiwa mwenye amani na tumaini jipya usiyetishwa na kivuli chako mwenyewe.

- Ubatizo (kupokea CHAPA na kuapa kuilinda daima)
- Utatu Mtakatifu (666=zote ni 1kumaanisha jambo moja)
- mavazi ya wachungaji na mapadre kuwa na umbile la mfanano na samaki (wafuasi wa BAALI au BABELI MKUU)
- Askofu kuwa na fimbo yenye umbile la nyoka inayomtegemeza au kumuongoza altareni (ishara ya utawala wa ibilisi au joka la zamani)
- Kuwa na idol mmoja mwenye cheo sawa au karibia na mungu anayeabudiwa
- Rozali na kufanya tahajudi, mafukizo na kuchoma udi au ubani, kuimba kwa mtindo wa taratibu na huzuni, kupiga ala Fulani za miziki (kuruhusu mwingiliano wa kiroho)
- Majengo au usanifu wa makanisa kuwa na maumbile ambayo ukiyachunguza kwa mtizamo wa ndani unaishia kumwona nyoka, bundi, mbuzi, nyota, pembe tatu au maumbile ya utupu wa binadamu (jinsi ME au KE mfano mrahisi ni kanisa kuu kule Vatican) n.k
(b) Uislamu
- Kupata suguru nyeusi katika paji la uso kama ishara ya ukomavu katika swala (Chapa 666).
- kuvaa tasibii na pete za vito vya mviringo,kujifukiza udi au ubani,kuongea kwa mfumo wakuimba nakupiga ala Fulani za miziki (kuruhusu mashirikiano ya kiroho kwa njia ya tahajudi, chanting na manuizi)
- Kiongozi kuwa na fimbo yenye ishara ya duara dogo katika ncha ya mwisho kwa juu na nusu mwezi utazamao juu pamoja na nyota yake.
- Msahafu kuwa na alama ya duara katikati ya kava lake la juu ni kiashiria cha alama ya jicho moja (ishara ya ibada ya Dajjal na hili kukielewa vyema wapaswa kukikiri kitabu hiki tokea moyoni na kukibusu mara 3 kabla ya kukifunua)
- Kuwa na idol mmoja mwenye cheo sawa au karibia na mungu anayeabudiwa
- Ishara ya Nyota na Mwezi (ibada za upagani yaani BABELI mama wa makahaba)
- Ishara ya box jeusi la mraba na jiwe la kahaba linalozungukwa (ibada ya kumsujudia BAALI)n.k
(c) Ubuddha
- Kunyoa kipara (mfano wa kichwa cha nyoka) na kufanya tahajudi (kuruhusu mwingiliano wa kiroho)
- kuunganisha viganja vya mikono pamoja kuelekea juu usawa wa kifuani( ishara ya ndimi za moto au ulimi wa nyoka)
- Kukaa mkao wa kukunja miguu, mgongo wima na viganja vya mikono kuunganishwa usawa wa kifuani wanapofanya tahajudi (kuchora umbile la nyota yenye pembe tano yaani magoti 2, viwiko 2 na kichwa kimoja 1 jumla 5 nyota hiyo ni pentagram na ukiigeuza juu chini basi ni baphomet bila chenga)
- Matumizi ya tasibii, chanting au tufe za duara
- Kuwa na idol mmoja mwenye cheo sawa au karibia na mungu anayeabudiwa pia
- Mafundisho ya New Age I.e jicho la tatu, OBE, kuamsha nyoka wa shaba n.k
- Kukiri kupitia ufahamu unaotokana na mafundisho yao kuwa hayupo mungu
- Kuacha au kufifisha ego yaani hile dhamiri ya ndani ya mtu ( Nafsi au ubinafsi wa asili na hofu inayomlinda mtu katika kuamua chochote ndani yake hili aweze kupokea maarifa mapya yaani 666 tumezoea kuyaita mafunzo ya NEW AGE) n.k
(d) uhindu
-Kupaka bindi au doti nyekundu katika paji la uso (kuipokea chapa ya mnyama 666 na ishara ya jicho moja a.k.a jicho la tatu)
- kuwa na idol mmoja mwenye cheo sawa au karibia na mungu anayeabudiwa pia.
- Kufanya manuizi na tahajudi (ishara ya maingiliano ya kiroho)