Wadau nawasalimu
Je Umewahi Kujiuliza kwanini MUNGU aliamua MTU AKIFA azikwe na asichukue kitu chochote alichokuwa nacho Duniani?
Je Angeruhusu unadhani ingekuwaje?
Je Unadhani Binadamu...
Naomba majibu kulingana na ufahamu wako wa kumjua Mungu, wale walio kufa ikifika Muda wa hukumu judge atatoa hukumu ya Moto wa Jehanamu kwa watu wenye sifa zipi na Watakao ona pepo au watakao...
Nanukuu kutoka kitabu cha KUMBKUMBU LA TORATI FUNGU LA 28:
1 Itakuwa utakaposikia sauti ya Bwana, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo Bwana, Mungu...
Pengine wengine wanaweza kujiuliza nini maana ya Pentateuch. Pentateuch au "Πεντάτευχος" limetokana na lugha ya kiyunani yaani kigiriki linalomaanisha "penta" (πεντά au πεντά) yaani tano na...
Kwa nini? Kwa mtazamo wa kwanza, inaonekana kama nambari ya kawaida. Lakini hadithi nyingi na imani zinahusishwa nayo. Mtu anaamini kabisa kuwa 13 ni nambari isiyo na bahati. Kwa nini? Hii...
Bonjour wana JF,
Sijui kuna mtu ameshawahi kua na swali kama langu ila akakosa majibu ya kitaalamu.
Kila nikiangalia ziara za Rais JPM huwa naona walinzi mwenye sare tofauti tofauti nikapata...
Sasa ni hakika na wazi kuwa binadamu ataishi kwenye sayari tisa kabla ya kuonana na Mungu
Inasemekana Adam aliishi miaka 900 ambapo kila baada ya miaka 100 alikuwa akiishi kila sayari na Dunia...
Habari za jioni wajuzi !.
Nianze kwa kusema inawezekana kuna wakati tunasoma vitu sawa lakini katika uelewa tofauti.
Huu uzi haupo kwenye masuala ya kidini na nisingependa tuingie huko tubaki...
Kama tukilitazama hili kwa jicho la kiimani tutasema shetani anaupiga mwingi na ametafuta plan B baada ile ya pale Eden kuingia dosari na watu kuanza kuugua, kuzeeka na kufa.. Kama kuna kitu...
"The problem with Africa is those with power have no idea, and those with idea have no power"
By proffesor lumumba
Recent Nilikua nasoma kitabu kimoja kimaitwa THE LOOTING MACHINE OF AFRICA...
Wanaanza kwa kukujaza upepo mpaka unajiona umenona, wewe ndio wewe, Mfalme. Wanakulainisha na kukulegeza mpaka miguu inakosa nguvu, huwezi kusimama. Wakianza kuingiza huna cha kuzuia, umekwisha...
Bill Gates ni mmoja kati ya bloodline ya Rothschilds, the richest family of all time, Illuminati family. Familia iliyochanganya damu yao ya Lucifer na kuwa watoto wake, hicho ndicho kizazi cha...
Habari wanajukwaa,
Kuna ka usemi nilikua nakasikia tangu nikiwa shule O-level ila nilikua siamini eti walimu hawazeeki haraka. Kwa kweli nimekuja kushuhudia na kuchunguza juu ya hilo na kuona ni...
Habari Wana jamii,
Najiuliza kwanini yesu amekuwa maarufu baada ya kufa, ukisomana ukiangalia zile filmu zote zinazoelezea kuhusu yeye (yesu)mwisho alisubiwa na WAKATI mtawala anaulza kafanyanini...
Heri,
(1) Nabii Isaya katika kitabu cha Isa.4:2, alisema ipo majira ambapo kutakuwepo na chipukizi zuri. Hapa Nabii Isaya alikuwa na maana kuwa kilichokuwepo huko nyuma ni chipukizi la mabaya...
Habarini wanajamvi!
Baada ya kupitia makala mbali mbali humu JF na kwengineko nakubaliana kabisa na dhana ya kwamba duniani tunaota tu.
Hii ni kutokana na ukweli kwamba roho zetu zinaishi...
Tutafute uhalisia wa kitu hiki, yaani unao uwezo wa kumuua kubwa la majambazi then unaamua kumuacha na kumuua mwanao ili wanaoonewa na jambazi wapone?
Is it logical?
Kwa nini Mungu asimuue...
Mimi leo nataka niwafundishe kitu cha msingi sana wakuu.
Ipo hivi, kinachompa nguvu Mungu ni vitu alivyotoa kuwapa viumbe hapa duniani.
Dunia ina mfumo wake ule ule kwamba "Kadri unavyotoa vitu...
Despacito ni wimbo wa msani raia wa Puerto Rico wa kuitwa Luis Fonsi akishirikiana na rapa wa nchi hiyo pia,wimbo huu una mahadhi ya kispain.
Kwa mujibu wa mtandao wa iTunes,Amazon...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.