Comred Mbwana Allyamtu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 362
- 909
Kiasili Ukraine ndio Mama wa Russia, Russia imetokana na Ukraine.
Ukraine ya sasa huko kale iliitwa Kievan, baadae ikaitwa Kievan-Rus (hili nimewahi kulieleza kwa kina huko nyuma).
Sasa leo naweka sawa hapa...
Kama nilivyowahi kusema huko awali, Urusi salama ipo mikononi mwa Ukraine, katika MASRAHI ya usalama wa mataifa katika ujasusi wa Siasa za dunia tunajua nini kitakachotokea ikiwa Urusi atapoteza udhibiti wa Ukraine (bahari nyeusi).
Rejelea mkataba wa Marekani ulioitwa "Guadalupe Hidalgo" wa mwaka 1848 ili ufanye uchambuzi linganifu.
Katika mkataba huu Marekani inakataza, kuzuia na kuweka marufuku nchi ya Mexico kuwa na uhusiano wowote ule ambao Marekani itaona ni hatari kwa masrahi yake, mkataba huu upo hai mpaka sasa.
Kisha pitia mkataba wa "Kolomak articles" wa mwaka 1687 ulio irudisha Ukraine kama sehemu ya Urusi ili kulinda masrahi ya Urusi.
Hii kitaalam huitwa "interest de impera"
Maana yake nini? Ukraine ni eneo muhimu sana kimkakati kwa Urusi dhidi ya wahasimu na maadui zake, hivyo ndivyo ilivyo kwa Zanzibar ilivyo muhimu kwa Tanzania kuliko Burundi na Rwanda katika stratejia.
Kuna maeneo ya kimkakati na maeneo ya kuzingatia katika usalama wa masrahi ya nchi, sasa Ukraine ni eneo la kimkakati kwa Urusi.
kuna msemo usemao "Wakati mwingine adui aliye hai ni muhimu kuliko adui aliyekufa."
Nje ya asili pia Ukraine ni sehemu ya Urusi, ukirejea ile iliyokuwa USSR, Ukraine ni moja ya nchi tatu za awali yani muasisi zilizounda Umoja wa kisovieti mwaka 1922, ikiwa ni pamoja na Russia na Belarus.
Na baaadaye nchi zingine zikaingia ambazo ni Maldova, Estonia, Latvia, Lithuania, Armenia, Georgia, Kazakhstan, Tajikistan, ambazo ndio zilizokuja kuunda ile iliyoitwa USSR- Umoja Jamuhuri wa kisovieti
Mwaka 1991 Ukraine iliondoka USSR, ikumbukwe kuwa Ukraine ndio eneo la pili kutoka ile iliyokuwa USSR iliyobakia na idadi kubwa ya siraha za nuclear, Mwaka 1994 kukafanyika mkataba wa "Budapest Memorandum" ili kusambaratisha siraha ili itambuliwe na Russia, mkataba ule ulitaka pia ulinzi wa Ukraine usimamiwe na Russia.
Yani masrahi ya Ukraine ilikabidhiwa Russia, hii ni kwamba Russia ndio isimamie ulinzi na usalama wa Ukraine, hii inamaana kuwa Si kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu, Zelenskyy hatambui hili?
Sasa Ukraine anafikiri kuna uhuru unaovuka mamlaka, duniani kuna uhuru na mamlaka, Ukraine anadhani ukiwa na uhuru ndio unakuwa na mamlaka anasahau kuwa ndani ya uhuru kuna kile kinachoitwa "interest de impera".
Ndimi Comred Mbwana Allyamtu CMCA