Mjue Jini anaetumika zaidi katika kamari: MINOSON

Rakims

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
4,982
4,481
Inawezekana katika kupita pita kwako kwenye mitandao umekuta jini huyu kazungumziwa sana lakini si kwa uwazi zaidi ya kuwa ana hakikisha ushindi kwako katika michezo ya kamari,

Hapa nitakujuza kidogo na zaidi ya vile unavyojua kuhusu yeye,

MINOSON:

Huyu ni moja kati ya majini watumishi wenye nguvu kabisa katika tabaka za majini 72 wafalme au wenye uwezo na katika kundi la majini ujinini wenye asili ya pesa basi huyu ni mmoja kati ya wao Watanzania au waswahili humuita NYAMIHELA wao huamini kuwa mwenye kuwa na urafiki na jini huyu hupata mali na pesa nyingi za kujitosheleza lakini kitu kimoja unachotakiwa kujua kuhusu jini huyu kwanza katika makundi ya majini yupo kwenye kundi la MASHETANI hivyo na yeye ni moja kati ya mashetani, waliokaribu sana na Shetani mwenyewe sasa unapojiingiza kutafuta pesa kwa kupitia kuchezesha kamari wenye makasino makubwa wote huweza kumuona huyu na kufanya nae mkataba ili kuweza kufanikisha katika kupata kwao manufaa kupitia yeye.

IKIWA UNATAKA KUMUONA KWENYE MAKASINO:

Ili kuweza kumuona Minoson inatakiwa uwe na ubongo wa Tai pamoja na jicho la kulia la Bundi hivi unakuwa umeviweka katika kitambaa chekundu na pia uwe umevaa miwani ya rangi nyekundu ikiwa utakosa hivyo basi miwani ya rangi nyekundu upate pamoja na tongotongo za Paka Mweusi au Mbwa Mweusi, hizo utazipakaa mwishoni mwa vishikio vya miwani hiyo.

Ishara ya uwepo wake pia kwenye Casino uliyoingia utaona picha yenye muhuri anaotumikia ambao ni wa wakubwa zake Satanachia na Satanicia inakuwa nyuma ya karata ambazo ni Queens & Kings utaona mchoro huo hapo chini: au kwenye sehemu ya michoro kwenye ukuta

Satanachia_13211.gif
satanachia_by_andevili_dbxm5io-pre.jpg

Utakuta nyuma ya moja kati ya hiyo mihuri nyuma ya hizo card kama zimechorwa au michoro mingine ya games ambayo inakuwa nyuma yake imefichwa hiyo na pia hiyo ni mihuri ya wakubwa zake ambao yeye anawatii bila kupinga sasa unapowekwa huo mchoro eneo hilo anakuwa hana ujanja yeye na wenzie wanane wanakuwa pamoja katika Casino hiyo nao hufanya kila mchezo kumpumbaza na kumvutia anaecheza kuzidi kucheza na kuondoka bila kitu hadi awe na roho ngumu sana ndio anaweza kuwashinda pale wanapokuwa wamemkaribisha kucheza.

JINSI YA KUWASHINDA:

Huyu Minoson ni rahisi sana kumshinda pale tu unapokuwa na muhuri wake yeye huona wewe teyari ni rafiki yake na unamtii au ukiwa na moyo wa ndege anaempenda kuruka nae umeufunga mkono wa kulia kwenye kitambaa cheusi Jumamosi au cheupe Jumatatu yeye hukuona wewe ni rafiki yake na hukupa ushindi kwa kumfanya rafiki kwa siku hiyo moja.

Elewa kuwa Satanachia na huyo mwenzie wana watumishi 45 chini yao miongoni mwao wanne ni Surge,Uthy,Heramal,Trimasel na Sustugiel hawa wawili ni machief waliobaki ni vizabizabina sasa hawa ni watendaji wa haraka sana na wepesi zaidi nao wana watumishi wao 13 waliochini yao na ambao ndio wao wanawasimamia hawa nane waliobaki ambao miongoni mwao wa saba ndio huyo minoson, sasa nakwambia haya kukuonyesha kuwa utii wa huyu minoson katika muhuri huo upo chini ya ulinzi mkali hawezi kukwepa na pia hana ujanja ikiwa utakuwa na muhuri sahihi wa kutumia kumuongoza huyu kwa unachotaka kufanikisha katika hiyo michezo ya Gambling(kamari)

TAHADHARI:
Sijafundisha muhuri upi ni sahihi na upi si sahihi kwa sababu nimependa nikufundishe kwanza kujua uwepo wao na ikiwezekana usiende pale kwa kutegemea ushindi

Kwa haya na mengineyo:
Tembelea:

Rakims
 
Inawezekana katika kupita pita kwako kwenye mitandao umekuta jini huyu kazungumziwa sana lakini si kwa uwazi zaidi ya kuwa ana hakikisha ushindi kwako katika michezo ya kamari,
Hapa nitakujuza kidogo na zaidi ya vile unavyojua kuhusu yeye,

MINOSON:
Huyu ni moja kati ya majini watumishi wenye nguvu kabisa katika tabaka za majini 72 wafalme au wenye uwezo na katika kundi la majini ujinini wenye asili ya pesa basi huyu ni mmoja kati ya wao watanzania au waswahili humuita NYAMIHELA wao huamini kuwa mwenye kuwa na urafiki na jini huyu hupata mali na pesa nyingi za kujitosheleza lakini kitu kimoja unachotakiwa kujua kuhusu jini huyu kwanza katika makundi ya majini yupo kwenye kundi la MASHETANI hivyo na yeye ni moja kati ya mashetani, waliokaribu sana na Shetani mwenyewe sasa unapojiingiza kutafuta pesa kwa kupitia kuchezesha kamari wenye makasino makubwa wote huweza kumuona huyu na kufanya nae mkataba ili kuweza kufanikisha katika kupata kwao manufaa kupitia yeye,

IKIWA UNATAKA KUMUONA KWENYE MAKASINO:
Ili kuweza kumuona minoson inatakiwa uwe na ubongo wa Tai pamoja na jicho la kulia la bundi hivi unakuwa umeviweka katika kitambaa chekundu na pia uwe umevaa miwani ya rangi nyekundu ikiwa utakosa hivyo basi miwani ya rangi nyekundu upate pamoja na tongotongo za paka mweusi au mbwa mweusi, hizo utazipakaa mwishoni mwa vishikio vya miwani hiyo,
Ishara ya uwepo wake pia kwenye casino uliyoingia utaona picha yenye muhuri anaotumikia ambao ni wa wakubwa zake Satanachia na Satanicia inakuwa nyuma ya karata ambazo ni Queens & Kings utaona mchoro huo hapo chini: au kwenye sehemu ya michoro kwenye ukuta

View attachment 1198501View attachment 1198502

Utakuta nyuma ya moja kati ya hiyo mihuri nyuma ya hizo card kama zimechorwa au michoro mingine ya games ambayo inakuwa nyuma yake imefichwa hiyo na pia hiyo ni mihuri ya wakubwa zake ambao yeye anawatii bila kupinga sasa unapowekwa huo mchoro eneo hilo anakuwa hana ujanja yeye na wenzie wanane wanakuwa pamoja katika Casino hiyo nao hufanya kila mchezo kumpumbaza na kumvutia anaecheza kuzidi kucheza na kuondoka bila kitu hadi awe na roho ngumu sana ndio anaweza kuwashinda pale wanapokuwa wamemkaribisha kucheza,

JINSI YA KUWASHINDA:
Huyu Minoson ni rahisi sana kumshinda pale tu unapokuwa na muhuri wake yeye huona wewe teyari ni rafiki yake na unamtii au ukiwa na moyo wa ndege anaempenda kuruka nae umeufunga mkono wa kulia kwenye kitambaa cheusi jumamosi au cheupe jumatatu yeye hukuona wewe ni rafiki yake na hukupa ushindi kwa kumfanya rafiki kwa siku hiyo moja.

Mkuj we ushawahi kumwona huyo jinn ama unaleta ishu za kusadidkika
 
Rakims ----- kiongozi wa majini !!, hebu nitupie hilo jinni lako kama unaweza??🤔🤔
 
Wewe Rakims, Muogope Mungu, huu uongo wako utakupeleka Jehanamu, Ujue uongo ni Ushirikina nayo ni dhambi kubwa ukifa nayo Allah hatokusamehe siku ya kiyama.

Achana kabisa na imani za kupotosha watu, imani za kishirikina na kishetani.

Ewe, Rakims, Muogope Allah. Achana na huo upotoshaji kuwapoteza watu wasimjue Allah na wajue na kuabudu majinni na imani za uongo za majinni.

Nasema nitumie hayo majinni yako yaje kunidhuru huku nilipo kama kweli wewe unasema mambo ya ukweli, acha huo uongo.
 
Back
Top Bottom