Jinsi ya kujiponya maumivu kwa nguvu ya ubongo (Subconscious Mind) By Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
3,385
Points
2,000

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
3,385 2,000
Jinsi Ya Kujitibu Maumivu Popote Mwilini: Kwa nguvu Ya Fikra... Ikiwa Ni Maumivu Kawaida Au Ya Kichawi..
mind-power.jpg


Jambo! Ni Rakims Tena Na Power Of Subconscious Mind..
Nguvu Ya Ubongo Wako Sehemu Ya Siri Ya Ubongo Wako Inayoleta Effects Katika Spirit & Physical World

Kwa Kukumbuka Nyuma Ukweli Mdogo Kuhusu Binaadamu Nilisema:

"Binaadamu Ana Ubongo Wenye Asilimia 100, za utendaji Kazi Wa Ubongo Wake, Lakini Kwa Makadilio Na Balance Of Nature Anatumia 10% Ya Ubongo Wake Kufanya Yote Anayoyatenda Katika Ulimwengu Wa Nyama:

Mfano: Kuishi,kucheka,kubuni,kutengeneza,kupumua,kula na mengineyo mengi unayoyaona yanayoendelea katika ulimwengu wa nyama..

Yoyote Anaesogea 0.9-3.5% huitwa Genius Au Huitwa Mpiga Ramli Au Mtumishi Wa Mungu Au Mfanya Mazingaombwe Au Muaguzi..

Lakini Anaefanikiwa Au Kujaliwa Kufika 20%-50% Huitwa Mtume,Mwana Wa Mungu(Astaghfirullah) nabii N.k

Lengo Si Kuelezea Sana The Brain Power.. Ikipatikana Nafasi Nyingine Nitaandika Uzi Wake....

Lengo Ni Kueleza Au Kufundisha Mbinu Za Kujiponya Kiimani Au self healing Kwa Kutumia Kuthubutisha Fikra Yako Kuwa: It Can Happen And It Can Be, And It Always Be..

Je Wajua?

Waweza Kupunguza Na Kuondoa Umivu Lililopo Eneo Lolote La Mwili Wako By The Power Of Your Spirit? By The Power Of Your Mind, By The Power Of You?

Kumbuka Ukipenda Kujiuliza Why ME?? Ukiwa Na Maumivu Moyoni Uwe Pia Unajijibu It Always Me Because I'm The One Who Can Always Control It & Fit i Huku Unahisi Faraja Ndani Yako Thats How We Live.... And Success

You Can Do It And You Will Bring Feedback Here Na Wengine Wataelewa Don't Do It And P.M Me Hapa Hapa Watu Waone How Powerful Brain Is..

Moja Kwa Moja Tuone Maandalizi Na Nini Cha Kufanya Ili Uweze Kuondoa Umivu Ulionalo Mwilini Mwako Ikiwa Ni La Kawaida Au La Kinajisi(Kichawi)

Vifaa:

1:Maji Nusu Ndoo litre 10,

2: Chumvi Vijiko Vinne Vya Chai, chumvi ya kawaida

3: Maji Glass Moja Unaweka Vijiko Viwili Vya Chumvi

4: Ndimu Nusu Glass


Jinsi Ya Kufanya:

Asubuhi Ukiamka Unakunywa Glass Yako Ya Ndimu Kabla Ya Kupiga Mswaki Kama Taste Mbaya Add Little Salt Hakikisha Unakunywa Kwa Vituo Hadi ISISIMUE MWILI WOTE..

Baada Ya Hapo Oga,Sukutua.. Shusha Na Glass Yako Ya Maji Yenye Vijiko Viwili Vya Chumvi...


Baada Ya Hapo Chukua Dakika Kama Thelathini Za Kupoteza Maji Ya Chumvi Ndio Unywe Chai Na Vitu Vingine... Siku Ya Kwanza Baada Ya Kufanya Hayo Nenda Na Kazi Zako Ikifika Usiku Muda Wa Kutulia:

Chukua Vijiko Vyako Vinne Vya Chumvi Weka Kwenye Ndoo Yako Ya Rangi yoyote isiyokuwa NYEUSI,kisha weka maji yako nusu ndoo(kwa ndoo kubwa)

Vaa Vazi Lisiloziba Au Kubana sana vinyweleo Nasuggest Kanga Au Dera Kwa Wa Kike... Na Suruali Pana Au Kaptula Ya Kitambaa Kwa Wanaume...


Pandisha Juu Na Tumbukiza Miguu Yako Shsshshshsss!!!!
images2.jpg

hauungui ni ubongo tu utakavyo felt....
Feel Jinsi Hisia Za Umeme Unaopanda Kutoka Kwenye Unyayo Za Miguu Yako Haki Utosini Kwako Uhakikishe Umenyooka Mgongo Ukishindwa kukaa lala chali huku miguu imegusa maji i suggest sakafuni unaweka kitu kama mto kukubalance au ukae bila kuegemea popote Hakikisha Umekaa Dk 30-40 kwa mtindo huo na pale tu utakapohisi umeme huo au mawimbi yamegusa utosini weka nia kwamba

"naondosha uchafu au sumu au uchawi au umivu lililopo katika kiungo changu" unakitaja huku unakifikiria na umivu unalisikilizia kuwa makini kama ni MOYO au KICHWA hakikisha umeuhisi kwanza ndio uanze kuufikiria...

Baada Ya Hapo Kama ukiwa ka umivu lakipuuzi puuzi litayeyukia hapo kabla hujafika zoezi lenyewe yani litapotelea kwenye maandalizi tu lakini kama ni umivu la uhakika hospital limedunda na mitishamba imekwama be patient

Inuka taratibu kama limepotea Usianze Kuruka Ruka Hovyo Be Smart Na Kama Ni Siku Ya Pili Hakikisha Umefanya Asubuhi Na Jioni Kabla Ya Kufanya Zoezi La Ubongo inuka Taratibu Na Utembee bila Kulihisi Eneo Hilo....

Ukifika Muda Wa Kulala Kaa Huku Umenyooka Mgongo Au Lala Chali(sikushauri sana kulala chali kwa maana usingizi unanguvu sana ila kama una nia ya zoezi huwezi kulalala...

ZOEZI: "By Rakims"

ANZA KWA KUFUATA HATUA HIVI:
brain-power-00.jpg

1: Sema Kujiambia Natoa Sumu Ya Aina Yoyote Au Umivu La Aina Yoyote Lililopo sehemu mfano: natoa maumivu ya maisha yaliyopo moyoni mwangu na kuacha huru moyo wangu kuona ni ya kawaida na kuyayeyusha... au natoka kichomi kilichopo mgongoni kwangu kilichogoma kutoka kwa miaka kwa nguvu ya maajabu ya nafsi yangu /ubongo wangu.... Hii ni kama NIA Maana Usipoweka Hii Ni Sawa Na Mtu Anaeumwa Mkono Wa Kulia Akakanda Wa Kushoto...

2: Fumba Macho Kicha Fumbua Baada Ya Kuvuta pumzi moja ndefu sana na kuishika kisha kuitoa fumbua macho... hisi umivu ulilonalo lihisi linavyokutesa,lihisi linavyouma,hisi linavyokera...
jiambie kwa hisia kwamba leo ndio mwisho...
vuta pumzi ndefu 14 yaani saba ndani saba nje, kisha shusha macho yako nusu ya uwezo wako wa kufumbua na usikapue wala kufumba yatulize hapo huku ukiendelea kuzitizama pumzi zako zinavyopenya kwenye koo lako, zinavyoopenya puani kushuka kifuani na kukijaza zinavyotoka na kutetemesha hisia yako ya kuzitizama, Sasa Waweza Kufumba Macho Yako Na Kuendelea Kuhisi Pumzi Zako Bila Kuingiza Wazo Lingine.....

3:Hisia Zako Peleka Kwenye Mwili Wako Kuanzia Mguu Wa Kulia Tuliza Ukithibitisha Umetulia,Tuliza Kushoto Hadi Utulie Kabisa Hisia Zipotelee hapo, hivyo hivyo fuata paja la kulia kisha kushoto huku unaendelea na pumzi, Puata Kalio La Kushoto Kisha La Kulia Tupu Yako Hakikisha Imetulia... Kumbuka Kiungo Kilichobeba Umivu Kukiongezea Muda Mara Mbili Ya Kukituliza, Fuata Tumbo Sehemu Za Chini Ya Kitovu Pande Mbili, Fuata Mbavu Za Kulia Kisha Kushoto,Fuata Kifua Kushoto Kisha Kulia,fuata mkono kisha mabega kulia na kushoto, shingo upande wa kulia na kushoto, kichwani unaanza na kidevu kwenda mdomo,meno,ulimi,pua kulia na kushoto,shavu kulia kushoto,skio kulia na kushoto,jicho kulia na kushoto,nyusi kope paji la uso nywele na sehemu ya utosi.....
feel hiyo ganzi robo inayokupata kwenye viganja vya miguu na mikono... feel ngozi yako inavyoendelea kupata ulinzi sio baridi wala joto mwilini umefikia hatua hiyo vizuri sana sasa fanya kitu kama scanning mwilini kwako yaani feel kutoka juu kwenda chini,chini kuja juu Utakapo leta chini kwenda juu leta na rangi ya silver yaani shaba,, hakikisha unafeel mwili mzima umetanda rangi ya shaba kwa alietulia zaidi anaweza kuhisi msisimko hapo kwe silver colour...

3: Tulia Tulia Tulia,, Endelea Kuhisi Ganzi Ya Mikono Yako Ikiwa Umetulia Utahisi Kibaridi Eneo La Utosi Hapo Sasa Ndio Unaanza Kufikia Rangi Tafauti Zinazokuja Akilini Usizichambue,
baada ya kuzifikia utaona kama zinapita kwenye giza la macho yako sasa vuhisia eneo lile linalouma litachoma au kustua kidogo usishituke, sasa lihisi na tengeneza picha limekaa ndani ya duara imelizunguka.. Visualize Kwa Sekunde 20 limekuwa jekundu HISI rangi hiyo inaanza kwa kupauka kisha kukoza na kupauka tena baada ya sekunde hizo 20-30..
ffd317c10119a701b0ccd53cb2edb404.jpg

4: Panga Rangi Hizo Hivyo Hivyo Kwa Kuanza Nyekundu
2 orange Chungwa
3:yellow njano
4:green kijani
5:light blue bluu bahari
6:blue buluu
7 pupple (zambarau)

5: Baada Ya Hizo Utamaliza Na White Ambayo Ipo Kitope Kwenda white ya MwaNga Aina Ya Nuru Baada ya kuing'arisha eneo hilo Isambaze Katika Kiwiliwili Chote Na Ungae Pamoja Na Silver Ya Figure Yako...

Mwisho:
Vuta Pumzi Kama Ulivyoingia Kama Ndio Muda Wa Kulala Lala Hapo Hapo Asubuhi Uamke Na Uone Miujiza Yako Mwenyewe pia Useme Ahsante Mungu Kwa Kunionyesha Uzi Wa
Rakims...

"Rakims"
 

Mr.Venture

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Messages
1,610
Points
1,500

Mr.Venture

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2014
1,610 1,500
Ubarikiwe sana mkuu, binafsi nimejifunza hizi mambo za meditation hapa hapa JF kupitia nyuzi zako na ule uzi maarufu wa Pasco. Sijawa vizuri sana lakini kile kidogo nilichojifunza huwa nakicombine na imani yangu kwa MUNGU imenisaidia sana ktk kutatua changamoto za msongo wa mawazo, hasira, kucontrol hisia zangu za mahaba n.k
 

Mwl.RCT

Verified Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
8,500
Points
2,000

Mwl.RCT

Verified Member
Joined Jul 23, 2013
8,500 2,000
Rakims
.......Chukua Vijiko Vyako Vinne Vya Chumvi Weka Kwenye Ndoo Yako Ya Rangi yoyote isiyokuwa NYEUSI,kisha weka maji yako nusu ndoo(kwa ndoo kubwa) ......
 • Ni kwanini umetoa angalizo kwamba ndoo iwe na rangi yeyote isiyokuwa nyeusi?
 • Rangi nyeusi ina tatizo gani? au nini kitatokea iwapo itatumika?
 
Last edited by a moderator:

crunkstaa

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Messages
330
Points
225

crunkstaa

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2012
330 225

 • Lengo Si Kuelezea Sana The Brain Power.. Ikipatikana Nafasi Nyingine Nitaandika Uzi Wake....

  Shukrani sana mkuu.Na mimi naungana na wakuu hapo juu kukuombea maisha marefu na yenye moyo wa kutoa mafunzo kwa jamiii.
  Ila mkuu naomba kwenye hiyo red ukipata nafasi basi usichoke kutufunza nayo ili tutoke kwenye hili giza tulilopo.​

 

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
3,385
Points
2,000

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
3,385 2,000
Ubarikiwe sana mkuu, binafsi nimejifunza hizi mambo za meditation hapa hapa JF kupitia nyuzi zako na ule uzi maarufu wa Pasco. Sijawa vizuri sana lakini kile kidogo nilichojifunza huwa nakicombine na imani yangu kwa MUNGU imenisaidia sana ktk kutatua changamoto za msongo wa mawazo, hasira, kucontrol hisia zangu za mahaba n.k
Nashukuru Kuona Uzi Zangu Zimekuwa Msaada Mdogo Kwako Karibu Mkuu...


"Rakims"
 

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
3,385
Points
2,000

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
3,385 2,000
Rakims

 • Ni kwanini umetoa angalizo kwamba ndoo iwe na rangi yeyote isiyokuwa nyeusi?
 • Rangi nyeusi ina tatizo gani? au nini kitatokea iwapo itatumika?

Swali Zuri...

Jibu Ni Kwamba Hicho Unachotaka Kukitoa Kimemarkiwa Kama Black Aura.. Yani Negative...

Pia Huwezi Tumia Rangi Nyeusi Kwa Maana Badala Ya Kufyonza Rangi Hiyo Au Nuru Hiyo Nyeusi Nje.. Itarejesha Ndani Pia Ni Sawa Na Kuzima Moto Kwa Petrol Badala Ya Maji...

Ama Mwisho Ni Sawa Na Kusema Utumie Maji Hayo Ya Chumvi Yawe Ya Moto Si Sahihi...

Karibu!

"Rakims"
 
Last edited by a moderator:

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
3,385
Points
2,000

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
3,385 2,000

 • Lengo Si Kuelezea Sana The Brain Power.. Ikipatikana Nafasi Nyingine Nitaandika Uzi Wake....

  Shukrani sana mkuu.Na mimi naungana na wakuu hapo juu kukuombea maisha marefu na yenye moyo wa kutoa mafunzo kwa jamiii.
  Ila mkuu naomba kwenye hiyo red ukipata nafasi basi usichoke kutufunza nayo ili tutoke kwenye hili giza tulilopo.​Usijali Itafika Muda Wake...


"Rakims"
 

Forum statistics

Threads 1,388,875
Members 527,817
Posts 34,012,736
Top