Wasalaam, wapambanaji:
Tunaamini kila mtu ameletwa hapa duniani kwa sababu maalum na kazi maalumu, kuna walioletwa kuongoza, kufundisha, kugundua/vumbuzi, madktari, ma-engnineer na kila namna...
Wakuu kwema?
Katika kutafakari mambo ya dunia,tafiti na dhana mbalimbali kuna mambo ambayo yanahitaji kujadiliwa na wajuzi ili tusio na uelewa tuelewe.
Sasa wanabodi nimejaribu kutafakari...
Top 10 Best Modern Militaries/Armed Forces
Who do you think are the top 10 best Militaries/Armed Forces in the world? In other words if each country was to go in an all out war with each other...
Biblia ina andiko la wakati Mungu akimpa Adam mamlaka ya dunia, Adam anashindwa kuitii amri ya Mungu na hatimaye anaishia kumkabidhi mamlaka hayo shetani.
Quran inasema "isipokuwa kwa wajakazi...
Salaam ndugu zangu,
Naomba ufafanuzi wa kina juu ya mambo ya ibada za mtu mweusi kabla hajapata ugeni kutoka nje ya Africa, je alikuwa mpagani yaani haamini katika Mungu ama alikuwa anamwabudu...
Jina la kitabu:OIL POWER AND WAR
Mwandishi:MATTHIEU AUZANNEAU
Mchambuzi: Nanyaro EJ
Utangulizi!
Mwandishi wa kitabu hiki ambacho kwa undani kitaelezea historia adhimu kabisa ya mambo ya...
Wana Theolojia, Kwanini mtu Anazaliwa na Dhambi na kurithi automatically, Lakini sio ukombozi?
Ingawa vyote vilitokea kabla ya mtu kuzaliwa?
Kwa nini mtu huyu asizaliwe na ukombozi tayari?
MWAMINI NI #KIUMBE_KIPYA
Je unajua nini kilitokea katika kuokolewa kwako?
Je! Unafahamu umekuwa nini mara baada ya kuwa na imani katika kufa kuzikwa na kufufuka kwa Kristo ili wewe uhesabiwe...
Tumezoea kusoma na kufanyia mitihani nadharia za wazungu.Leo na mimi mswahili naleta nadharia yangu juu ya mgawanyo wa ukoloni.Napendekeza wasomeshwe vijana wetu wa masomo ya DS mwaka wa mwanzo na...
Unaweza kuita uchawi au ushirikina lakini sigils ni alama za kishetani ambazo ukizichanga kwa kufuata mifumo yake hukupa matokeo unayotaka iwe ni kwenye ishu za mapenzi ngekewa bahati mali...
UTANGULIZI.
Uzi huu unalengo la kuelezea nadharia mbali mbali ambazo bado hazijawekwa wazi sana kuhusu imani katika dini kuanzia historia yake hadi kujibu maswali mbali mbali yahusuyo dini kama...
Life is a beautiful journey filled with endless possibilities and opportunities. It is a precious gift that should be cherished and embraced wholeheartedly. Each day brings forth new experiences...
Nikiwa Nawaza na Kuwazua kuhusu Mambo kadha wa Kadha wazo linanijia Kichwani, wazo lenyewe ni Kuhusu Kitabu hiki tata, kinaitwa The Davinc'i Code!
Mawazo yanayonipelekea kukaa nyuma ya Keyboard ya...
"KWA WA CUBA CASTRO ALIKUWA CUBA NA CUBA ILIKUWA CASTRO.
Na KINGO SR[emoji736]
(Kingoinversion on plyastore & Instagram)
"Fidel Alejandro Castro Ruz alifariki usiku wa saa 4:29 siku ya tarehe...
Ipo nadharia ya kusafiri muda (time traveling), maana yake ni kua mtu anaweza kutoka leo au sasa na kwenda past yani jana au siku ama miaka ya nyuma.
Yaani kama leo ni 2023, binadamu anaweza...
Kumekuwa na hadithi nyingi sana katika ulimwengu huu tunaoishi kuwa hatupo tu binadamu na wanyama pekee yetu bali pia kuna viumbe wengine wanaishi walio kama sisi maumbo mithili ya kwetu, akili...
Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani?
Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko...
Umewahi kujiuliza kati ya kuku na yai nini kilitangulia? Hili swali sio geni, ila umewahi kulifikiria na kutafuta jibu lake? Kwanini wenye jibu sahihi hawataki kulitoa?
1. Ni kuku kwanza, halafu...
Hapa duniani kuna Imani nyingi sana. Kila mmoja anavutia kwake kwamba imani yake iko sahihi. Nahakuna hata mmoja anayekuja na maelezo sahihi kuhusu ukweli wa imani yake.
Leo rafiki zangu...
Ndugu zangu naleta kwenu hii Nadharia ya Mwisho wa Dunia kwa mujibu wa Mafundisho ya Sauti ya Unabii kutoka kwa Elen G White.
Hawa wenzetu wasabato wanaamini kipindi cha Mwisho wa dunia...