Wanabodi,
Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani。
Kifo cha Ephraim Kibonde kimeibua simanzi kubwa kwa sababu katika uhai...
maisha ya mwanadamu ni kama maua huchanua na kusinyaa, wengi wetu tumezaliwa tukiwa na ndoto kibao za mafanikio katika maisha yetu , hakuna mtu asiye penda kuishi maisha mazuri, kila mtu anatamani...
Habari za jioni wanajukwaa....kama kichwa cha uzi kinavyosema ningependa tujadili mada hii Kutokana na hili swali swali kuulizwa mara nyingi kwenye thread zangu nimeona nifungue uzi wake ili...
Kuna baadhi yetu tumekuwa tukihusisha watu masikini kwamba ni wavivu, huenda hii ilikuwa kweli zama za kale za kuhitaji nguvu na jitahada za kulima ili upate mkate wako wa kila siku (sababu hata...
Siku hizi kila mtu anatafuta njia tofauti tofauti na wengi wanafundisha unawezaje kuwa makini. Ina onekana kuna tatizo kubwa la watu kushindwa kuwa makini kwenye wanachofanya na kupata mvurugiko...
Wakuu habari!
Leo nikiwa barabarani niliona magari mawili yaliyotaka kugongana uso kwa uso ghafla likanijia wazo ambalo limenisukuma kuandika uzi huu namna ya kuzuia ajali kama hizi.
Picha...
Mara Nyingi Mimi Badala ya Kusoma Riwaya napenda sana Kutafuta habari za Masahibu yenye Utata ili angalau nipate clue ni nini kilitokea hasa.
Muda Mwingi Nimekuwa Nikitatizwa na Matukio ya Afrika...
Habari wakuu,
Kama unaota unakimbizwa na majini, unaota mtoto wako wa kumzaa sio wako, unaota upo darasani mnafundishwa na lecturer ilihali ulishamaliza chuo kitambo na upo kazini tayari...
Nimekua mfuatiliaji mzuri wa makala kadhaa za umafia, utemi na ugaidi, Kuhusu binadam waliochafukwa na roho, Japo kwa kiasi nilikuja kugundua kuwa hakuna binadam anaezaliwa akiwa mafia, Wengi wa...
Ndugu zangu. Hata sasa tumeshuhudia anguko la mwanadamu katika nyakati hizi za Neema ya Mungu ya Wokovu kupitia damu ya Thamani ya Yesu Kristo...
Manabii wa uongo walikuwepo tangu nyakati za...
Halo marafiki poleni na urefu wa mwaka uliofikia ukingoni
Tuende kwenye mada fupi sana lakini utapata lolote litakalo kusaidia maishani mwako baadae
Usigeuke nyuma utakuwa jiwe la chumvi sio...
BEHIND THE CURTAIN: SEPTEMBER 11
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu...
Habari za sikukuu wana JF natumaini kila mtu ni mzima wa Afya bila kupoteza muda twende kwenye mada na ningeomba tuisome kwa umakini sana maana kuna jambo kubwa nataka tujifunze mwishoni...
UKWELI[emoji118] ULIOFICHWA[emoji118]
Dunia hii haijawahi kuwa na maana Zaidi ya Ubadhilifu, Upumbavu uliokithiri, jinsi mifumo inavyowafanya watu kuwa Kama mashine, na huo muendelezo wa hayo...
Salamu wana jamvi, leo nimeona niwaletee chapisho linaloelezea kitabu maarufu sana cha hadithi kinachojulikana kama’’The DaVinci Code”. Kitabu hiki nimekisoma hivi karibuni nikaona si vibaya...
WAFAHAMU WANYAMA WENYE HESHIMA KUBWA DUNIANI.
Katika uumbaji Mwenyezi Mungu aliumba viumbe wa aina nyingi sana, viumbe hao ni pamoja na ndege, samaki wakiwamo na wanyama pamoja na wadudu...
Kudanganya kwa jina la Mungu huku akiwaambia watu kuwa yeye ni njia ya kumfikia Mungu. Miujiza na nguvu isiotokana na njia ya Mungu.
Ushajiuliza hawa washikaji hawaogopi kuwa wanakufuru na muda...
I hope y'all are doing just fine, It has been long time since I was here[JF Inteligence]
Kuna mtu alileta mada humu akiuliza kwamba picha inayotumiwa na wakristo hasa wakatoliki ya mtu mmoja...
Leo hii duniani hakuna ugonjwa unaoua watu wengi kama kuzeeka. Zaidi ya asilimi 60 ya watu wanaokufa leo hii wanakufa sababu ya uzee.
Ugonjwa wa kuzeeka unatokea pale seli za mwili zinapoacha...