Inawezekana, kwa upande mmoja vitabu vitakatifu na mapokeo kama msingi mkuu wa mafundisho ya dini vimeibua maswali mengi kwa baadhi ya watu kuhusu Mungu.
Na kwa upande mwingine, Ukana Mungu ambao...
nilisoma hii ishu kwenye kitabu The dark side of Nyerere cha Ludovick Kaijage. baadhi ya sehemu anasema.
walivyokutana.
hapa akamuibia documents.
Hapa anakuta vitu vyake kwenye mikono salama.
Habari wana JF, Kuna kitu kinanichanganya hapa;
Nikiangalia Mwanzo palikua na wanadamu wawili tu(Yaani Adam na Eva) na nnachojua Dunia haikua na binadamu mwingine yeyote alieumbwa zaidi yao hao...
Salama wana jamii, amani na iwe juu yenu.
Nimependa leo nije na uzi huu juu ya sifongo. Na siki. Jambo ambalo halijazungumziwa sana juu ya mateso ya Yesu wa Nazareth. Pia kuna jambo baya...
ISRAEL vs IRAN - 02
Sehemu ya 2
Na Dr. Chris Cyrilo
Mapinduzi ya mwaka 1979 yaliyoondoa utawala wa Shah, na kuifanya Iran kuwa chini ya utawala wa kiislamu wa dhehebu la Shia, yalifuta ndoto ya...
The wonderful Password,Give me a Pasword,a word of middle East.
A wonderful Number,A number of Pale Ni katikati ya Yule Muungwana aliyebalance idadi yao juu na Chini yaani alipiga tatu bila...
Shimo la mvuto liko katikati ya bahari kilomita 1,200 kusini-magharibi mwa Kanyakumari (a.k.a. Cape Comorin), ncha ya kusini kabisa ya bara Hindi karibu na Sri Lanka.
Bahari ya Hindi Geoid Low...
Kabla ya Iran kurusha missiles kwenda Israel waandishi walimuuliza Biden kama anategemea Iran kuishambulia Israel. Biden alichojibu ni "very soon". Na kabla ya kutoa kauli hii wizara ya ulinzi...
Kwema wanajamvi jukwaa la wenye kuumiza vichwa?
Basi powa twende sasa,
Huko Paiba Brazil kuna Mwamba au Jiwe kubwa lenye 250 feet in Length,
Hilo limwamba ligumu lina michoro ya kushangaza sana...
Niwasalimu ndugu zangu!
Tuendelee kuishi maana tupo kwa muda na sababu,vyote vitaisha.
Dunia na ulimwengu ni vitu viwili tofauti Dunia ni mifumo ya wanadamu na ulimwengu ni UKAMILIFU wa maarifa...
Mimi naamini zaidi utakavyo mjua Mungu ndio zaidi utakavyo ujua ukweli na kuwa huru zaidi. Lakini tulichofanya nikujua dini zaidi ya Mungu.
Kwa kuwa mashirika haya ya dini yanataka uzame ndani...
Habari wana ndugu mnaendeleaje na vyuma kukaza
Moja kwa kwa moja kwenye pointi leo naomba tukumbashane kidogo mtu aliwahi kuvuma sana hapa duniani Enzi za miaka ya 1970 - 2003 miaka hiyo...
Freemasons ni kikundi cha siri kinacho ratibu na kuongoza kila kitu katika hii dunia. Kikundi hicho cha siri huratibu mambo yake kwa kushirikiana na baadhi ya wawakilishi wake wachache katika kila...
Kuna sababu nyingi za kiuchumi,Kiintelijensia, Conspiracy, Kisiasa, Kidini hata kihistoria kwa nini US ni Taifa kubwa na hana mpinzani Duniani. Kuuzwa kwa ALASKA March 30, 1867 ninatafsiri kuwa...
Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Na kwa Bahati nzuri akaweka kizuizi kwa kupitia uwezo wake wa kiungu hili tusiweze kushuhudia viumbe hivyo ambavyo havionekani kwa macho yetu...
🌳TUMESHINDWA KUUMILIKI ULIMWENGU WETU KWA KUUTAMANI ULIMWENGU WA HADITHI.🌳
Ulimwengu wa kweli umetengenezwa katika hadithi isiyo furahisha sana, unaonekana ni ulimwengu ulio jaa mateso ya kila...
Uchawi si jambo geni madamu upo afrika uhitaji mtu akuelezee maana yake ni nini hasa, bali wahitaji kujua nauepuka vipi au ntautambuaje kama huu ndiyo uchawi wenyewe.
Jibu lipo hapa leo ntataja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.