Mazoezi rahisi yakujenga uwezo wa kumbukumbu

we are the inner

JF-Expert Member
Dec 27, 2023
267
664
Hili somo linawahusu zaidi wale wanao pitia changamoto zakua na
kumbu kumbu ya ndoto wanazo ota usiku.
Namna ya kukumbuka ndoto.
Je unaota ndoto na unasahau?.
Fanya meditation ya Namba.

Watu wengi wamekuwa wakiota ndoto na pale wanapoaamka hawakumbuki walichoota.

Sasa unaweza kurudisha kumbukumbu zako kwa kufanya meditation ya Namba.

Vuta utulivu na kujiweka sawa kifikra.

Anza Kuhesabu Namba kimya kimya bila kukosea kutokea Namba kubwa mfano 100,99,98,97,96,95,94,93,92,91,90,89,88,87,86,85,84,83,82,81,80,79,78,77,76,75,74,73,72,71,70,69,68,67,66,65,64,63,62,61,60,59,58,57,56,55,54,53,52,51,50,49,48,47,46,45,44,43,42,41,40,39,38,37,36,35,34,33,32,31,30,29,28,27,26,25,24,23,22,21,20,19,18,17,16,15,14,13,12,11,10,9,8,7,6,5,4,3,2,1.

Fanya Kuhesabu Namba kwa kupunguza Hadi moja bila kuruka wa kubabaika.

Unapofanya mazoezi haya mara kwa mara hii huweza kuiimarisha akili na na uwezo wako wa kumbu kumbu hivyo kufanya kukumbuka ndoto zote unazoota.

Ikitokea ukakosea hata Namba moja wakati unahesabu basi Haina budi kuanza upya.
 

Attachments

  • FB_IMG_17155822197426688.jpg
    FB_IMG_17155822197426688.jpg
    186 KB · Views: 5

Similar Discussions

Back
Top Bottom