Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

On JF:

A contingent multitude repudiates the plausibility of a Supreme Being, yet the meticulous orchestration of cosmic mechanics inexorably intimates an omniscient Architect. Empirical inquiry...
7 Reactions
129 Replies
4K Views
Naam am back, Wadau wa JF je mnaikumbuka kashfa au skendo maarufu ya kisiasa kuwahi kutokea na kuitikisa Marekani miaka ile ya 1970s? Hii ilikuwa ni kashfa kubwa ya kisiasa iliyomkumba rais wa...
10 Reactions
22 Replies
1K Views
LUTENI Kanali Coelestine Seromba aneyedaiwa kutoroka ndani ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), bado hajulikani alipo hadi hivi sasa. Msemaji wa JWTZ, Meja Erick Komba ameliambia gazeti hili...
1 Reactions
81 Replies
23K Views
Rais wa 45 wa Marekani, Donald J Trump ni moja ya binadamu wenye mafanikio sana duniani, japo kisiasa watu wanaweza kumbeza lakini huyu ni mtu ambaye anajua maana ya mafanikio, wakati wa mahojiano...
69 Reactions
119 Replies
18K Views
''Usipoteze machozi ya leo kwa huzuni ya jana, dhambi ya zamani inatupa kivuli kirefu" ................................................................................... Kisiwani Throne...
2 Reactions
2 Replies
631 Views
Special thread for discussing espionage business and other closely related issues: Bila shaka wote mu wazima wa afya humu JF. Kama ambavyo heading inavyojielezea hapo juu ni swali nililokuwa...
40 Reactions
893 Replies
187K Views
OPERATION BARRACUDA: "MISSION HATARI ZAIDI YA KIJASUSI KUFANYIKA AFRIKA" ILIYOSUKWA KUTAMATISHA MAISHA YA PATRICE LUMUMBA, NA KUZIMA NDOTO YA KILE KILICHOITWA MUSTAKABALI WA KONGO. Na. Comred...
52 Reactions
62 Replies
20K Views
USHINDI WA KAMARI: Hii ni spell rahisi itakayo kufanya ushinde michezo mbalimbali ya kamari. lakini kumbuka kuwa kamari ni michezo mibaya na haramu lakini watu wamejikuta wakicheza na kulazimika...
35 Reactions
517 Replies
142K Views
Hello peoples.. Hebu tujisaule hapa kwa kuchanganya maarifa juu ya UTUPU kwenye ulimwengu, swali la msingi ni kuwezekana kwa hali ya utupu, namaanisha hivi mpaka sasa binadamu na teknolojia yake...
9 Reactions
48 Replies
3K Views
Mfahamu J. Edgar Hoover kachero aliyeogopeka zaidi katika historia ya Marekani. 1. Jina lake halisi ni John Edgar Hoover lakini alipenda kujulikana zaidi kama J. Edgar Hoover. Ni Kachero...
148 Reactions
221 Replies
59K Views
Wahuni wa huku wana maneno mengi kuliko vitendo Wahuni hawajiheshimu Wahuni wanaomba mungu awalinde Wahuni wengine wanatutishia kwamba tutaona, vipi kumbe tulikuwa hatuoni au mmelenga...
1 Reactions
4 Replies
510 Views
Kwa jinsi unavyozidi kuficha jambo ndivyo ivyo linavyo zidi tamanisha watu lifwatilia,,,wengi wetu tupo radhi kuficha siri kubaki nayo moyoni mpaka siku ya kufa,,,,, maana ikitokea imevuja tuu...
26 Reactions
42 Replies
18K Views
Wakuu hii nimeikuta kwenye mtandao wa RWANDA hapo chini, kama unaona haina maana achana nayo. TANZANIA-RWANDA: SILENT WAR IN TANZANIA After Tanzania sent many Rwandan Tutsis back in Rwanda for...
4 Reactions
92 Replies
20K Views
Mawingu ni mkusanyiko wa Molekuli au Mvuke fuwele utokanao na maji au kemikali mbalimbali, unaelea angani juu ya uso wa dunia. Suratul Nur 24:43 Je! Huoni ya kwamba m/mungu huya sukuma...
20 Reactions
403 Replies
10K Views
Kuna tetesi kuwa ushindi wa rais wa sasa wa Burundi umefifilisha ndoto ya wahima wote wanaoishi katika ukanda wa maziwa makuu ya kuhakisha kuwa nchi zote za ukanda huu zinatawaliwa na wao. Ili...
5 Reactions
73 Replies
71K Views
Kila nikifatilia historia juu ya majengo makubwa na yenye stori lukuki pale Egypt, yani pyramids napata mashaka ya nini kinachoendelea. Hususani kumekuwa na stori tofauti tofauti lakini bado...
37 Reactions
132 Replies
8K Views
Huu ni mfano wa sanduku la agano ambalo wana wa Israel waliambiwa watengeneze na Mussa wakiwa nyikani wakitoka Egypt (Misri) wakielekea promised land (Nchi ya ahadi). Sanduku hilo lilikuwa ni kama...
15 Reactions
168 Replies
39K Views
PART-1 "Mapambano tunayowaitia hayana mahusiano na mijadala ya Socrates wala mawazo ya plato wala diplomasia za Aristotle. Yana mahusiano na mijadala ya mauaji, ulipuaji na uharibifu.Serikali ya...
21 Reactions
46 Replies
13K Views
Watu wachache kabisa na wamiliki wa kampuni chache tu, lakini kampuni kubwa mno duniani, watu hao nyuma ya kampuni hizi wanafanya kila wawezalo usiku na mchana kumiliki kila punje ya mbegu iliyopo...
30 Reactions
74 Replies
18K Views
Mungu wa Israel, Mungu Allah, Mungu wa wabudha, Miungu ya kale pale misri, Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo hai. Ukweli mchungu ni...
14 Reactions
344 Replies
19K Views
Back
Top Bottom