Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Salaam, Kila mara huyu Kanali wa JWTZ, msaidizi wa Rais namuona akiwa bega kwa bega na Mzee. Maswali ya kujiuliza... Je, hana likizo? Hapata misiba au sherehe? Je, haugui? Au hana visingizio...
3 Reactions
41 Replies
15K Views
Habarini wanajamvi, Najua baadhi yenu mmewahi kutamani kuingia Jeshini (JWTZ) au Usalama wa Taifa (TISS) Sasa kuna operation zipo mbili ambazo nafikiri zikifanyika au zinafanyika bila umakini...
40 Reactions
159 Replies
27K Views
napenda vile watu wengingine hapa JF wanaiponda kenya kuhusu mabomu. kumbukumbu kidogo tu, tulianza na granade hapa na pale mwishowe makubwa. ushauri ni ziba ufa ungali mdogo, usije ukajenga ufa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, kama title ya topic ilivyo kuwa SEX IS A GATE WAY TO YOUR SOUL, kwamba tendo la ndoa (kwa wanandoa) / zinaa ( kwa wasio wanandoa) huweza kuwa njia huweza kuwa njia au...
21 Reactions
179 Replies
47K Views
Uislamu unasisitiza uhuru wa dini na haki ya kila mtu kuchagua dini yake bila kulazimishwa. Hii inathibitishwa katika aya maarufu ya Qur'ani: - Qur'ani 2:256 (Surat Al-Baqarah): "Hakuna...
2 Reactions
5 Replies
817 Views
Wakuu, tujaribu kuupitia utendaji wa Magufuli katika awamu ya nne na kwa kuanzia naanza na makala hii kutoka gazeti la Tanzania Daima ========== JANA vyombo vya habari nchini vimechapisha...
1 Reactions
601 Replies
87K Views
1. Mara ya kwanza nipo Bole International Airport kwenye harakati zangu akanifuata binti mmoja mwenye asili ya Comoro na Zanzibar, nafikiri yule ni mshirazi (mbwera), akaniuliza maneno mawili...
52 Reactions
81 Replies
10K Views
I'm always inquisitive on this matter about going to heaven if at all it exists. God created us in His image and therefore we must be the same on everything, the way we think, act, eat, talk etc...
2 Reactions
3 Replies
480 Views
Ikiwa Mazishi ni Ibada , Basi Usiingilie Ibada za Wafu . Waache Wafu Wawazike Wafu Wenzao.. 💫💫💫💫💫 ©️Mwl. Makungu m.s 0743781910 Wana Heri wafu wafao katika Bwana. Naam asema Roho, wapate...
14 Reactions
80 Replies
7K Views
Habari wakuu, Natumai mu heri na buheri wa afya ya mwili sambamba na akili. Mkihusika na kichwa cha mada hapo juu isemayao.. "Kwanini ulinizaa?" Unafikiri ni swali sahihi kwa mtoto kumuuliza...
2 Reactions
11 Replies
718 Views
Habarini wana JF, Tuanze, (A) Ukisoma MWANZO 19:30—38 kuna ukakasi mkubwa na mashaka makubwa juu ya hiyo Aya. Acha niinukuu. MWANZO 19:30—38 Mwanzo 19:30-38 ( Lutu akapanda kutoka Soari akakaa...
16 Reactions
505 Replies
22K Views
Karibu kwenye maandalizi ya sherehe, malaika wa bwana ameanza kupasha habari kwa watumishi Safari ilikuwa ni ndefu na ya kuchosha lakini kwa hapa tulipofika nisisite kusema ni haki malaika kupaa...
1 Reactions
6 Replies
689 Views
Wayahudi na Wapalestina ni watoto wa baba moja lakini mama tofauti. Baba yao ni mtu wa Ukaldayo ambako ndiyo Iraki ya sasa. Mtoto wa kwanza wa Abraham, Ishmael alikiwa na mama mwafrika aliyetokea...
11 Reactions
143 Replies
30K Views
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad Utangulizi Mfanyabiashara Said Mohammed Saad anamiliki Kampuni ya Home Shopping Center iliyopo Kariakoo Mtaa wa Swahili na Msimbazi katika Jengo la Ghorofa...
130 Reactions
517 Replies
167K Views
According to the Bible analyst, Melkizedeck aliyekua Kuhani Mkuu na Mfalme wa Salem na kupokea fungu la kumi na kumbariki baba wa Imani ndio huyo huyo Jesus Christ (Yesu Kristo) na Nabii Elia...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Katika mji wa kisasa wa Nairobi, Anna, msichana mwenye bidii na mpenzi wa teknolojia, aliingia rasmi kwenye ulimwengu wa sarafu za kidijitali unaojulikana kama cryptocurrency. Alikuwa amesikia...
2 Reactions
10 Replies
922 Views
Nawasalimu wote mliopo humu ndani Kitu chochote ambacho Mungu anakitumia kwa mazuri na satani naye anakitumia kwa ubaya.. Umewahi kujifunza pande kuu nne za dunia na majina yake ya Kaskazini...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Yaliyomo A & B ==> wanadamu C ==> Mungu C katoa Sheria kwa A na B wapendane kama jinsi yeye anavyowapenda, ilihali wakipendana wasitendeane Ubaya. Pia, C katoa ahadi ya Maisha ya Furaha ya Milele...
3 Reactions
12 Replies
687 Views
Kwa jamii nyingi duniani, kiumbe huhesabiwa ya kwamba kipo hai pale kinapozaliwa na kuonyesha dalili za kwanza za uhai. Lakini ipo mijadala dunia nzima kuhusiana na uhai wa mimba. Kwamba mimba...
7 Reactions
84 Replies
3K Views
Jeshi la Wananchi wa Tanzania ni jeshi la sita kwa ubora duniani. Kwa mujibu wa Umoja wa mataifa, duaniani kuna nchi 195. Katika nchi zote hizo, jeshi la Tanzania ni la 6 kwa ubora. Maana yake...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…