Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Ukiachana na wanasayansi wanaotudanganya kila kukicha juu ya chimbuko la binadamu neno la Mungu linatueleza kwa kinagaubaga chimbuko la binadamu pamoja na viumbe hai wengine namna walivyoumbwa na...
10 Reactions
90 Replies
20K Views
Wakuu poleni na mihangaiko kutafuta riziki, mimi mwenzenu wa stendi huwa sometime najiuliza maswali ya kizushi mimi kama mimi ila nimeamua niwashirikishe, swali lenyewe ni hili, hivi yule...
2 Reactions
51 Replies
26K Views
Sacked South Sudan Vice President Riek Machar has been spotted in Dodoma, Tanzania where he is allegedly seeking refuge. A highly placed source told The Star that embattled Machar gained entry...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Ndoto yenyewe iko hivi.. "Nilikuwa nimekaa pembeni ya barabara, mara nikaona kundi la watu wengi japo si sana wakikimbia katika mstari, nikajiridhisha kwamba wako kwenye marathon yaani mashindano...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
JUA KAZI INAYOKUFAA KULINGANA NA TAREHE YAKO YA KUZALIWA siku ulio zaliwa inaashiria ni kazi gani ukifanya utapata mafanikio kimaisha, Mfano:- Kama umezaliwa tarehe 1 ya mwezi wowote wewe...
18 Reactions
179 Replies
58K Views
habari waungwana! Jana na leo alfajiri nimeota ndoto zimenistaajabisha kidogo, Jana nimeota kua nimesingiziwa kuwa na mahusiano na mwanaume ambae sikumtambua kwa sura, basi ikawa kama...
2 Reactions
61 Replies
12K Views
Wakuu Habari ya uzima! Nimejaribu kugoole kuhusu keppler telescope lakini sijaelewa Kwa mwenye ufahamu zaidi naomba anijuze..
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Wajuzi wa mambo haya mje hapa kunipa elimu juu ya hili. Je,iko kichwani,kifuani,moyoni,miguuni au mikononi? Mtu anapokufa,'roho' hufanyaje? Wakuu Kiranga Shy land na Ishmael nawakaribisha...
2 Reactions
255 Replies
27K Views
Wazungu wameendelea na wana utamaduni ambao wote leo hii tunauiga au tunataka kuuiga lkn kama ulikuwa haufahamu Wazungu wameendelea kwa sababu ya UKRISTO, yaani mfumo wa Kizungu ni kwamba...
8 Reactions
59 Replies
6K Views
Wakuu habari zenu! Nimeona nilete hii mada ili tuweze kuijadili na kupata ukweli na uzoefu kutoka kwa watu mbali mbali. Hivi, maneno ya wosia anayoacha marehemu kwa watu waliobaki huwa yana...
1 Reactions
24 Replies
12K Views
Amani iwe nanyi! Nilikuwa nawaza tu hivi ingekuwaje kama kusingekuwa na kifo kwa sisi binadamu na either viumbe wengine? Sasa jiulize kile kizazi cha kuanzia miaka 2000 iliyopita hadi leo...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Tangu naanza kupata mafundisho ya kiiman.... Niliambiwa dunia ni ya Mungu... Lkn kwa sasa wamepinga sana uwepo wa Mungu. Hata wana sayansi nao wamepinga uwepo wa Mungu. Sasa je... Hii dunia...
2 Reactions
60 Replies
10K Views
The best way to breath is to take it from your belly. Many people do not know this mode of breathing. Take several slow breaths from your belly. Stomach breathing activates your brain. It helps...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
Wasalaam wanaJf. Naomba msaada juu ya Mwanzo 6:1-4. Ukisoma hii andiko unakutana na wanadamu, wana wa Mungu na Wanafili. Biblia inasema wana wa Mungu waliwaoa binti za binadamu na wakazaa nao...
3 Reactions
38 Replies
18K Views
REUTERS/Mian Khursheed Elite special forces are some of the best-trained and most formidable units a country can boast. They go where other troops fear to tread, scoping out potential threats...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Punyeto, Ushoga, Usagaji, Kutokana na ongezeko kubwa la watu duniani na huku mazingira yakihitaji uwiano, vitendo hivyo vimeibuka ili kuifanya namba ya watu kuwiana na mazingira. Si kwamba...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Jamani naomba mtu mwenye uelewa na hili jambo anieleweshe. Hivi magaidi huwa wanataka nini ili waache mauaji na kutulia? (AlQaeda, Al Shabaab, BokoHaram etc). Kila theory ninayojaribu kuijenga...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Mambo ya Dunia in and out...nimeambatanisha...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu ndani ya jamii intelligence nina swali juu ya safari za anga. Mimi nimejaribu kuangalia Mara nyngi documentaries mbalimbali zikionesha wanasayansi wakiwa katika sehemu mbali nje ya dunia...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Utimilifu wa kifo umebebwa hasa kwenye; MUUNDO WA MWILI. Mwili wa kiumbe hai unatimiza kifo kwa kuwa unaweza kuugua, kudhurika na sumu, kuungua, ulaini uliopo kwenye mwili,kwenye hili naomba...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom