Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Kuna wizi mkubwa wa pesa za TRA zimeibiwa kupitia mtandao wa tra.go.tz, inasemekana pesa hizi zilikuwa ni malipo ya TRA toka kwa walipa kodi ambao ni TANESCO na TTCL Naelewa gazeti laeast africa...
0 Reactions
36 Replies
11K Views
Kuna yeyeote anayejua kuhusu kifo? Nimewahi kusikia kuwa maiti inakataa kwenda kuzikwa aidha sehem flani kwa kuongezeka uzito zaidi, msafara kupata ajali, au kutokewa na mambo ya ajabu. Hii imekaaje?
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Kama mko serious kupiga vita UFISADI then mbona hawa hamuwazungumzii? Mnaogopa? basi msiogope mkiulizwa semeni nynyi pia mmeicopy from post ya GT sawa? anyway, website yao kuhusu Tanzania...
13 Reactions
60 Replies
21K Views
Ndugu wana jamiiforum, jukwaa la intelligence, amani na iwe kwenu. Naombeni kusaidiwa kujua jambo hili kwa kina na mifano tosherevu. Nikirejea katika biblia kitabu cha zaburi 16:4 linasema...
0 Reactions
66 Replies
13K Views
Binadamu mara nyingi akikutana na jambo( kitu) la ajabu la kushangaza au kuhuzunisha sana kuna swali huwa anajiuliza hata mimi binafsi nimejikuta kama mara mbili hvi ikinitokea. Swali: Hivi naota...
9 Reactions
54 Replies
6K Views
Ukiachana na wanasayansi wanaotudanganya kila kukicha juu ya chimbuko la binadamu neno la Mungu linatueleza kwa kinagaubaga chimbuko la binadamu pamoja na viumbe hai wengine namna walivyoumbwa na...
10 Reactions
90 Replies
20K Views
Wakuu poleni na mihangaiko kutafuta riziki, mimi mwenzenu wa stendi huwa sometime najiuliza maswali ya kizushi mimi kama mimi ila nimeamua niwashirikishe, swali lenyewe ni hili, hivi yule...
2 Reactions
51 Replies
26K Views
Sacked South Sudan Vice President Riek Machar has been spotted in Dodoma, Tanzania where he is allegedly seeking refuge. A highly placed source told The Star that embattled Machar gained entry...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Ndoto yenyewe iko hivi.. "Nilikuwa nimekaa pembeni ya barabara, mara nikaona kundi la watu wengi japo si sana wakikimbia katika mstari, nikajiridhisha kwamba wako kwenye marathon yaani mashindano...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
JUA KAZI INAYOKUFAA KULINGANA NA TAREHE YAKO YA KUZALIWA siku ulio zaliwa inaashiria ni kazi gani ukifanya utapata mafanikio kimaisha, Mfano:- Kama umezaliwa tarehe 1 ya mwezi wowote wewe...
18 Reactions
179 Replies
58K Views
habari waungwana! Jana na leo alfajiri nimeota ndoto zimenistaajabisha kidogo, Jana nimeota kua nimesingiziwa kuwa na mahusiano na mwanaume ambae sikumtambua kwa sura, basi ikawa kama...
2 Reactions
61 Replies
12K Views
Wakuu Habari ya uzima! Nimejaribu kugoole kuhusu keppler telescope lakini sijaelewa Kwa mwenye ufahamu zaidi naomba anijuze..
2 Reactions
29 Replies
5K Views
Wajuzi wa mambo haya mje hapa kunipa elimu juu ya hili. Je,iko kichwani,kifuani,moyoni,miguuni au mikononi? Mtu anapokufa,'roho' hufanyaje? Wakuu Kiranga Shy land na Ishmael nawakaribisha...
2 Reactions
255 Replies
27K Views
Wazungu wameendelea na wana utamaduni ambao wote leo hii tunauiga au tunataka kuuiga lkn kama ulikuwa haufahamu Wazungu wameendelea kwa sababu ya UKRISTO, yaani mfumo wa Kizungu ni kwamba...
8 Reactions
59 Replies
6K Views
Wakuu habari zenu! Nimeona nilete hii mada ili tuweze kuijadili na kupata ukweli na uzoefu kutoka kwa watu mbali mbali. Hivi, maneno ya wosia anayoacha marehemu kwa watu waliobaki huwa yana...
1 Reactions
24 Replies
12K Views
Amani iwe nanyi! Nilikuwa nawaza tu hivi ingekuwaje kama kusingekuwa na kifo kwa sisi binadamu na either viumbe wengine? Sasa jiulize kile kizazi cha kuanzia miaka 2000 iliyopita hadi leo...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Tangu naanza kupata mafundisho ya kiiman.... Niliambiwa dunia ni ya Mungu... Lkn kwa sasa wamepinga sana uwepo wa Mungu. Hata wana sayansi nao wamepinga uwepo wa Mungu. Sasa je... Hii dunia...
2 Reactions
60 Replies
10K Views
The best way to breath is to take it from your belly. Many people do not know this mode of breathing. Take several slow breaths from your belly. Stomach breathing activates your brain. It helps...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
Wasalaam wanaJf. Naomba msaada juu ya Mwanzo 6:1-4. Ukisoma hii andiko unakutana na wanadamu, wana wa Mungu na Wanafili. Biblia inasema wana wa Mungu waliwaoa binti za binadamu na wakazaa nao...
3 Reactions
38 Replies
18K Views
REUTERS/Mian Khursheed Elite special forces are some of the best-trained and most formidable units a country can boast. They go where other troops fear to tread, scoping out potential threats...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Back
Top Bottom