Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya usalama si nzuri Arusha

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by BLUE BALAA, May 22, 2011.

 1. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 898
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hali ya usalama wa Arusha inatisha sana sasa hivi, ujambazi, utapeli na uwizi vimerudi upya. Kuna kila style ya uwizi na kusikitisha ukienda polisi msaada si mkubwa kihivyo.

  1. Kuna vijana Arusha wamekuja na style ya utapeli wa dawa za kupreserve mazao na case kama hizo pale central police ni nyingi sana

  2. Uwizi wa kuvunja nyumba umerudi, mimi naishi moshono na nina several places ambazo zimevunjwa ka kuibiwa katika siku mbili hizi

  3. Ujambazi pia umerudi, siku ya alhamisi Moshono Super marketi illingiliwa na majambazi around saa mbili na kuwa harrass wateja na kuiba pesa zote huku wakimpiga muuzaji (lady) na kitako cha bunduki. Na pia walivamia maduka maeneo ya kwa Ibrahim mapembe

  4. Pia jana kuna bureau imevamiwa asubuhi na kuuwawa mlinzi

  5. Risasi zinalia kila siku kuanzia saa 2 utadhani tuko Afghanistan.

  Where are we heading??? Naambiwa kuna majambazi wengi sana wameachiwa toka gerezani ila sina data za kutosha.
   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2016
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 4,690
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  hiyo Ilikuwa 2011
   
 3. Lizarazu

  Lizarazu JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2016
  Joined: Aug 23, 2015
  Messages: 1,258
  Likes Received: 800
  Trophy Points: 280
  Aseee...!!

  Sasa si uhamie tu chato huku!! unasubiri nini huko sasa?

  huku chato haturuhusu hata vijana wanne kutembea pamoja...kwa sababu hizo ni dalili za maandamano.

  Ukivaa t-shirt yoyote yenye rangi nyeupe na nyekundu... tayari tunakuweka hatiani kwa kosa la uchochezi.

  Sasa wewe unafikiri kwa utaratibu huu kuna jambazi yoyote au kibaka ataweka makazi huku!?

  Ebu njoo bhana...chato is a safest place!!
   
 4. M

  MIGUGO JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2016
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 634
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 80
  Wanavamiaga hadi hostel za chuo.Chuga bana
   
 5. c

  comrade igwe JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2016
  Joined: Jan 12, 2015
  Messages: 2,973
  Likes Received: 1,311
  Trophy Points: 280
  X
  Subiri SFU watakuja kuweka mambo sawa maana hao ni wataalamu wa kupambana na uhalifu na wahalifu
   
 6. Jizi

  Jizi JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2016
  Joined: Dec 28, 2015
  Messages: 233
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Kwa 2011 siwezi kushangaa,nimeisoma post na kuidhihaki baada ya kujua ni ya humo mwaka,ila kwa kipindi cha 2014 hadi sasa Polisi Arusha wanafanya kazi inayoonekana sana yamebakia matukio madogo sana ambayo sio tishio kama awali
   
 7. aretasludovick

  aretasludovick JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2016
  Joined: Aug 8, 2015
  Messages: 2,040
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Hata mimi mkuu.
  Mwaka 2010-2011 nilikuwa arusha na karibu kila siku unasikia risasi zikilia.
  Hata mimi nilikoswakoswa kwenye hoteli waliyomuua kijana mmoja hapo
   
 8. YEHODAYA

  YEHODAYA JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2016
  Joined: Aug 9, 2015
  Messages: 5,389
  Likes Received: 4,668
  Trophy Points: 280
  Yaani toka CHADEMA washike Arusha ujambazi na wizi umeongezeka mno
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2016
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,389
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Chalii ya Ara, eti 'uwizi'...
   
 10. aretasludovick

  aretasludovick JF-Expert Member

  #10
  Sep 2, 2016
  Joined: Aug 8, 2015
  Messages: 2,040
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Wanawake wengine bwana kwani sasaivi ccm ndio inatawala arusha? Mbona tangu mwaka 2012 ujambazi umeisha
   
 11. Ilankunda1234

  Ilankunda1234 JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2016
  Joined: Dec 28, 2015
  Messages: 882
  Likes Received: 516
  Trophy Points: 180
  Ndio maandamano yanaanza taratibu hivyoo police wataisoma namba
   
 12. Ilankunda1234

  Ilankunda1234 JF-Expert Member

  #12
  Sep 2, 2016
  Joined: Dec 28, 2015
  Messages: 882
  Likes Received: 516
  Trophy Points: 180
  Mmezidu kuwatusi na kuwakashfu polisi na vyombo vingine vya dola  Hope makamanda wapo huko hali itakaa shwari punde
   
 13. kson m

  kson m JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2016
  Joined: Jan 24, 2014
  Messages: 3,662
  Likes Received: 650
  Trophy Points: 280
  Kideri cha ubongo ni hatari sana.
   
Loading...