Mbinguni/peponi pamegunduliwa

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
11,726
12,005
Wanasayansi wamegundua mahali mbingu na pepo ilipo katika anga za mbali sana,Ma trilioni ya kilometer kwa speed ya mwanga kwa mabilioni ya miaka.

Aidha chombo kilichotumwa ''Centurion'' miongo kadhaa iliyopita kimetuma taarifa kadhaa hapa duniani na kudhibitika kwamba mbinguni /peponi ni jambo dhahiri.
Wanasayansi wameongeza kwamba hakuna kiumbe kitakachoweza kuingia maeneo hayo kwani damu itakauka umbali wa kilometer milioni kadhaaa kabla ya kupakaribia.

Chanzo.Discovery science

Pia wanasayansi wamegundua kwamba Mwenyezi Mungu ni nguvu kubwakupindukia inayofanya mambo yote kwa mpangilio.
 
kwa hiyo wanasayansi wamekubali kama kuna Mungu? Manake wao ndio huwa wa kwanza kulipinga hilo kwa kuamini zaidi sayansi yao ndio kila kitu. Pia mbinguni ni sehemu ya kiroho zaidi sio rahisi kuonekana kwa macho ya mwilini au kwa kutumia vifaa vilivyotengenezwa na mwanadamu, hao ni wazushi tu labda wameona sayari nyingine
 
75aa6d4fb72a3aaf4ec3efd65152f8ca.jpg
 
kwa hiyo wanasayansi wamekubali kama kuna Mungu? Manake wao ndio huwa wa kwanza kulipinga hilo kwa kuamini zaidi sayansi yao ndio kila kitu. Pia mbinguni ni sehemu ya kiroho zaidi sio rahisi kuonekana kwa macho ya mwilini au kwa kutumia vifaa vilivyotengenezwa na mwanadamu, hao ni wazushi tu labda wameona sayari nyingine
Kuna utafiti unaoendelea kuhusu roho....wako kwenye kipengele cha nguvu za uvutana(kama sumaku)...pamoja na ndoto kuona yajayo
 
Wanasayansi wamegundua mahali mbingu na pepo ilipo katika anga za mbali sana,Ma trilioni ya kilometer kwa speed ya mwanga kwa mabilioni ya miaka.
Aidha chombo kilichotumwa ''Centurion'' miongo kadhaa iliyopita kimetuma taarifa kadhaa hapa duniani na kudhibitika kwamba mbinguni/peponi ni jambo dhahiri.
Wanasayansi wameongeza kwamba hakuna kiumbe kitakachoweza kuingia maeneo hayo kwani damu itakauka umbali wa kilometer milioni kadhaaa kabla ya kupakaribia.

watajaribu sana lakini wanasahau kuwa maandiko yanasema Mungu hachunguziki(Tazama haya hizi za biblia: Isaya 40:28; Zaburi 145:3 na warumi11:3-34).
Chanzo.Discovery science
New-Star-Discovered.jpg

Nimeipenda signature yako
 
wanasayansi wanasahau kuwa maandiko yanasema Mungu hachunguziki. Uwezi wa mwanadamu ni mdogo sana kumchunguza Mungu soma (Isaya 40:28;Zaburi 145:3 na warumi 11:33-34)
Wame Confirm kuna nguvu kubwa
inayo Control mambo yote...iko kama sumaku hivi...
 
Pepo haitoonekana tukiwa katika ulimwengu wetu huu, ni sehemu ambayo jicho la binadamu na la kiumbe chochote kilichopo hapa Duniani Halitoweza kuona.

A matter of Fact, only death is standing between you and Pepo au Moto. So kama we are eager to see them, wait for that unknown second when Malaika mtwaaji wa Roho atakapokuunganisha katika Maisha yajayo.
 
kwa hiyo wanasayansi wamekubali kama kuna Mungu? Manake wao ndio huwa wa kwanza kulipinga hilo kwa kuamini zaidi sayansi yao ndio kila kitu. Pia mbinguni ni sehemu ya kiroho zaidi sio rahisi kuonekana kwa macho ya mwilini au kwa kutumia vifaa vilivyotengenezwa na mwanadamu, hao ni wazushi tu labda wameona sayari nyingine

Wanadai Mungu ni nguvu flani ivi hahahha
 
Naomba kuuliza hivi

Mbinguni ndio peponi?

Motoni nako hawajagundua?

That is amazing science
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom