Jamani nina stori ndefu inayonihusu mimi nilifunguliwa kesi na bado inaendelea kuhusu watu fulani walijiita maafisa bima lakini ni matapeli na mamlaka ya bima ilithibitisha hayo na hukumu ilisema...
Matamanio Yetu
Wakati mwingine uandishi ni uwakilishi wa kweli wa mawazo yako yakiwakilisha jamii ya watu wa aina fulani, aidha kitabaka, kijinsia au hata kiimani.
Upeo wa maisha ya...
Wadau,
Wikileaks imetoa news kuwa kampuni ya China ya Huawei imekiri kutumiwa na China kufanya ushushushu.
Kuna baadhi ya mitandao ya simu hapa nchini kwetu bongo ambayo inatumia mitambo...
Dear readers,
For a long time I have been reading a lot about the famous Jeetu Patel and this prompted me to dig deep to know exactly who this guy really is.
Much to my surprise and quite...
Na. M. M. Mwanakijiji (MwanaHalisi)
Sasa najua kwanini waliliua Azimio la Arusha kule Zanzibar na kulizika bila kuliswalia dua za mwisho wala kulifanyia ibada ya mazishi. Sasa najua kwanini jina...
Bwana huyu ni mhandisi mhitimu wa chuo kikuu cha Delft (Delft University of Technology) na mfanyakazi wa kampuni ya kijerumani iitwayo Orca Exploration ambayo ipo Tanzania.
Ametokea Oman ambapo...
Watu 10 wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja mjini Zanzibar baada ya kupigwa na askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wa kambi ya Bavuai Migombani kufuatia mke wa...
Othman una kazi kweli, kama mnapoteza muda kufuatilia tunaosoma mkataba badala ya kuwafuatilia akina Balali wasituibie pesa zetu BOT?
Kutoka gazeti la Mwananchi.
Serikali yaonya wanaosambaza...
Ndugu wana JF hebu tuangalie naomba suala lazima la utumiaji wa tafiti zetu tunazozifanya hapa Bongo. Katika upeo wangu na mlolongo wangu wa kutafuta elimu nimekumbana na tafiti nyingi sana na...
Baada ya utafiti kuonesha kwamba rushwa nyingi/kubwa kubwa zilikuwa kwenye manunuzi(Procurement of public goods and services) ya umma, serikali iliamua kuanzisha sheria ya Manunuzi, Public...
Caught on Tape: Selling America's Secrets
Rare Video Obtained By "60 Minutes" Shows Pentagon Employee Selling Secrets to Chinese Spy
YouTube- Defense Department Official Caught On Video...
Jana kulikuwa na kipindi katika BBC 4 kikionyesha uozo wa TAZARA reli ambayo kidogo watanzania wanajivunia lakini uozo wa humo umenifanya nijiulize kama TAZARA (Freedom Railway) ni hivi, TRL...
Karibuni tena! Kuna habari nyeti ambazo zimefichwa kwenye nakala hii ambapo ukiipata siyo tu utashangaa lakini hautaamini kama tunachoshuhudia ni kitu chenyewe kweli au ndio mazingaombwe! Habari...
Kwako, mkuu wa TAKUKURU,
- Kamishna wa Bima - Uhamiaji
- Wizara ya Mambo ya Ndani..
KUMEKUWA NA WIMBI LA UFISADI NDANI YA SEKTA YA BIMA LIKIJUMUISHA MA-TX WANAOFANYA KAZI KATIKA KARIBU...
Huu mradi wa kuuziana nyumba sio tu kuwa uliingiza serikali hasara, bali kama alivyosema mwandishi Katabazi, ni ulikuwa ni ufisadi wa aina yake. Ni wakati umefika kwa bunge/ serikali kulichunguza...
Somaiya speaks out on Tanzania gov't scandals
Monday, 28 April 2008
By Daniel Said
EA BUSINESS WEEK
DAR ES SALAAM, TANZANIA - In a new twist, a top businessman in Tanzania, Mr. Tanil...
Speaker Bio:
Diane Kohn is a lawyer, serving as an anticorruption advisor in the Crime Office of the INL Bureau. Dianes portfolio includes work in Africa, APEC, Latin America, the G8, and...