Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Teknoliojia inakuwa na na kila mtu ana teknology nyumbani.
Kifo cha Osama na matukio ya hivi karibuni yamefanya nijiulize maswali kuhusu kama wataalam wetu na serikali yetu unajua risk na kuchukua hatu juu ya mambo kadhaa.
Kama hawana mikataba basi lazima kwenye sehemu zao nyeti kuna vifaa muhimu vya kuzua satelite kuchukua taarifa.
Kifo cha Osama na matukio ya hivi karibuni yamefanya nijiulize maswali kuhusu kama wataalam wetu na serikali yetu unajua risk na kuchukua hatu juu ya mambo kadhaa.
- Google map na google earth inatoa fursa kupata picha za satelite una huduma pia ha google earth pro inayota rich detail . Zaidi ya fursa hii ni changamoto kwani satelite za google zinaweza kupata image za sehemu zetu nyeti.....
Kama hawana mikataba basi lazima kwenye sehemu zao nyeti kuna vifaa muhimu vya kuzua satelite kuchukua taarifa.
- Je, Tanzania wameingia mkataba na google na kuwapa detail ni point gani katika latitude na longitude google map haitakiwi kuchukua detail zaidi? Au zikichukuliwa zisiwe published?
- Je, zaidi ya fursa wataalam wamefanya risk analysis inayokuwa presented na ni teknolojia kama google earth na goglemap kwenye vituo nyeti?