Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Neno Mungu maana yake nini? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Mwaka 2004 pale Fallujah paligeuka machinjio baada ya kuwa pametulia kitambo! Askari wanne Mamluki Scott, Jerry, Wesley na Mike, waajiriwa wa kampuni ya Kijeshi ya Marekani Black water walikodiwa...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Tazama kilichofanyika hapo, haili hata 1MB. Je, walinzi wako sahihi au Rais aliwadharau?
11 Reactions
258 Replies
41K Views
Mabadiliko mbalimbali yaliyoikumba sayari yetu yangetosha kutengeneza mabuku makubwa jiographia na historia na kutoa elimu sahihi wapi tumetoka na wapi tunaelekea. Na juu ya yote kwanini tuko...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Bonde la Isdalen karibu na jiji la Bergen, Norway linajulikana kama bonde la kifo/umauti "death valley" kwa wakazi wa eneo hilo si kwa sababu watembezi/watalii hupotelea kwenye mlima wa bonde hili...
47 Reactions
384 Replies
81K Views
The definition of the 'just life'. Mwanafalsafa wa kale wa Ujerumani, Friedrich Nietzsche, aliwahi kusema "kitu bora kabisa ni kutokuzaliwa na kitu cha pili kwa ubora ni kufa mapema". Maneno...
7 Reactions
18 Replies
6K Views
Naomba mnipatie ukweli wa yote kabla sijachukua maamuzi magumu. Naomba kufahamu yafuatayo:- Binadamu anaabudu Mungu, dini, mtu au mnyama? Binadamu anajuaje yupo sahihi tofauti/baina ya mwenzake...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Kwa maelezo mafupi ni msitu ambao upo katika nchi ya Romania, lakina nimeshindwa kupata history kamili kuhusu msitu huu ,hivyo naomb ma-great thinker wa jf wanisaidie au watusaidia tusio faham juu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanadamu kwa haiba yake akiwa kwenye changamoto ndio anapata wasaa mzuri wa kuchakata akili yake ili kupata suluhisho la matatizo yanayomzunguka. Na hili ndio lilimkuta Msanifu majengo na...
8 Reactions
24 Replies
4K Views
Barua iliyoandikwa kwa hati ya mkono na Albert Einstein, ambapo anajadili suala la dini na imani, imeuzwa kwenye mnada kwa bei ya karibu $2.9m (£2.3m). Bei hiyo imepita makadirio. Barua hiyo...
18 Reactions
218 Replies
40K Views
Wasalaamu ma intelegensias Kabla ya mjadala Nianze kutoa namna tutakavyo define MUDA kwa leo tu... MUDA -- seconds, minutes, hours, days, weeks, months, years, decades, centuries, milleniums etc...
6 Reactions
123 Replies
11K Views
Duniani ni mahali tunapoishi na pamebeba historia yetu kubwa,maendeleo yetu ktk nyanja zote yamepatikana hapa, upuuzi na uelevu wote tulionao tunautendea hapa!,hapa ni nyumbani. Binafsi kwangu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
NOTE: Ndugu mchangiaji mada. Kama ni mara yako ya kwanza kuja katika uzi huu, jaribu fuatilia ulikoanzia. Aidha, usisahau kwanza kuisoma mada na kuielewa awali ya yote ndiposa kubofya like kwenye...
55 Reactions
890 Replies
59K Views
Bila kupoteza muda naomba kujua juu ya watoto wa Fatima Lucia Fransis Yasinta Hawa walitokewa na bikira maria mwaka 1917 kama sikosei (apparitions) Kwa mujibu wa masimulizi ni kwamba bikira...
5 Reactions
96 Replies
19K Views
Salute Comrades: Wakuu leo naomba tujadidili juu ya kifo cha muigizaji BRUCE LEE. Hivi ni kweli alikufa kifo cha kawaida..? Alikufaje? Sababu ya kufariki ni nini..? Kwa story nazo zifahamu...
21 Reactions
90 Replies
35K Views
kichwa cha habari na kwa mtazamo wa haraka utadhani ni michezo ya kuchangamsha mwili, michezo ya kubahatisha au michezo ya kushindana na kupata zawadi Lakini hapa ni zaidi ya hicho...
17 Reactions
45 Replies
7K Views
On Wednesday, Pat Robertson spent time on "The 700 Club" telling NASA not to waste money going to Mars or searching for life beyond Earth. Why? Well because in Robertson's non-expert opinion...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Inakadiriwa kuwa mnyama huyo huishi kwa kipindi cha miaka 20 akiwa katika pori. Lakini hiyo ilikuwa inafahamika zamani kipindi ambacho mnyama huyo alikuwa anaonekana tofauti na sasa. Kuna aina...
4 Reactions
19 Replies
10K Views
[emoji117] Gucci mane, Ni mmoja Kati ya Binadamu ambao anadaiwa kufanyiwa Clone/ kutengenezwa yani mtu copy sio halisi. Hii ilizua mijadala, kuanzia kipindi ,punde tu alipo toka gerezani baada ya...
5 Reactions
29 Replies
11K Views
Kwa kawaida, Kambona alijua au alikuwa amearifiwa mapema kuhusu maasi ya Dar es Salaam katika vitengo vya usalama vya Tanganyika na maafisa wa Kiingereza ambao bado waliitumikia Serikali ya...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom