Wajue watu kumi waliobahatika kuishi miaka mingi duniani

Bitoz

JF-Expert Member
Aug 27, 2015
30,823
126,536
Kwa Tanzania juzijuzi kuna babu katangazwa kuwa ana miaka 120 ila tatizo hakuna vielelezo ndo tatizo la Watanzania na Afrika kwa ujumla kutotunza kumbukumbu mfano hata aliyebuni nembo ya Taifa eti hajulikani ni aibu.......

Najua vijijini kuna vikongwe kibao vimejaa tele ila havina vyeti vya kuzaliwa
Sasa leo nakuletea watu kumi ambao wanajulikana kutokana na Mungu kuwajalia kula chumvi nyingi a.k.a vikongwe/wazee
Yaani wazee 10 wa muda wote
Kuzeeka ni baraka....kuishi kwingi ni kuona mengi
Njia pekee ya mtu kuukwepa uzee ni kufa mapema akiwa kijana
............................................. .............................

10/Margaret Ann Neve
cc21a000e066466f4f47499477221bf8.jpg
319772029aab3625d5111c631eed4ada.jpg
Bibi huyu Alizaliwa mnamo mwaka 1792
Alikuwa ndiye mwanamke mzee zaidi duniani hadi kipindi alipofariki
Umri wake ulithibitika pia kitaalamu kwa kutumia Medical technology
Huyu bibi alijaaliwa kuishi karne tatu yaani karne ya 18,19 na 20 na ndiye binadamu pekee aliyekuwa na kumbukumbu safi kabisa za mambo yaliyojiri karne ya 18,19 & 20

Alifariki mnamo mwaka 1903 akiwa na umri wa miaka 110 na siku 321
Nimemweka kutokana na sababu za hapo juu(kuishi karne 3)
 
Kwa Tanzania juzijuzi kuna babu katangazwa kuwa ana miaka 120 ila tatizo hakuna vielelezo ndo tatizo la Watanzania na Afrika kwa ujumla kutotunza kumbukumbu mfano hata aliyebuni nembo ya Taifa eti hajulikani ni aibu.......

Najua vijijini kuna vikongwe kibao vimejaa tele ila havina vyeti vya kuzaliwa
Sasa leo nakuletea watu kumi ambao wanajulikana kutokana na Mungu kuwajalia kula chumvi nyingi a.k.a vikongwe/wazee
Yaani wazee 10 wa muda wote
Kuzeeka ni baraka....kuishi kwingi ni kuona mengi
Njia pekee ya mtu kuukwepa uzee ni kufa mapema akiwa kijana
Nini hiki sasa? Ulikuwa unawahi kupost ili iweje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
9/Emma Morano
950177f78de3c27e92bc48687f50971f.jpg
f7d39e810ec3c15a1475e05e9a68db2e.jpg

Alizaliwa mnamo mwaka 1899 nchini Italia
Ndiye anayeshikilia rekodi kwenye Guinness Book ya mtu mzee zaidi duniani aliye hai
Huyu bibi pia ndiye binadamu pekee aliyepo hai ambaye kazaliwa karne ya 19
Km unataka simulizi za zamani mfano kuhusu vita kuu ya kwanza ya dunia na mambo kibao ya zamani mtafute

Ana umri wa miaka 117 na bado yupo yupo sana
Nimefuatilia zaidi na kugundua kafariki mwaka jana
 
8/Misao Okawa
05dededa7888e7b606a807572c7559ab.jpg
ff2fcfe2494af7bd552d4aea1ce3f8e4.jpg
Ni bibi wa Kijapan aliyezaliwa mwaka 1898
Ndiye aliyekuwa akishikilia rekodi ya mtu mzee zaidi duniani hadi pale Mwenyezi Mungu alipomtwaa
Huko Japan kuna wazee zaidi ya 50,000 wenye umri zaidi ya miaka 100 .....Wajapan siyo wa mchezo mchezo hawaendi makaburini mapema
Sisi huku serikali ya Mh. Sizonje inasimanga wazee eti wanamaliza dawa

Alifariki dunia 2015 akiwa na miaka 117
 
7/Lucy Hannah
3825db36e0b995d997be41dd6b84c880.jpg
a379c4ca063f282e800c634163bba5d1.jpg
Alizaliwa July 16 mnamo mwaka 1875
Alikuwa ni Mmarekani mwenye asili ya Afrika....ikumbukwe chimbuko la Wamarekani weusi ni biashara ya utumwa
Ndiye Mmarekani mzee # 2 kuwahi kuwepo katika historia ya nchi hiyo
Amewahi kushikilia rekodi ya mtu mzee zaidi duniani

Alifariki mwaka 1993 March 21 akiwa na miaka 117 na siku kibao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom