Nje ya ulimwengu wa anga kuna sayari kuzidi idadi ya mchana

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Kila siku kukicha wanasayansi wanazidi kugundua na kutambua nyota na sayari zilizopo zilizopo na mpaka kujua je mwisho wa hizo nyote ni wapi !.
Ilifikia upande kusema tukijumlisha vyote kwa hiyo mwisho tuna sema bing bang
IMG_2763.jpg

IMG_2764.jpg

Lakini sayansi ya anga inasema kuna uwezekano wa kuwa na sayari nyingi kuanzia 100-400 bilioni katika kwenye galaxy yetu
IMG_2765.jpg

Je mamilioni ya galaxy yapo mangapi !
IMG_2766.jpg

Je kwenye milky way zipo ngapi !
IMG_2767.jpg

Baada ya hapo laniakea
IMG_2768.png

Je nje ya lanieka kuna nini
IMG_2769.jpg

Wanazengo tujadili
 
Kila siku kukicha wanasayansi wanazidi kugundua na kutambua nyota na sayari zilizopo zilizopo na mpaka kujua je mwisho wa hizo nyote ni wapi !.
Ilifikia upande kusema tukijumlisha vyote kwa hiyo mwisho tuna sema bing bang
View attachment 1646280

View attachment 1646281

Lakini sayansi ya anga inasema kuna uwezekano wa kuwa na sayari nyingi kuanzia 100-400 bilioni katika kwenye galaxy yetu
View attachment 1646284

Je mamilioni ya galaxy yapo mangapi !
View attachment 1646286

Je kwenye milky way zipo ngapi !
View attachment 1646287

Baada ya hapo laniakea View attachment 1646289

Je nje ya lanieka kuna nini
View attachment 1646294
Wanazengo tujadili
Wazungu wanatulisha upumbavu mwingi.

Hebu tuweke mkazo kwenye utafiti wa anga za juu mtagundua uongo tunaolishwa.

Kila kukicha tunaonyeshwa picha na michoro ya galaxies. Tena kwa mfano hapo nimeona picha ya galaxy wanayosema ni yetu ya Milky Way... nani aliipiga picha. Walijuaje positioning ya jua letu lilipo... wanatuokota mno.

Kujilisha upepo na ujinga
 
Uongo hupi kaka hata kiberiti shida kubuni.
Naweza kukuuliza tu internet unayo komment unajua inavokufikia ??. nikikueleza na bado utabisha .teknolojia sio jambo la kufikiria kwa akili ndogo
 
Wazungu wanatulisha upumbavu mwingi.

Hebu tuweke mkazo kwenye utafiti wa anga za juu mtagundua uongo tunaolishwa.

Kila kukicha tunaonyeshwa picha na michoro ya galaxies. Tena kwa mfano hapo nimeona picha ya galaxy wanayosema ni yetu ya Milky Way... nani aliipiga picha. Walijuaje positioning ya jua letu lilipo... wanatuokota mno.

Kujilisha upepo na ujinga
Asee kwa mfano NASA wanatumia $22b kwa mwaka ili waje wakudanganye wewe halafu wao walate nini añyway sintoshangaa sana maana Galileo alihukumiwa kwa kugundua kama dunia ni duara
 
Yes Bilion 22 za dola wanazitumia kila mwaka ili wakuaminishe wewe kwamba God never exist.

Galileo ni baba wa Wanasayansi
 
Niwe mkweli ni bora kudanganywa na NASA kuliko kudanganywa na mwanasayansi wa BUZA.
 
Ukwelo unabaki kua mwanadamu hawezi kuujua ulimwengu Kama ulivyo.

Tujue tu kwamba huo ulimwengu Kuna alieuasisi , na huyo ameweka mpaka was mwanadamu kuufahamu.

Tafiti nyingi zitakuwepo Kama zilivyo kuwepo lakini ijulikane kua akili na maarifa ya mtu ama bin Adam zimewekewa limit.

Yote ya yote ijulikane yupo alie juu ya yote, kwa Kila mtu na imani yake lakini Mungu Mwenye enzi yote na awe juu ya yote awe juu ya vyote na awe juu ya wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes Bilion 22 za dola wanazitumia kila mwaka ili wakuaminishe wewe kwamba God never exist.

Galileo ni baba wa Wanasayansi
Hapana huo ni uoga tu mkuu jinsi wanavyogundua ndio jinsi ukuu wa Mungu unavyodhihirika trust me God's creation is undescribable
"the more I study science the more I believe in God " Einstein
 
Back
Top Bottom