Shule Vs Mafanikio

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
735
1,464
Ukuu na Mafanikio havipatikani kwa kwenda shule au kwa kuwa na degree. Kama ingekuwa ni shule basi Maprofesa ndo mabilionea wa dunia. Kwenda shule ni kitu kimoja na kufanikiwa kupitia shule yako ni jambo jingine. Kuna watu wana elimu kubwa ya darasani lakini ni masikini na kuna watu wameenda shule na wamefanikiwa sana, lakini pia kuna watu hawajaenda shule ila wamefanikiwa sana.

Kila mtu ana chance ya kufanikiwa haijalishi ni professor mwenye degree za kutosha au ni darasa la saba B au hujaenda shule kabisa. Ulimwengu ume-prove hili kupitia watu ambao wamefanya mambo makubwa duniani na hawakwenda shule. Watu hao ni kama Bill Gates, Bilionea Richard Branson, Michael Dell Mmiliki wa Computer za Dell, Abraham Lincoln Rais wa 16 wa Marekani na wengine wengi.

Nimelazimika kuandika andiko hili baada ya mmoja wa watu wanaofatilia maandiko yangu kwa ukaribu ambaye aliishia darasa la saba kuwa na hofu kwa kudhani kuwa Mafanikio ni kwaajili ya watu walioenda shule tu au Wasomi”.

Narudia tena Ulimwengu wenyewe umetudhihirishia hili kuwa watu wote tuna chance sawa ya kufanikiwa uwe umeenda shule au hujawahi kwenda kabisa. Ukiangalia hapa kwetu Tanzania watu wenye mafanikio makubwa ya kifedha wengi wao hawajaenda shule kabisa. Mimi naishi Mbeya, Hapa kwetu Mbeya Top 10 ya Matajiri wa Mbeya walioenda shule ni wawili tu hawa wengine wote ni darasa la saba.

Sasa ili kujiweka kwenye kundi la watu watakaofanikiwa haijalishi wewe ni Professor au umeishia darasa la saba au hujawahi kwenda shule kabisa ni lazima ufanye mambo yafuatayo;

1. Tambua Uwezo wako wa Kipekee.

Ili ujiweke kwenye nafasi ya kufanikiwa ni lazima kwanza ujue wewe ni bora kwenye eneo gani. Lazima ujue strengths zako. Je wewe ni mzuri zaidi kwenye biashara au wewe ni mzuri kwenye kilimo au unaweza zaidi kufuga au una kipaji cha aina fulani? Ukishajua eneo la ubora wako inakupa mwerekeo sahihi wa mapambano yako kuliko kukaa kupambana kwa kukisia mara leo upo kwenye kilimo kesho umehamia kwenye biashara mwezi ujao unaonekana unaigiz movie utakuwa unajichelewesha. Hakikisha unatulia na kujichunguza eneo la uwezo wako wa kipekee.

John Rockerfeller alijiona kuwa yeye ni bora kwenye biashara hivyo akawekeza nguvu zake zote huko. Diamond hajaenda shule ila alijijua kuwa yeye ni mzuri kwenye muziki hivyo akawekeza nguvu zake huko. Na wewe tafuta eneo lako kisha wekeza nguvu zako huko utafanikiwa.

2. Tafuta Maarifa (Knowledge).

Kukosa chance ya kwenda shule hakukunyimi chance ya kuwa na Maarifa. Sifa moja kuu ya watu wanaofanikiwa either wameenda shule au hawakwenda shule ni watu wanaotafuta maarifa. Abraham Lincoln hakwenda shule lakini alikuwa na Maarifa ndiyo maana aliaminiwa kuwa Rais wa Marekani. Michael Dell hakwenda shule lakini alijitafutia maarifa ambayo ndiyo yalimfanya afikie level ya kuwa na kampuni kubwa ya computer dunia nzima. Henry Ford hakusoma shule lakini alikuwa na maarifa na ndiyo maana aliweza kuongoza kampuni kubwa duniani ya uzalishaji wa magari, kama asingekuwa na maarifa Ford isingekuwepo mpaka leo hii. Maarifa yapo tu kwa mtu anayehitaji, unaweza kusoma vitabu, kusoma kozi za bure kwenye mitandao, kusoma Makala positive kama hii, kujifunza youtube.

“Unaweza kuwa na sababu za msingi za kukosa elimu ya darasani na kila mtu akakubaliana na sababu zako lakini huwezi kuwa na sababu za msingi za kukosa maarifa”. Maarifa ni kitu unajitafutia mwenyewe. Elon Musk amejifundisha mwenyewe kuandika code na akfikia kiwango cha kuwa miongoni wa Programmers wakubwa duniani. Uzuri ni kuwa kwa dunia ilipofikia sasa elimu ya darasani haina impact kubwa ukilinganisha na maarifa ya kujitafutia na ndiyo maana watu wanaojitafutia maarifa wanafanikiwa zaidi kuliko wale ambao wameenda shuleni kwani mengi ya wanayoyasoma shuleni huwa hawayatumii kwenye maisha yao na huwa wanasoma bila hata kujua umuhimu wake. Lakini mtu anayeamua kujitafutia mwenyewe huwa anatafuta maarifa ambayo yana msaada directly kwenye maisha yake. “Kama unataka kujiweka kwenye kundi la watu watakaofanikiwa basi hakikisha unayatafuta maarifa kwa hali na mali”.

3. Weka Malengo.

Hakikisha unakuwa unajua pale unapotaka kufika. Usitembee tu bila kuwa na picha ya kule unakoelekea, lazima uweke malengo ambayo yanakufanya upambane ukiwa unajua exactly kitu unachokitaka. Kuwa na Malengo ni jambo muhimu na la lazima kwa kila mwenye nia ya dhati ya kufanikiwa. Sijawahi kukutana na mtu aliyefanikiwa ambaye anasema amefika hapo alipofika bila kuwa na Malengo. Hakikisha unajiwekea malengo kuhusu level unazotaka kuzifikia kimafanikio.

4. Pambana kwa bidii ili ufikie Malengo yako.

Kuwa na uwezo wa kipekee ni jambo moja na ni muhimu sana, kuwa na Maarifa ni muhimu pia na kuweka malengo ni kitu cha lazima lakini hivi vyote havina maana kama utakuwa navyo halafu ukaa tu. Ukishakuwa na hivyo vyote sasa ni lazima uingie kwenye mapambano kuhakikisha unafikia malengo yako ili kuwa na kiwango cha mafanikio unayoyataka. Kumbuka kuwa kuwa na uwezo mkubwa au kipaji kikubwa bila kupambana hutafika popote, Lakini pia kuwa na Maarifa mengi bila kuyaweka kwenye matendo ni kazi bure, na malengo bila mapambano hayawezi kutimia. Ingia kwenye Mapambano. Hapa kwenye mapambano ndiyo mahali penye ugumu mkubwa. Hapa lazima ujiweke sawasawa kivita, lazima ukubali kuvuja jasho, kutoa damu, kutoa machozi, kukosa usingizi na kuwa tayari kulipa kila aina ya gharama ili kufikia malengo yako.

Live Your Dream!!
Konga Fadhili
 
nimekupta mkuu..lakini nimekunukuu umesema kuwa kama ni mfanya biashara basi fanya biashara in did!!si ndio??? ukasema pia wengine leo wakulima kesho biashara n.k...sasa SWALI LANGU FUPI KUNA TAJILI GANI MKUBWA MWENYE BIASHARA MOJA??
 
Kwenda shule ni some times ni kupoteza muda!!!

Kuna watu watasema nasema hivo sabab cjaenda shule..mm nmesoma sn ndo maana masema hiv
 
Mkuu hongera sana umeongea vizuri sana na umefafanua hoja zako vizuri sana...
Ila kusema Bill Gates hajasoma unakosea mkuu yule ni university dropout mwenyewe amewahi kusema yeye ni valedictorian of his own class na ni tajiri wa kwanza duniani pia Aliko Dangote ni tajiri wa kwanza kwa Africa kasoma chuo kikuu Misri ukija hapa Tanzania tuna mabilionea wawili ambao wote wana elimu ya chuo kikuu tena nje ya nchi..
Nenda Angola etc
Naunga mkono hoja yako ila elimu ya darasani ni muhimu kama ulielimika sio ulimaliza masomo tu yako..
 
Kwenda shule ni some times ni kupoteza muda!!!

Kuna watu watasema nasema hivo sabab cjaenda shule..mm nmesoma sn ndo maana masema hiv
Kwa mashule na mavyuo yetu haya ya Africa, shule form four na short course chache zinafaa kabisa kuingia mtaani na kuanza kutafta maisha kuliko kusota shule 17+yrs then unatoka huna uwezo wa kutengeneza hata 100k per month, au unasubiri kuajiriwa kwa mshahara wa 600k
 
Mkuu mbali na short courses jamaa aliacha chuo kikuu tena miongoni mwa vyuo bora kabisa HAVARD UNIVERSITY so huwezi kusema hajasoma ila useme hakumaliza elimu ya chuo kikuu
Havard alisoma SI chini ya miezi3 akaacha
 
Hata kama angesoma wiki moja ishu ni kwamba hajamaliza chuo ila ukifuatilia wanafunzi wanaojiunga Havard ni wale wenye ufaulu mzuri wa hali ya juu sana..
Mwisho wa siku binafsi nakubali dunia ya sasa inahitaji watu wenye maarifa zaidi maana yake watu wakiwa vyuoni wajikite kutafuta na kuimarisha maarifa yao..
 
Naungana na wewe, dunia ya Leo inataka watu wenye maarifa zaidi...,
 
Ukuu na Mafanikio havipatikani kwa kwenda shule au kwa kuwa na degree. Kama ingekuwa ni shule basi Maprofesa ndo mabilionea wa dunia. Kwenda shule ni kitu kimoja na kufanikiwa kupitia shule yako ni jambo jingine. Kuna watu wana elimu kubwa ya darasani lakini ni masikini na kuna watu wameenda shule na wamefanikiwa sana, lakini pia kuna watu hawajaenda shule ila wamefanikiwa sana.

Kila mtu ana chance ya kufanikiwa haijalishi ni professor mwenye degree za kutosha au ni darasa la saba B au hujaenda shule kabisa. Ulimwengu ume-prove hili kupitia watu ambao wamefanya mambo makubwa duniani na hawakwenda shule. Watu hao ni kama Bill Gates, Bilionea Richard Branson, Michael Dell Mmiliki wa Computer za Dell, Abraham Lincoln Rais wa 16 wa Marekani na wengine wengi.

Nimelazimika kuandika andiko hili baada ya mmoja wa watu wanaofatilia maandiko yangu kwa ukaribu ambaye aliishia darasa la saba kuwa na hofu kwa kudhani kuwa Mafanikio ni kwaajili ya watu walioenda shule tu au Wasomi”.

Narudia tena Ulimwengu wenyewe umetudhihirishia hili kuwa watu wote tuna chance sawa ya kufanikiwa uwe umeenda shule au hujawahi kwenda kabisa. Ukiangalia hapa kwetu Tanzania watu wenye mafanikio makubwa ya kifedha wengi wao hawajaenda shule kabisa. Mimi naishi Mbeya, Hapa kwetu Mbeya Top 10 ya Matajiri wa Mbeya walioenda shule ni wawili tu hawa wengine wote ni darasa la saba.

Sasa ili kujiweka kwenye kundi la watu watakaofanikiwa haijalishi wewe ni Professor au umeishia darasa la saba au hujawahi kwenda shule kabisa ni lazima ufanye mambo yafuatayo;

1. Tambua Uwezo wako wa Kipekee.

Ili ujiweke kwenye nafasi ya kufanikiwa ni lazima kwanza ujue wewe ni bora kwenye eneo gani. Lazima ujue strengths zako. Je wewe ni mzuri zaidi kwenye biashara au wewe ni mzuri kwenye kilimo au unaweza zaidi kufuga au una kipaji cha aina fulani? Ukishajua eneo la ubora wako inakupa mwerekeo sahihi wa mapambano yako kuliko kukaa kupambana kwa kukisia mara leo upo kwenye kilimo kesho umehamia kwenye biashara mwezi ujao unaonekana unaigiz movie utakuwa unajichelewesha. Hakikisha unatulia na kujichunguza eneo la uwezo wako wa kipekee.

John Rockerfeller alijiona kuwa yeye ni bora kwenye biashara hivyo akawekeza nguvu zake zote huko. Diamond hajaenda shule ila alijijua kuwa yeye ni mzuri kwenye muziki hivyo akawekeza nguvu zake huko. Na wewe tafuta eneo lako kisha wekeza nguvu zako huko utafanikiwa.

2. Tafuta Maarifa (Knowledge).

Kukosa chance ya kwenda shule hakukunyimi chance ya kuwa na Maarifa. Sifa moja kuu ya watu wanaofanikiwa either wameenda shule au hawakwenda shule ni watu wanaotafuta maarifa. Abraham Lincoln hakwenda shule lakini alikuwa na Maarifa ndiyo maana aliaminiwa kuwa Rais wa Marekani. Michael Dell hakwenda shule lakini alijitafutia maarifa ambayo ndiyo yalimfanya afikie level ya kuwa na kampuni kubwa ya computer dunia nzima. Henry Ford hakusoma shule lakini alikuwa na maarifa na ndiyo maana aliweza kuongoza kampuni kubwa duniani ya uzalishaji wa magari, kama asingekuwa na maarifa Ford isingekuwepo mpaka leo hii. Maarifa yapo tu kwa mtu anayehitaji, unaweza kusoma vitabu, kusoma kozi za bure kwenye mitandao, kusoma Makala positive kama hii, kujifunza youtube.

“Unaweza kuwa na sababu za msingi za kukosa elimu ya darasani na kila mtu akakubaliana na sababu zako lakini huwezi kuwa na sababu za msingi za kukosa maarifa”. Maarifa ni kitu unajitafutia mwenyewe. Elon Musk amejifundisha mwenyewe kuandika code na akfikia kiwango cha kuwa miongoni wa Programmers wakubwa duniani. Uzuri ni kuwa kwa dunia ilipofikia sasa elimu ya darasani haina impact kubwa ukilinganisha na maarifa ya kujitafutia na ndiyo maana watu wanaojitafutia maarifa wanafanikiwa zaidi kuliko wale ambao wameenda shuleni kwani mengi ya wanayoyasoma shuleni huwa hawayatumii kwenye maisha yao na huwa wanasoma bila hata kujua umuhimu wake. Lakini mtu anayeamua kujitafutia mwenyewe huwa anatafuta maarifa ambayo yana msaada directly kwenye maisha yake. “Kama unataka kujiweka kwenye kundi la watu watakaofanikiwa basi hakikisha unayatafuta maarifa kwa hali na mali”.

3. Weka Malengo.

Hakikisha unakuwa unajua pale unapotaka kufika. Usitembee tu bila kuwa na picha ya kule unakoelekea, lazima uweke malengo ambayo yanakufanya upambane ukiwa unajua exactly kitu unachokitaka. Kuwa na Malengo ni jambo muhimu na la lazima kwa kila mwenye nia ya dhati ya kufanikiwa. Sijawahi kukutana na mtu aliyefanikiwa ambaye anasema amefika hapo alipofika bila kuwa na Malengo. Hakikisha unajiwekea malengo kuhusu level unazotaka kuzifikia kimafanikio.

4. Pambana kwa bidii ili ufikie Malengo yako.

Kuwa na uwezo wa kipekee ni jambo moja na ni muhimu sana, kuwa na Maarifa ni muhimu pia na kuweka malengo ni kitu cha lazima lakini hivi vyote havina maana kama utakuwa navyo halafu ukaa tu. Ukishakuwa na hivyo vyote sasa ni lazima uingie kwenye mapambano kuhakikisha unafikia malengo yako ili kuwa na kiwango cha mafanikio unayoyataka. Kumbuka kuwa kuwa na uwezo mkubwa au kipaji kikubwa bila kupambana hutafika popote, Lakini pia kuwa na Maarifa mengi bila kuyaweka kwenye matendo ni kazi bure, na malengo bila mapambano hayawezi kutimia. Ingia kwenye Mapambano. Hapa kwenye mapambano ndiyo mahali penye ugumu mkubwa. Hapa lazima ujiweke sawasawa kivita, lazima ukubali kuvuja jasho, kutoa damu, kutoa machozi, kukosa usingizi na kuwa tayari kulipa kila aina ya gharama ili kufikia malengo yako.

Live Your Dream!!
Konga Fadhili
Fact Kubwa Mkuu Wengi hawajui haya
 
Drop out wa marekani usimlinganishe na wa huku. Kwa Afrika ukitaka kupata tabu puuzia shule
Hili nalo neno mkuu, ujue tunapenda ku-ignore sana shule ila tunasahau ukimtoa Bakhresa matajiri wa bongo waliojuu kabisa wote ni wasomi wa vyuo vikuu tena Kama Mohamed Dewji na Rostam Aziz ambao ni billionaires wamesoma nje ya nchi..
Upande wangu ninaamini shule tunaenda na kumaliza wengi ila kuelimika wanaelimika wachache sana..
Lengo kuu la elimu ni kukufanya uelimike ili uweze kukabiliana na changamoto zako iwe umaskini, magonjwa n.k
 
Mafanikio ya mtu hupimwa na utajiri pekee? Je mimi nikisema nimefanikiwa utanielewa?
 
Wewe umefanikiwa? au ndo mnatuhamasisha tufanikiwe wewe mwenyewe ukiwa unapuyanfa huna hata IST
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom