Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Hi wana JF. Nawashukuru sana wana JF kwa michango yao kwangu, namuomba mungu awape maisha bora hapa duniani na ya baadae. Mimi huwa nasumbuliwa sana na maradhi ambayo sina uhakika wa jina lake...
0 Reactions
3 Replies
19K Views
Salama za mwaka mpya. Napenda kufahamu ni sababu gani zinaweza kusababisha mzunguko wa hedhi kubadilika mfano kutoka siku 28 mpaka 25 au 22. Tafadhali mwenye majibu.
0 Reactions
39 Replies
109K Views
Habari wana JF, Naomba kwa anayejua aniambie faida ya Almond. Naweza kusema hakuna siku inapita bila kula hii kitu. Je kuna athari yeyote au niendelee? maana nizipenda sana MziziMkavu
1 Reactions
12 Replies
14K Views
Wakuu habari, Miwasho baada ya kuoga tatizo ni nini jamani? Asanteni.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mdogo wangu yupo bweni sasa kila baada ya Muda fulani sauti inapotea 2 Bila kukohoa/mafua nimejaribu hospt kapewa dawa lkn bado.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Najaribu kufikiria, nimelala na mpwa wangu chumba cha wageni, mama hayupo! Hili la kupumua haraka haraka liko sawa kwake?! au ana shida? Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna ndugu yangu mkubwa tu serikalini mwanzoni alikuwa safi ila kadri miaka inayokwenda sasa anamiaka 43 ameanza tatizo la kutetemeka akiwa mbele za watu kiasi cha kushindwa kushika kitu hata...
1 Reactions
28 Replies
9K Views
ALOE VERA INTIMATE HYGINE WASH SULUHISHO DHIDI YA FUNGUS NA U.T.I SUGU KWA WANAWAKE . HII NI SABUNI MAALUM KWAAJILI YA KUSAFISHIA MAENEO NYETI KWA WANAWAKE.SUBUNI HII IMETENGENEZWA KWA SHUBIRI NA...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wana JF, Tafadhali naomba kujua kizunguzungu kinasababishwa na nini maana kila nikiamka asubuhi sina raha hadi nitulie kwa muda kadhaa ndipo kinatulia. Naombeni kujuzwa wana jamvi wenzangu.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mtoto wangu Ana umri Wa miaka miwili swali langu ni kutaka kujua ni mgonjwa au. Swali langu lipo hivi anakunywa sana maji yani Kila muda. Pia akiamka asubuhi cha Kwanza kabla ya yote lazima...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Watafiti wa Uingereza wamegegundua kuwa unywaji kahawa mfano vikombe 2 vya ziada kila siku utasaidia kuponya magonjwa ya Ini yaletwayo na unywaji pombe wa kupindukia. Kwa sasa inasemekana hakuna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naandika thread hii nikiwa na majonzi baada ya kumpoteza mtoto wangu kipenzi kwa tatizo hili la infection kwenye damu. Lilianza toka akiwa na miezi 6, hakuwahi pata malaria wala UTI kila mara...
1 Reactions
1 Replies
6K Views
Habari wana JFDoctor, Naombeni kujua nini husababisha wanaume kunuka uvundo? Asanteni.
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Masada jamani mwanangu anaumri wa mwaka na miezi 2 kuna ili jambo utokea usiku tu yaan ni kustuka kwa kulia kwa nguvu kisha kudai maji ya kunywa. Hili jambo utokea kila baada ya dakika 5 mpaka...
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Wadau nilikuwa naomba msaada wenu kwayeyote anaye jua dawa ya jino iwe ya kienyeji au ya kisasa maana ninajino limetoboka linanikosesha raha kabisa . Kwa suala la kuling'oa kwakweli sijafikilia...
0 Reactions
29 Replies
14K Views
How having kids DOES affect your health: Children are a 'more potent challenge to the immune system than flu or a stomach bug' Having a child 'radically rewrites' a person's immune system, a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, Nina hili tatizo, nikisimama miguu inauma. Nahitaji msaada wenu wapendwa. Asanteni.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ladies and gentlemen I greet you all, Mwisho wa wiki lile lingine mutoto wetu who is eight yrs old alikua akijikuna sana nyeti zake, we didn't care much coz tuliona ni kujikuna tu, then the next...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau naomba kuuliza kwa anaye fahamu, je mtu akipata matatizo kupelekea ubongo kucheza au kutingishika anaweza kutibiwa na kurudi kwenye hali ya kawaida?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa ushirikiano uliopo kati ya hivi vitu viwili FIGO ,INI. Na pale inapotokea kushindwa kufanya kazi kipi kinaathirika zaidi ya kingine? Msaada tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…