Mtoto wangu anakunywa maji kila wakati

Shindu Namwaka

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
4,911
3,082
Mtoto wangu Ana umri Wa miaka miwili swali langu ni kutaka kujua ni mgonjwa au.

Swali langu lipo hivi anakunywa sana maji yani Kila muda.

Pia akiamka asubuhi cha Kwanza kabla ya yote lazima atahitaji maji

Asanteni ni hayo tu.
 
Mtoto wangu Ana umri Wa miaka miwili swali langu ni kutaka kujua ni mgonjwa au.

Swali langu lipo hivi anakunywa sana maji yani Kila muda.

Pia akiamka asubuhi cha Kwanza kabla ya yote lazima anatahitaji maji

Asanteni ni hayo tu.

Mtoto wangu Ana umri Wa miaka miwili swali langu ni kutaka kujua ni mgonjwa au.

Swali langu lipo hivi anakunywa sana maji yani Kila muda.

Pia akiamka asubuhi cha Kwanza kabla ya yote lazima atahitaji maji

Asanteni ni hayo tu.

Hii ni dalili ya Kisukari Type I. Kampime hospitali. Pole.
 
Ray Kigosi anatuharibia kizazi,najua alidanganya ushauri wangu mpeleke mtoto kufanyiwa vipimo zaidi maana sio hali ya kawaida.
 
Jamani watu kuweni serious kidogo.. mwenzenu kauliza swali akihitaji msaada halafu nyie mnaanza kumwambia mambo ya vicent kigosi..
 
baada ya issue ya Ray hapa utapata ushauri............nenda hosp utapata ushauri/vipimo
 
Mwambie Mwanao, Ray Kigosi alidaganya tu. Weupe hauletwi na kunywa maji mengi kila siku. Ahache kufanyahivyo labda kama anasikia kiu.
 
Back
Top Bottom