Nisaidie wewe basi ku Tafsiri nakuwekea kiingereza baso soma hapa chiniMzizi mkavu yaani inaonekana umetumia google translator, na bahati mbaya haueleweki.
Mambo yanayoweza kusababisha kubadilika hedhi ni pamoja na
1.stress
2.Utiaji wa madawa mbalimbali mfano dawa za uzazi wa mpango baadhi ya watumiaji hedhi zao hubadilika.
3.Premenopause(kipindi cha mpito kuelekia mwanamke kuacha kupata siku zake hasa kwa wa umri wa kuanzia miaka 45 na kuendelea.
4.Magonjwa ya zinaa nk.5.Matatizo kwenye uterus.but sababu hizi sijalenga kujibu mabadiliko ya siku ulizotaja hapo juu bali nimejibu kwa general.
Hii kwa uzoefu wangu wengine wakibadilisha mazingira mfano alikuwa akikaa kwenye maeneo ya joto kwenda maeneo ya baridi,na wengine aina fulani ya vyakula.
Wapendwa habarini..naomba kujuzwa.mwez wa 9 niliingia period trh20,mwez wa 10 niliingia trh 21 na mwez huu trh 19 yan leo..kiukwel siuelewi mzunguko wangu nitakua namatatizo gani mpaka mzunguko unabadilika hivo?na kwa tarehe hizo mzunguko wangu utakua ni wa siku ngap 28,32 au?na siku za ovulation kuanzia tarehe ya leo itakua siku ya ngap?msaada wenu tafadhal.
Mzunguko wa kawaida wa mwanamke ni siku 28 mpaka 30. Kila mwanamke ana mfumo wake wa mzunguko, ambao urefu wa mzunguko unaweza kuongezeka au kupungua kidogo kwa siku moja mpaka nne kutoka mwezi mmoja mpaka mwingine. Mabadiliko yakizidi siku saba, hapo ndio kitaalam tunasema kunaweza kuwa na tatizo. Kwa kuwa pia urefu wa calendar month hubadilika kati ya siku 30 na 31(28 na 29 feb) ni muujiza mwanamke kuingia period tarehe hiyo hiyo kila mwezi. Kwa ufupi,kwa mtitiriko wa tarehe zako HAUNA TATIZO lolote la urefu wa mzunguko
asante mkuu,je kwa tarehe hyo ya 19 ovulation itaanza tarehe ngap?
asante mkuu,je kwa tarehe hyo ya 19 ovulation itaanza tarehe ngap?
wewe ni mwanaume wala si mwanamke, unatuuzia chai hapa, unataka ujifunze mambo yetu wanawake kwa kujifanya mwanamke. Hata kama ungekuja kama man tungekujibu, acha maigizo
Ovulation inatarajiwa kutokea siku ya kumi na nne ya mzunguko(siku ya kwanza ni ile unayoanza hedhi) , kwa maana ya hiyo itakua tarehe mbili mwezi Deember(2/12)