Msaada: Kizunguzungu kinaniisumbua

teetotaller

JF-Expert Member
Dec 16, 2014
307
204
Habari wana JF,

Tafadhali naomba kujua kizunguzungu kinasababishwa na nini maana kila nikiamka asubuhi sina raha hadi nitulie kwa muda kadhaa ndipo kinatulia.

Naombeni kujuzwa wana jamvi wenzangu.
 
Wengi husema ukiwa na kizunguzungu cha mara kwa amara ni dalili ya damu kupungua mwilini au kuongezeka sana ni vyema ukaenda hospitali na kuangalia kiwango cha damu kama kiko sawa
 
Habari wana JF
Tafadhali naomba kujua kizunguzungu kinasababishwa na nini maana kila nikiamka asubuhi sina raha hadi nitulie kwa muda kadhaa ndipo kinatulia,,,,,
Naombeni kujuzwa wana jamvi wenzangu
uko mkoa gani?
 
Wengi husema ukiwa na kizunguzungu cha mara kwa amara ni dalili ya damu kupungua mwilini au kuongezeka sana ni vyema ukaenda hospitali na kuangalia kiwango cha damu kama kiko sawa
Nitafanya hivyo Mkuu...asante kwa Msaada wako!
 
Back
Top Bottom