Msaada: Kutoa harufu ya uvundo

ENT

Member
Apr 19, 2014
34
2
Habari wana JFDoctor,

Naombeni kujua nini husababisha wanaume kunuka uvundo?

Asanteni.
 
Yaani nikuvaa nguo kama nikatembe kidogo tu lazima kaharufu ya uvundo katokee
 
Yaani nikuvaa nguo kama nikatembe kidogo tu lazima kaharufu ya uvundo katokee
Jitahidi kuwa mkavu mara nyingi yaani ukitoka kuoga jikaushe vizuri na taulo pia jitahidi kushave (kuonyoa huko sirini na kwenye kingo za mapaja vizuri maana hizo nazo husababisha mtu kuwa na jasho
Vaa nguo za ndani zilizo kavu na kama unaweza kuepuka kuvaa nguo za ndani na za nje ambazo ni nzito itakuwa vyema .pole kwa tatizo
 
Dah nguo za ndani ni kavu ila labda kutembea hapo sawa sasa nipe ushauri wako @ konda
 
Back
Top Bottom