shubiri_ya_warembo
Member
- Feb 16, 2016
- 16
- 20
Masada jamani mwanangu anaumri wa mwaka na miezi 2 kuna ili jambo utokea usiku tu yaan ni kustuka kwa kulia kwa nguvu kisha kudai maji ya kunywa.
Hili jambo utokea kila baada ya dakika 5 mpaka kunakucha mimi na mama yenu atulali kabisa itakuwa nini shida.
Hili jambo utokea kila baada ya dakika 5 mpaka kunakucha mimi na mama yenu atulali kabisa itakuwa nini shida.