Mtoto wangu nyeti zimefura, zimekua red, nini tatizo?

May 18, 2015
83
93
Ladies and gentlemen I greet you all,

Mwisho wa wiki lile lingine mutoto wetu who is eight yrs old alikua akijikuna sana nyeti zake, we didn't care much coz tuliona ni kujikuna tu, then the next day, her teacher called his mom and said penis ya kijana wetu imekua nyekundu sana na imenona kichwa sana, kichwa kimefura and reddish
wakamleta home na gari before wengine kutoka, mom akamleta town tukampeleka hospital, hakua anaweza tembea vizuri.

Wakapima vipimo vyote, doctor akasema it is just bacterial infection, tukauliza are you sure sio STDs he said no, tukapewa antibiotics, jioni vile tumerudi home tukahoji mtoto imetokea nini kwenye penis yako surprisingly bila kujibu akawa anamuangalia house girl kwa macho makali sana, alifanya hivyo kila tukimuuliza, the next morning, very early, I think ni 5 am, hg akaja kugonga room yetu anaomba keys aende akalime nyasi zimekuwa, wife akamuuliza at this time? She replied, yes ameona aanze mapema kabla ya kazi zingine, kumbe yuko na bag amepack nguo zake, tumeamka asubuhi tumekuta ameshatoroka.

Anyway, mtoto sasa ana improvement kubwa, penis imeanza kurudi normal,
Sasa tumejiuliza kwanini hg ametoroka? Does she have anything to do with the boy's sickness? If yes mbona doctor alisema it just bacterial infection?

Kuna mwingine hapa mtoto amepata shida kama hii?
 
Ladies and gentlemen I greet you all

Mwisho wa wiki lile lingine mutoto wetu who is eight yrs old alikua akijikuna sana nyeti zake , we didn't care much coz tuliona ni kujikuna tu, then the next day, her teacher called his mom and said penis ya kijana wetu imekua nyekundu sana na imenona kichwa sana, kichwa imefura and reddish
Wakamleta home na gari before wengine kutoka, mom akamleta town tukampeleka hospital, hakua anaweza tembea vizuri,

Wakapima vipimo zote, doctor akasema it is just bacterial infection, tukauliza are you sure sio STDs he said no, tukapewa antibiotics, jioni vile tumerudi home tukahoji mutoto imetokea nn kwa penis yako surprisingly bila kujibu akawa anamuangalia house girl kwa macho kali sana, alifanya hivyo kila tukimuuliza, the next morning, very early, I think ni 5 am, hg akaja kugonga room yetu anaomba keys aende akalime manyasi yale yamekua, wife akamuuliza at this time? She replied, yes ameona aanze mapema kabla ya kazi zingine, kumbe yuko na bag amepack nguo zake, tumeamuka asubuhi tumepata ameshatoroka

Anyway, mutoto sasa ana improvement kubwa, penis imeanza kurudi normal,
Sasa tumejiuliza kwa nn hg ametoroka? Does she have anything to do with the boy's sickness? If yes mbona doctor alisema it just bacterial infection?

Kuna mwingine hapa mutoto amepata shida kama hii?


duuuuh; mpelekeni hospital kwa checkup zaidi, mpelekeni kwa specialist wa watoto, msiishie kumpa antibiotic tuu
 
ukiunganisha matukio haya, mtoto anawashwa, anamuanhalia hg kwa jicho kali anapoulizwa, doctor kusema ana bacterial infections, hapo huyo hg kusepa bila kuaga naona inatoa picha kua hg alimfanyisha ngono huyo mtoto...
kwenye uke kuna bacteria, fungus, wa aina nyingi sio necessarily kuwa ni wa STDs wengine hawana madhara ukeni ila kwingine wanadhuru, nafikiri ndio kilichompata mwanao
 
Wakati mwingi sana wazazi hupoteza ktk TV, Watsappu na kazini.... Samahani kusema kuwa Hawana nafasi ya kuwa na watoto wao karibu !! Hadi linapotokea tatizo kubwa ndo wanatanabhi !! Wazazi badilikeni.. watoto ni muhimu sana !!
jamii01 Dunia ya sasa haina mwamana!!
 
Pole sana mkuu mpeleke tena hospital kwa uchunguzi zaidi
Pia jitahidi kuchunguza ili ujue chanzo cha tatizo
Tatu jitahidi kua karibu zaidi na familia yako kipindi tuko watoto wazazi wote walikua ni wafanyakazi ila mara nyingi walikua wanaibuka muda wowote tu home kuchungulia mwenendo mzima kisha wanaondoka nilikua silewi kwa nini kipindi kile ila sasa nimekua naelewa na akija anaangalia hali zetu pale maswali mawili matatu kisha anaondoka iwe baba au mama na kukiwa na tatizo atajua tu kwa kututazama machoni hii ilisaidia wadada tuliokua nao kuishi kwa taadhari na ufanisi mkubwa sana hivyo mleta mada buni mbinu itakayokufanya kua karibu na familia na kuitazama kwa ukaribu
 
Kabla ya mwalimu kugundua ilipaswa wazazi muwe mmeshagundua muda mrefu sana wapendwa usomi na ubusy usitufanye tukasahau majukumu ya familia zetu na malezi ya watoto si kwa mama pekee baba pia unahusika sana katika hili Mungu atusaidie sana imeandikwa mlee mtoto wako kwa njia impasayo naye hataicha mpaka uzee wake......tusikwepe majukumu jamani
 
Pole sana mkuu mpeleke tena hospital kwa uchunguzi zaidi
Pia jitahidi kuchunguza ili ujue chanzo cha tatizo
Tatu jitahidi kua karibu zaidi na familia yako kipindi tuko watoto wazazi wote walikua ni wafanyakazi ila mara nyingi walikua wanaibuka muda wowote tu home kuchungulia mwenendo mzima kisha wanaondoka nilikua silewi kwa nini kipindi kile ila sasa nimekua naelewa na akija anaangalia hali zetu pale maswali mawili matatu kisha anaondoka iwe baba au mama na kukiwa na tatizo atajua tu kwa kututazama machoni hii ilisaidia wadada tuliokua nao kuishi kwa taadhari na ufanisi mkubwa sana hivyo mleta mada buni mbinu itakayokufanya kua karibu na familia na kuitazama kwa ukaribu


Ukifanya hivyo kwa sasa kuna watu watapata wasaa wa kuita media na kukuita ni jipu.

Kuna majipu mengine hufanywa na viongozi nje ya Mh Rais au Waziri Mkuu, frankly speaking mengine wanalazimisha tu.

Mengi ya Majipu ya Mh Rais na Mh PM unaona kweli haya ni majipu real. Ila kwa wengine wanalazimisha mno!
 
Back
Top Bottom