Hello Doctors na wanajamii forum wote kwa jumla. Nna mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 6 kasoro anasumbuliwa na maumivu ya kitovu kwa muda wa mwaka mmoja sasa! Nimeshakwenda hosp mara kwa mara...
Wakuu mimi ni mmoja wapo wa waathiriwa wa miili ya kurithi na athari zake. Zamani nilikuwa nafanya mazoezi ya kupunguza huku kwa juu na nikafanikiwa sana.
Lakini kwa huku chini sijaweza kabisa...
Uji wa lishe ni nini; ni uji unaotengenezwa kwa kutumia nafaka mbali mbali zilizochanganywa na virutubisho vingine mfano protini, mafuta n.k
Je, ni sahihi kumpa mtoto; ndio, mtoto kuanzia umri wa...
Habari zenu
Ndugu zangu msichanganywe na kichwa cha habari na mkaja kunitusi na kunijibu ovyo,sio kwamba nataka nipate.Bali nataka Wataalam na wajuzi waje watupe elimu itakayotupatia faida mimi...
Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua.
Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi.
Wanasema punde mama anavyokabidhiwa...
Nina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana
Tulimuona Dr mara kadhaa
Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila...
binafsi mazoezi ya kegel husasan ni lile la BRIDGE EXERCISE nimekua nikifanya kila asubuhi nimeona kuna changes kwenye uume yani uume ukisimama unakua mgumu afu unatengeneza kama msitari katikati...
JamiiForums doctors mkuje mtujuze hii changamoto mbona UTI imepamba moto kwa miaka ya hivi karibuni na kibaya zaidi inazidi kuwa na nguvu zaidi ni kama bacteria wafenyafanya kuji-update tofauti na...
Wakuu habari za asubuhi. Nina sumbuliwa na tatizo kwenye mguu lilianza baada ya kuanza mazoezi ya kukimbia mwanzo nilianza vizur baada ya kumaliza wiki kadhaa ndio mguu wa kushoto kwenye goti...
Wapendwa Wana JF, Habari za Leo,
Naomba msaada kutoka kwa wale wataalamu wa kutibu ugonjwa wa magoti. Nina tatizo hili, na hata kuchuchuma nahisi maumivu makali.
Je, ni dawa gani ningeweza...
Hello Wana JF, great thinker.
Ndugu zanguni naomba tu serikali ya Namhuri ya Muungano wa Tanzania wautambue huu ugonjwa wa Acid reflux kama janga la kitaifa kwani huu ugonjwa ukikushika huwezi...
Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra).
Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na...
Mtu ambae anajua dawa ya kumaliza tatizo la kunuka mdomo nisaidieni!
Napiga mswaki mara tatu kwa siku, nimetumia mouth wash mpaka nimechoka, nimetolewa tonsils lakini wapi!😔😔
Nisaidie jamani...
Habari za humu ndugu zangu.
Poleni kwa majukumu.
Changamoto inayonirudisha nyuma sana:
Ninachangamoto ya usikivu mdogo(Hard hearing, Hearing loss), kushindwa kuelewa kinachozungumzwa kwa kiasi...
Habarini wapendwa, bila kupoteza muda, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka jana mwezi wa 2, nilienda hospitali ya Regency sababu nilikuwa nina sumbuliwa sana na tumbo. Niliishiwa nguvu...
Habari wadau,
Mambo ya kifo wakati mwingine huwa yanafanyika haraka haraka sana hadi huwa najiuliza, ili mtu athibitike kuwa kafariki dunia, ni sehemu gani ya mwili hupimwa? Maana huko mochwari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.