Kukimbia au kutembea ni njia salama na nzuri inayosaidia kuujenga na kuuimarisha moyo uwe na afya nzuri na usio katika hatari ya kushambuliwa na maradhi.Mazoezi au tabia ya kufanya mazoezi inayo...
Habarini
Nauliza kama ni kweli kiambata(ingredient) sodium benzoate kilichomo kwenye vipodozi,vyakula na vinywaji hasa soda na energy drinks, kinasababisha saratani ya damu?
===============...
Poleni na majukumu mbalimbali ndugu zangu,
Bila kuwapotezea muda,napenda kutoa ushuhuda juu ya umuhimu wa maji ya kunywa kama tiba katika kutibu tatizo la Vidonda vya tumbo na Bawasiri...
Ugonjwa wa Utumbo hasira au "Irritable Bowel Syndrome"(IBS)
IBS ni nini?
Ugonjwa wa utumbo unaofahamika kitaalamu kama ‘Irritable Bowel Syndrome’ (IBS), ni tatizo la kawaida la mfumo wa...
habari wakuu. Weekend nyingine ya mwanzo wa mwezi february sasa.
mimi ni kijana (me) wa umri wa miaka 27 nilianza kuvuta sigara mwaka 2016 nikiwa advance.
NImevuta miaka sasa pamoja na kunywa...
Nahitaji kuonana na dr specialist wa masuala ya uzazi wa wanaume(andrologist). Lakini nimeshindwa kujua naweza kumpata katika hospitali gani...! Mwenye kujua msaada wandugu
Upungufu wa damu kwa mjamzito ni hali inayotokea wakati kiwango cha hemoglobini katika damu kinapungua chini ya kiwango kinachohitajika (<11 g/dl), hasa wakati wa ujauzito. Hemoglobini ni protini...
Nimetembelea wagonjwa mbalimbali wanaoteseka na mivunjiko ya mifupa na kukutana na changamoto ya mfupa kushindwa kuunga au kuvunjika mara kwa mara hata bila kupata ajali yoyote !
Najua pia...
HOTUBA YA VIRUSI VYA UKIMWI (MTOTO PEKEE WA KIUME WA MZEE UKIMWI)
VVU amesimama jukwaani mbele ya wanadamu, anasema;
"Najua mnanijua ila leo nataka mnijue zaidi. Watu wengi huko mitaani...
Wakuu habari zenu.
Naomba ushauri.Mtoto wangu wa KIUME wa miezi minne anachangamoto ya kunyonya kwa shida sana.Mchana akiwa na njaa atalia sana akipewa ziwa ndo analia zaidi.Akiwekwa mgongoni...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU
Habari wanaJf?
Hii ni kutoka kwa rafiki yangu mmoja wa karibu sana. Amenisimulia kuwa alianza kufanya mchezo huo tangu yupo darasa la saba hiyo ikiwa mwaka...
Afya ya akili ni miongoni mwa mada zinazopuuzwa, zisizozungumzwa vya kutosha, pia zenye wataalamu wabobezi wachache sana kwa Tanzania. Lakini pia ni mada ngumu kuzungumzwa kutokana na kukosa...
Leo naomba nikukumbushe somo la Afya ya uzazi. Somo hili litafafanua faida na hasara au madhara yatokanayo na uvaaji wa nguo za ndani hasa Chupi.
Uvaaji wa chupi kihistoria ulianza karne ya 19...
HABARI WANA JAMII FORUM
Naomba kuuliza kua kuna ukweli wowote juu ya mazoezi ya jelqing au Arabic milking ambayo yanadaiwa kuongeza ukubwa wa uume
Je kweli haya mazoezi yanafanya kazi...
Katika harakati za maisha nikakutana na mdada anatokea nchi fulani sitaitaja. Yule mdada alikuwa anakunywa dawa za kuongeza damu, folic acid, vitamin B supplements na nyingine sikuzitambua...
Wakuu nlileta kisa hum baada ya kusex na binti anaetumia dawa na hakuniambia, ila siku anakuja mda ulikua umeenda sana na nlitakiwa kuwahi kazini..so kwenye ile sex nlifanya chini ya dakika 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.