Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

On JF:

Pilipili ni ndugu zetu toka katika falme za mimea ( plant Kingdom). Kama ninavyosema, na leo narudia, Kila kiumbe kina roho na mwili, hivyo hakina kazi moja tu, kila hicho kina kazi zaidi ya...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nauliza kwenu tena hivi Temeke hospital kuna kipimo cha MRI? NIna mgonjwa wangu anaumwa kichwa sanaa hawezi kuongea Wala kutembea vizurI. Alianza kuumwa kifua anakohoa sana mpaka damu...
1 Reactions
6 Replies
786 Views
Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu. Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu...
18 Reactions
98 Replies
5K Views
Shalom wakuu… Unatumia mswaki brand gani nzuri? Maana miswaki yetu hii ya whitedent ya jero jero ukiswakia mara chache tayari haifai. Brand ipi nzuri wakuu?
2 Reactions
4 Replies
416 Views
Jamani naumwa asidi tumboni nimebadilisha mfumo mzima wa maisha dawa nimetumia lakini wapi Naumwa kifua, mabega maumivu yanasambaa mpaka kwenye maziwa yaani sina raha, ninapata stress hamu ya...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wana jamvi leo nataka munisaidie kitu mwenzenu huwa najiskia vibaya sana baadhi ya muda na ninapokuwa najiskia hivyo sehemu ya kichwa ndio inahusikia asilimia 100% kama nahisi kichwan kuna...
4 Reactions
13 Replies
567 Views
Natumain ni wazima wa afya kwa mtu yeyote anaweza nisaidia jina la dawa na sehemu ya kuipata kuondoa michubuko sehemu ya haja kubwa pembeni ule utandu utandu wote uondoke
7 Reactions
75 Replies
5K Views
Hivi, Kazi ya chupi ni nini? Ukivaa haijulikani, usipovaa haijulikani. Ikionekana unaambiwa umekaa uchi, ukiwa uchi utasikia hajavaa chupi. Sasa Chupi ni ya nini?
3 Reactions
75 Replies
33K Views
Tendo La Ndoa: Tendo la ndoa ni sehemu muhimu ya maisha ya mwanamke, siyo tu kwa ajili ya mahusiano, bali pia kwa afya ya mwili, hisia, na akili. Mwanamke anaweza kufurahia tendo la ndoa ikiwa...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
1. Stay Hydrated • Drink 2-3 liters of water daily to flush out toxins and prevent kidney stones. • Avoid excessive caffeine, alcohol, and sugary drinks. 2. Eat a Kidney-Friendly Diet • Reduce...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Bado naendelea na usafi wa nyumbani kwangu kama kawaida,muda huu ndio nimemaliza kusafisha bathroom yangu na sasa natumia astra badala ya dettol.Leo naongelea dawa ya meno,je wewe mwenzangu...
0 Reactions
0 Replies
352 Views
Habari zenu, Natafuta tiba ya ugonjwa wa oral thrush (ramani kwenye ulimi) ambao umekaa muda mrefu bila tiba. Ugonjwa huu ni kama kwenye picha hii niliyoambatanisha:
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau, ninaomba usaidizi kuhusu mchanganyiko wa dawa za Kuotesha Nywele kwenye upara chipukizi mbali na zile zinazouzwa mitandaoni.
2 Reactions
4 Replies
607 Views
Ni neema kwa Tanzania: kile kikombe cha Babu kutoka Loliondo kimethibitishwa na Taasisi ya tiba Asili-Muhimbili kuwa kinatibu magonjwa yote yaliyosemwa na Babu wa Loliondo ikiwa ni pamoja na...
3 Reactions
53 Replies
17K Views
wakuu, Mimi nimeugua kuanzia 2021 hadi leo miaka minne. Nipo nahangaika. Naumwa ugonjwa wenye tiba lakini wenye usugu wa dawa. Yaani kwa kifupi ni sikio la kufa. Nadhan wapo wengine ambao...
14 Reactions
64 Replies
2K Views
Nilipokuwa mdogo nilikuwa mtundu, hivyo ikasababisha vidonda haswa miguuni vilivyopona vikaacha alama za makovu. Lakini, pia niliwahi kuumwa tetekuwanga nilivyopona zikaacha alama mwili mzima...
0 Reactions
4 Replies
439 Views
📌 Kukosa Ute Katika Kizazi cha Mwanamke Kukosa ute wa kutosha kwenye kizazi kunaweza kuathiri afya ya uzazi na maisha ya ndoa. Hii inaweza kuwa ishara ya mabadiliko ya homoni au matatizo ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
📌 P.I.D: Ugonjwa wa Maambukizi ya Via vya Uzazi kwa Wanawake ⚠️ Je, unajua kuwa PID inaweza kuathiri afya ya uzazi ikiwa haitatibiwa mapema? 🔴 Dalili za PID: 1️⃣ Maumivu makali chini ya tumbo...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Eti wakubwa naombeni mnisaidie. Tangawizi inaweza kutumika kama dawa ya kumkanda mtu ikichanganywa na maji?
0 Reactions
0 Replies
205 Views
Habarini Nina ujauzito nimepima Nikaenda kufanya na ultrasound Sasa ivi napata mwez wa 6 wa ujauzito wangu Nimekuja Leo hospital kupima sound mimba inasoma Ina week 2 Si umwi kokote mwilini...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom